Wanawake nawasanua hii

Wanawake nawasanua hii

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,076
Reaction score
5,871
Hapo VIP!
Hii nitabia ya wanaume masikini, na wenye sura mbaya(weusi) kwenye mahusiano.

1.wanajali sana kwasababu hawana cha kumpa mwanamke zaidi ya caring,asipofanya hivyo ni raisi kuachwa SAA 12 asubuhi..hapa hakupendi usijidanganye,hapa anafidia pengo la umasikini Na sura mbaya.
2.Atakutumia SMS nyingi Kwa siku kwa sababu ya inferiority complex dhidi ya handsome Na wanaume matajajiri..Angekuwa handsome au tajiri atajiamini Na hawezi kutuma tuma SMS nyingi.
3.Hawa Jamaa wanalinda mwanamke kama analinda bank kwasababu ya inferiority complex...hapa mwanamke anaona anapendwe kumbe Huyo Jamaa akipewa uhandsome au utajiri anaachana Na hiyo biashara.
 
😛🤣🤣🤣🤣🤣
Duh nimecheka
Tuache utani kuna wanaume wana mionekano mizuri🙌🙌🙌🏃‍♀️
 
Hapo VIP!
Hii nitabia ya wanaume masikini, na wenye sura mbaya(weusi) kwenye mahusiano.

1.wanajali sana kwasababu hawana cha kumpa mwanamke zaidi ya caring,asipofanya hivyo ni raisi kuachwa SAA 12 asubuhi..hapa hakupendi usijidanganye,hapa anafidia pengo la umasikini Na sura mbaya.
2.Atakutumia SMS nyingi Kwa siku kwa sababu ya inferiority complex dhidi ya handsome Na wanaume matajajiri..Angekuwa handsome au tajiri atajiamini Na hawezi kutuma tuma SMS nyingi.
3.Hawa Jamaa wanalinda mwanamke kama analinda bank kwasababu ya inferiority complex...hapa mwanamke anaona anapendwe kumbe Huyo Jamaa akipewa uhandsome au utajiri anaachana Na hiyo biashara.
Wanaume wenye sura mbaya wanajua kupeleka moto na wana dyudyu tamu imeshiba imajaa imara kama simba inasimama vzr hadi rahaa yaani unasuguliwa vzr tani yako
 
MImi si handsome, lakini for sure testosterone ,hormone ya kiume imekaa mahala pake, inanipa kiburi haswaa, najiamini. Sijawahi na sitakaa kufanya upuuzi huu umeandika hapa.
 
Mwanaume ni kujiamini tu,hayo uliyoyaandika sioni kama yapo sawa

Kwanza wanaume tusio mahandsome ni rijali,ukipanda kushuka mpaka maji anaita mma,sio kama hao mahandsome wala chips yai
 
Ukiona unamjali mtu baki(Mwanamke) kuliko unavyojijali mwenyewe huo ni utahira. Tunza afya yako, Tunza pesa zako. Wanawake wamejaa kila pahala
 
Yaani "wanaume weusi wabaya" hivi unajua hata mfalme sulimani alikua mweusi!!?anasema

"Mimi ni mweusi mweusi lakini ni mzuri enyi mabinti wa misri"

Halafu putin nae alionyesha sanamu ya yesu aiseh inaonekana alikua na "pua Pana" tena mweusi kama mimi!

Acha kutukana watakatifu wewe!!!!
 
Mmmmh!!
Mbona kama mambo ya wakina mjomba Tausi haya.....!??
20250721_102453.jpg
 
Hapo VIP!
Hii nitabia ya wanaume masikini, na wenye sura mbaya(weusi) kwenye mahusiano.

1.wanajali sana kwasababu hawana cha kumpa mwanamke zaidi ya caring,asipofanya hivyo ni raisi kuachwa SAA 12 asubuhi..hapa hakupendi usijidanganye,hapa anafidia pengo la umasikini Na sura mbaya.
2.Atakutumia SMS nyingi Kwa siku kwa sababu ya inferiority complex dhidi ya handsome Na wanaume matajajiri..Angekuwa handsome au tajiri atajiamini Na hawezi kutuma tuma SMS nyingi.
3.Hawa Jamaa wanalinda mwanamke kama analinda bank kwasababu ya inferiority complex...hapa mwanamke anaona anapendwe kumbe Huyo Jamaa akipewa uhandsome au utajiri anaachana Na hiyo biashara.
Kila mtu anatoa alichojaliwa wewe toa hela Sisi tuwalombe bure hao mnaowapa hela, Ngoma droo
 
Back
Top Bottom