''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Ndo mlivyo walevi si walaumu watu wameisha wazoweya majumbani kwenu shida tupu mtaishia kuropoka tu, wake zenu mnawashakia sababu mnajua hamuwezi kuwatimizia haja zao....watoto zenu wakiomba pesa, mnawanyima na matusi juu, yani mnathamini pombe kuliko family zenu :biggrin:

Kwenye red sijakuelewa!
Bold black = Hatuandai watoto wetu kuwa ombaomba!
Matusi ni nini hicho. Sijui una maana gani as sijui nini maana ya Matusi!
 
aah jipe moyo tu ndugu yangu iko siku utajua ukweli, wewe ukiona mkeo hakufuatiliii kiviiiile kwenye mambo yako, yuko hapy muda mwingi, anapenda kutabasam na cm yake, na anafuta calls na sms zote anza kumulika mwizi... asigongwe ana nini? kama wewe unamgonga na anausikilizia utamu unadhani wengine watashindwajwe kugonga ngozi hiyo.?? jipe moyo jipe moyoo jipe moyooo utashindaaaa:wink2::biggrin:

Namjua, hagongwi... hivi uko serious kwa hili jibu ulilompa huyu bwana... nilidhani you are just being critical!!
 
usijali kaka its a bitter pill to swallow lakini ndio dawa, huo ndio ukweli... crystal clear... wanawake tunagonjwa sana nje ya ndoa!

Mbaya zaidi nakujua Muhanga, acha bana.....
 
Kwenye red sijakuelewa!
Bold black = Hatuandai watoto wetu kuwa ombaomba!
Matusi ni nini hicho. Sijui una maana gani as sijui nini maana ya Matusi!
Mnawasi wasi nao, walevi wote lazima wanamatatizo tu na family zao :biggrin:
 
usijali kaka its a bitter pill to swallow lakini ndio dawa, huo ndio ukweli... crystal clear... wanawake tunagonjwa sana nje ya ndoa!

Aisee Muhanga usifanye hivyo bana...utaua watu wa presha.....nahisi kuna Evolution kwenye ndoa.. hii ni balaa
 
lol!....Muamini shemeji bana...au utapata magonjwa ya moyo bure...na kuanza kuweka mikakati ya kuvizia kufumania.

mkuu umesikia mwenyewe hiyo ratio 8 kwa 10!!kama yuko mtaani kwako,mmmmmh!!!
 
Mbaya zaidi nakujua Muhanga, acha bana.....

na kama kweli unanijua lazima utaelewa ninachosema, mie huwa sibahatishi, huwa nakueleza lile ninalolijua, na kama sijue kitu huwa nakaa kimya tu nakubali yaishe hahahaaaaa:lol:
:lol:
 
Mnawasi wasi nao, walevi wote lazima wanamatatizo tu na family zao :biggrin:
Haya ndiyo uliyokaririshwa kure madrasa kwa wavaa vipedo wenzako? haya ndio matatizo ya kuanza chuo kabla ya shule ni ujinga mtupu.
 
Namjua, hagongwi... hivi uko serious kwa hili jibu ulilompa huyu bwana... nilidhani you are just being critical!!

nooo hun, am trying to be honest, hivi vitu vipo sana ck hizi jamani... kukataa hili ni sawa na kufumba macho ukadhani eti kwa kuwa wewe huoni basi na wengine hawakuoni... ! things are happening, najua hata wewe unajua pia...
 
na kama kweli unanijua lazima utaelewa ninachosema, mie huwa sibahatishi, huwa nakueleza lile ninalolijua, na kama sijue kitu huwa nakaa kimya tu nakubali yaishe hahahaaaaa:lol:
:lol:
mhh...haya mama..
 
Mnawasi wasi nao, walevi wote lazima wanamatatizo tu na family zao :biggrin:

Are you talking from your own experience ama! I think you have a very bad experience with that! Inaelekea wakati ukiwa mlevi uliibomoa bomoa sana familia yako. Ni vizuri kama ulilijua mapema na kulifanyia kazi! Good luck man and keep it up.
Sisi wengine hatulewei njaa. Huwa tunakunywa kwa starehe! Kwa mfano tangu nlipokuja hapa baa nakunywa bia ya 7 sasa na niko fresh. Ka mpakato kangu nimeomba extension cable naendelea ku chat na wewe hapa. Uzuri baa nyingine zina wireless internet so huduma imeboreshwa! Ukizingatia kuwa wengi wetu ama tumejiajiri ama mabosi wetu wako mbali so tunatuma data tu kwenye database ya mkulu.
Mke wangu na watoto hawana shida na ulevi wangu as tangu mke wangu hajawa mke alijua kuwa mimi ni mlevi. She believe that old dog cannot learn new tricks! Kwanza nisipokunywa huwa anaboreka sana. Kifupi we are happy family!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom