''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Aisee Muhanga usifanye hivyo bana...utaua watu wa presha.....nahisi kuna Evolution kwenye ndoa.. hii ni balaa

duh jamani poleni mnaopata presha, hapa najaribu kuwa realistic, haya mambo yanatokea, hata mie zamani sikujua kama kuna ck nitatoka nje ya ndoa... lakini kadri siku zilivyozidi kwenda nikagundua kumbe inawezekana tu.... na sio kazi ngumu yaani ni kama kumsukuma teja vile kiurahiiiisiii... tena wala hutajua imeanzaje utashtukia tu yameshakua. haya mambo bwana loh... hebu acha tuendelee kesho hahahaaa... thats my experience..:lol:
:lol:
 
Haya ndiyo uliyokaririshwa kure madrasa kwa wavaa vipedo wenzako? haya ndio matatizo ya kuanza chuo kabla ya shule ni ujinga mtupu.
Hivi we hujioni kama mjinga unachukia uislam afu kwenye avatar yako umeweka waislamu, pombe noma sana imebakia kidogo utembee bila nguo :biggrin:
 
naona mkeo kamegwa nje unakuja kujipoozesha machungu humu
wapo wengi tu waliotulia kwenye ndoa zao tena wengi tu
mfano mama yangu

hakuna mama mwenye ujasiri wa kumwambia mtoto wake kwamba ameruka fensi.
 
hakuna mama mwenye ujasiri wa kumwambia mtoto wake kwamba ameruka fensi.

Afadhali umemwambia na hatari zaidi yeye mwenyewe anaweza kuta huyo anaemuita baba sio baba yake.....
 
Usaliti unasifa ya usiri moyoni kwako mwenza asijue, labda ufumaniwe.Hapa tutadanganyana tuu.
 
Nikueleweshe nini tena bana !? si unaona kauli zako zinavyokinzana hapo juu. Hebu jisome tena kile ulichoandika...au kuna Sarikoki mwingine hapa jamvini!?

Nieleweshe BAK ,
 
Mke akitoka nje ya ndoa kwa kiasi kikubwa inachangiwa na mapungufu ya mume. Iwe ni huduma ya kindoa, kujali au hali ya kiuchumi. Mwanamke anahusisaha hisia anapofanya mapenzi, hivyo si rahisi kwa mke wa mtu kutoka nje ya ndoa kama kila kitu kiko sawa nyumbani kwake. Kinyume chake, wanaume hata akapata kila kitu bado anaweza kwenda nje ya ndoa, maana wao wanasukumwa na tamaa na si hisia.
 
Mtoa hoja ni mtu mwenye kutia wasi wasi. Kwanini maneno yake yaonekane ukweli wakati ushaambiwa ni changu na baamedi wa kawaida. Yeye hao wanawake wote duniani anawafahamu? Kuna haja ya kutumia busara ya kawaida kuona mtoa hoja alipolalia. Hata kwenye utafiti huwezi kutumia mtu mmoja ukasema umefikia kwenye hitimisho la kisayansi. Naona huu ni umbea wa kawaida ikizingatiwa kuwa msemaji hana tabia yenye kuheshimika na hawezi kuwa msemaji wa wanawake wote. Hata hao vyangu na mabaamedi hawezi kuwasemea.
 
Nikueleweshe nini tena bana !? si unaona kauli zako zinavyokinzana hapo juu. Hebu jisome tena kile ulichoandika...au kuna Sarikoki mwingine hapa jamvini!?

Mbona hamna nilipojikanyaga mkuu...labda ni mtazamo wako tu.
 
Hii si kweli, wapo wengi tu waaminifu, wasiwasi wangu isije kuwa huyo dada yake mangi alikua kesha pata maji ya kutosha (beer), na anajua we mume wa mtu, hivyo akawa anakuvizia, kwani alichokua anakueleza ni vice versa
 
Hasante..ndio maana nikasema Kontena..... hana leseni ya kuuza vilevi.

Mbona Bar Nyingi zimejengwa na makuti pamoja na mirunda? Kontena pia unaweza ukafanya bar,pub au hata grocery au haujaona grocery za kontena? Maduka ya kontena? au Saloon za Kontena? Nyoo siku nikupeleke Bar Kontena.
 
Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.

Nadhani ulimnukuu vibaya hapo nilipo-bold in relation to your heading, back to your point; umekosea kuaga kwani huenda ungepata mengi hasa sababu zinazowafanya watoke nje ili zifanyiwe kazi kwani kila tatizo lina solution yake.

My take; siku zote ndege wafananao huruka pamoja, umeshasema huyo mwanamke ni baamedi na kama ni mzoefu maana yake muda mwingi hukutana na maamedi wenzake kwani asubuhi huwa anakuwepo eneo la kazi kufunga mahesabu na kuosha glass anarudi home kidogo saa tisa anakwenda kazini kwake mpaka usiku mwingi hivyo hana muda wa kukaa na wanawake wa kada tofauti na kujikuta akitoa judgement based on wale ambao anafanya nao kazi (mabamedi) ambao wengi wao ndio huwa hivyo kutokana na changamoto ya kazi yao kwani katika bar nyingi unakuta wanaume ni wengi kuliko wanawake, na wanawake wengi waliopo ni maamedi hivyo kwa ratio hiyo lazima kila baamedi atatoka na mtu hapo. Nadhani wanawake aliokuwa anawazungumzia ni mabaamedi "HAKUNA BAAMEDI ASIETOKA NJE YA NDOA THOUGH KUNA AMBAO WAPO WANA PERMANENT WAO HUWA HAWATOI KAMA WATU WANAVYODHANI".
 
Mtoa hoja ni mtu mwenye kutia wasi wasi. Kwanini maneno yake yaonekane ukweli wakati ushaambiwa ni changu na baamedi wa kawaida. Yeye hao wanawake wote duniani anawafahamu? Kuna haja ya kutumia busara ya kawaida kuona mtoa hoja alipolalia. Hata kwenye utafiti huwezi kutumia mtu mmoja ukasema umefikia kwenye hitimisho la kisayansi. Naona huu ni umbea wa kawaida ikizingatiwa kuwa msemaji hana tabia yenye kuheshimika na hawezi kuwa msemaji wa wanawake wote. Hata hao vyangu na mabaamedi hawezi kuwasemea.

Jamaa si mtafiti mzuri maana kuambiwa tu kwa kauli hiyo akaaga na kuondoka badala ya kusikiliza (nadhani alikuwa anawahi laptop nyumbani kuja ku=post huu uzi)
 
Kama ingekuwa hivi nadhani tusingekuwa tunakutana na vibuti huku mtaani kwani kuna mademu wanajulikana kwa kugawa uroda kwa kila mtu lakini kuna watu wanawatokea but kibuti kama kawa, hapa ndipo utagundua hivi viumbe kiukweli wakati mwingine vinasingiziwa maana hata matusi mtu akitukana anataja kiungo cha mwanamke na si cha baba (MFUMO DUME HADI KWENYE MATUSI)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom