Nimeona huo ujumbee unatisha......nikajua ni joto la uchaguzi wezi wameanza vitishoKuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini!
Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook, Instagram kwa kuwa tunatumia email ambapo hakupo very steong kiulinzi, ila huwezi kusikia mtu anasema WhatsApp yangu imehakiwa. Ukiona mtu anatumia Whatsapp yako basi jua kuna mahali ulijisahau, akaiunganisha na Whatsapp Web ama kuscan code.
Halafu ndio maana daily watu wanalizwa. Eti ukitaka kusoma meseji za mpenzi wako Whatsapp njoo tukusaidie... Ndugu zangu, mtaliwa sana pesa zenu.
BBM watu walidanganya kuingilia mawasiliano ya kimtandao tu Blackberry alikaa tumbo joto.
Jaribu kutafuta ile documentary ya Zuckerberg: King of the Metaverse usafishe kichwa.
Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.
Zuckerberg sio fala.
Hapa umejijibu kwamba inawezekana kudukuliwa endapo mtu atafanikiwa kuchukua simu yako.Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.
Hapo sasa hakuna cha maana chochote zaidi ya ngono ,Mtanzania unaogopa kuhakiwa una siri gani au una content gani ambayo itamtia mtu tamaa ya kuku-hack?
Atapata ugoroSasa mm niko huku namanyele nalima zangu ugoro uki hack account yangu utapata faida gani!
When the device security is hacked, or phishing attacks has happened.Kuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini!
Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook, Instagram kwa kuwa tunatumia email ambapo hakupo very steong kiulinzi, ila huwezi kusikia mtu anasema WhatsApp yangu imehakiwa. Ukiona mtu anatumia Whatsapp yako basi jua kuna mahali ulijisahau, akaiunganisha na Whatsapp Web ama kuscan code.
Halafu ndio maana daily watu wanalizwa. Eti ukitaka kusoma meseji za mpenzi wako Whatsapp njoo tukusaidie... Ndugu zangu, mtaliwa sana pesa zenu.
BBM watu walidanganya kuingilia mawasiliano ya kimtandao tu Blackberry alikaa tumbo joto.
Jaribu kutafuta ile documentary ya Zuckerberg: King of the Metaverse usafishe kichwa.
Hakuna mtu yeyote ataweza kuingilia WhatsApp yako, ukiona kaweza, jua aliichukua simu yako kinyemela.
Zuckerberg sio fala.
Tutajua unaingiza kiasi gani kupitia kilimo chako cha ugoro lakini pia tutajua kama kweli ni ugoro tu au unalima na bangi.😅😅Sasa mm niko huku namanyele nalima zangu ugoro uki hack account yangu utapata faida gani!