Hakuna mwanaume mwembamba wala asiye handsome

Hakuna mwanaume mwembamba wala asiye handsome

[
1487082677474.png
[/IMG][/IMG]
 
Miaka ya 80 kulikuwa hakuna curl wala nywele za kushonea zilianza miaka ya 90 ila huko 80s kulikuwa na zazuuu na vitana vya kuchomea nywele na pasi za mkaa
Kulikuwa na salon kariakoo inaitwa Damwas 1985,inatengeneza curl Sheriff shamba Ilala zilikuwambili 1984 karibu na ghorofa la Bank, Ubungo flats kama Adrianne hawa madada wenye salon hizi wote walikuwa wafanyakazi wa ATC bila kusahau Farida fashion na Rebby's fashion pale juu empress alikuwa na Salon. Data za curl walikuwa wana nunua Balham UK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom