kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,685
na inauma sana kusikia mume wako anagonga nje
Maumivu kotekote.
na inauma sana kusikia mume wako anagonga nje
i only salute my dear hubby others are just little frek,mi mbona sijawahi msaliti mume wangu???????
Mhh. Hivi ntaoa kweli?? Makwazo mengi sana.
unaisikilizaga hiyo ngoma uliyoiandika hapo. hiyo mpaka leo naisikiliza sijawahi kuichoka.:shock::shock::shock:
yah ni kawaida sana tu. Baadhi ya watu humu wanajishauwa tu. Wanajaribu kuficha mkaa ndani ya glass iliyowekwa peupee.Mbona hii issue ya kawaida sana....hapa kazini kuna kina dada na ma anti wameolewa na wako kwenye ndoa zao lakini bado tu wanajigonga sana kwa maba chelor kama mm ila tunawapotezea tu ingawa wapo ambao wanavutia na wamejaaliwa miili ya kufa mtu....lolz
aliyokwambia dada mangi ni kweli mtupu, awali hiyo kazi ya kugonga nje ya ndoa ilikuwa zaidi ya wanaume, wanawake tukawa wapole tukisubiri labda mtajirekebisha, miaka imeenda hali iko pale pale na imezidi kuwa mbaya kiasi kwamba baadhiya waume zetu wameamua hata kutembea na 'mashoga':embarassed2: tulipofika hapo tumeona imetosha, yaani bhaaaaasssss... na sisi tumefungulia siku hizi tunagongwa nje ya ndoa kwa kwenda mbele tuone wenzetu ambacho mmekuwa mkifaidi miaka yooote hiyo hata mnashindwa kutulizana na wake zenu warembo majumbani... sio siri tunagongwa jamani... hata wewe mwanaume unaesoma hii post mchunguze vema mkeo utagundua nae anagongwa vilevile ndio maana ngumi zimepungua sana majumbani ck hizi hatuna wivu kama zamani maana na sie tunafanya kama nyie, kwa ufupi ngoma droo... hakuna kuibiwa tena ni kuibiana kwa kwenda mbele...khabari ndo hiyo kakangu:biggrin::tongue::tongue: take eazy.....
unaisikilizaga hiyo ngoma uliyoiandika hapo. hiyo mpaka leo naisikiliza sijawahi kuichoka.
ulivyoandika hapo(red) kama nakuona unaovyoongea na kusisitiza.
unapofanya utafiti angalia sample yako. sasa yeye staff wa bar, wateja wake wa hivyo hivyo, anawezaje kugeneralize hizo findings kwa wanawake wote?
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.
Kwa maelezo yako inaonekana una wasi wasi sana kuwa wanakuchapia mkeo! Pole sana Mkuu..