Hakuna mwanaume mwembamba wala asiye handsome

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Wanaume wote ni handsome
 
Attachments

  • FB_IMG_1486704304511.jpg
    FB_IMG_1486704304511.jpg
    33 KB · Views: 104
Mwembe wa huyo dada umetulia hizo enzi hakuna brazilian hair kuna mbekenyela hair au itogwang'holo hair.
Miaka ya 1980's ilikuwepo curly hair ie world's of curl, weaving wenyewe wanaita nywele za kushonea na relaxer ie Revlon, cream of nature,dark and love
Ya kwanza namuona Joti na mpoki na yapili namuona Mzee wa kazi ghashilaga bhabha
 
Hiyo itakuwa mkwawa high school miaka hiyo..picha zinamengi huwa tunabaki kusema jamaa nimesoma nae.
 
Miaka ya 1980's ilikuwepo curly hair ie world's of curl, weaving wenyewe wanaita nywele za kushonea na relaxer ie Revlon, cream of nature,dark and love
Lakini mimi nimechukulia kikwetu kwetu (kitanzania zaidi )wake kwa waume walliacha miembe ya nguvu na ilikuwa imestawi kweli sio hizi za upepo ukipita unaondoka na kiasi flan cha nywele miembe ile ilimwagiliwa na kutiwa samadi aaah wacha kabisa. Mpaka miaka hiyo unayosema ya kalikiti ilipoingia wakaanza kuzichoma kwa vibati gani sijui aah wanawake wana mambo mengi.
 
Kweli ndugu yangu ila huku Dar haya mambo yalianza kitambo japo ilikuwa expensive maana curl sh. 2000 mshahara kima cha chini ilikuwa 380 ona tofauti hapo
 
Waliweka wachache na kuna athari zilizojitokeza kama unakumbuka mabinti wengi waliotumia njia za kienyeji ili nao waonekane wa kisasa waliunguzwa vichwa na wengine kubaki na makovu
 
Miaka ya 80 kulikuwa hakuna curl wala nywele za kushonea zilianza miaka ya 90 ila huko 80s kulikuwa na zazuuu na vitana vya kuchomea nywele na pasi za mkaa
 
Back
Top Bottom