Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Leo imebidi niitazame. Ni ya kibabe hatari. Movie ya zamani ila teknolojia waliyoitumia katika majeraha ya wajeda kama kweli vile.
 
Muvi kali sana ila kuna boya mmoja alizingua alikuwa muoga mpaka akasababisha mwenzao m1 akafa kisa kumcheleweshea magazine, Wajinga kama wale me kama mkuu wa kikosi nakuulia mbali ukouko vitani mmk.

Nikejifunza pia hupaswi kumuamin adui hata mara1 maana kiongozi wa msafara alimsamehe mjeruman then uyouyo mjeruman akamuua yy.
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Tears of the Sun!!Bruce Wills ktk ubora wake!!jamaa baada ya kuona watu wanauwawa vilee akaamuru warudi kupambana!!balaa likaanzia hapoo!hatari sanaa
 
Kwangu mm ni movie ya hovyo mno ya kivita haiwezi kuifikia Tears of the Sun.
 
Pia Schindler's list ni moja kati ya filamu ya kivita bora kabisa kuwahi kuchezwa .ikiwa imeongozwa na steven speilberg , ni filamu ambayo ina reflect maisha ya Ujerumani kipindi haswa cha utawala wa Hitler na masahibu waliyokuwa wanayapitia wayahudi.. huko utakutana na jamaa mmoja afisa wa kijeshi kitengo cha schutzstaffel kifupi SS anaitwa among goeth.jamaa katili kwelikweli ambapo ni mmoja kati ya viongozi walioongoza operation ya kuwafurusha Jews kutoka kwenye maghetto waliokuwa wanakaa na kuwapeleka kwenye kambi za mateso (concentration camps).ni moja kati ya filamu zilizopo kwenye maktaba ya library of Congress kwa ajili ya kufundishia vyuoni kwenye maswala ya war crimes na military related degrees.
 
Namshukuru Mungu Kumbe Bado Nipo Unique Kwenye Masuala Ya Movie...

Wote Mliotaja Movie Hapo Juu Mmeisahau Moja Ina "BAND OF BROTHERS"...

Asee Hawa Jamaa US Paratroopers Nao Walioenda Kupigana Vita Na Hitler Wakati WW2...

True Story... Itafute Utanishukuru Badae...
View attachment 1782319View attachment 1782321View attachment 1782322View attachment 1782324View attachment 1782323View attachment 1782325View attachment 1782326View attachment 1782328View attachment 1782329View attachment 1782327View attachment 1782332View attachment 1782330View attachment 1782331
Band of Brothers ni ndefu na ina vipande vipande ndio maana sio kila mtu kaiona. Sijawahi pata iliyo complete ila ni movie kali sana
 
Movie zangu 15 bora za kivita..

We were Soldiers
Saving Private Ryan
Behind Enemy Line
Fury
Enemy at the Gate
Lone Survivor
12 Horse Soldiers
The Patriot
Pearl Habour
Act of Valour
Hambuger Hill
Hacksaw Ridge
Windtakers
Greyhound
Hunter Killer

Zingine nlizozielewa..
Tears of the Sun
Delta Force 1&2
Full Metal Jacket
The Last Samurai
Bands of Brothers
1917
The Last Platoon
War Horse
Troy
Sasa wewe ndio tunaenda sambamba kwenye movie za kivita. Ila hapo hujaongeza The Bridge Too Far utaipenda. Hata 1917 kama hujaiona itafute alafu uje kunishukuru
 
Sasa wewe ndio tunaenda sambamba kwenye movie za kivita. Ila hapo hujaongeza The Bridge Too Far utaipenda. Hata 1917 kama hujaiona itafute alafu uje kunishukuru
Hajaitendea kazi Hii list kwa kutoweka Schindler's list
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Sema story yake tu ni nzuri ila hakuna action ya kuzidi movie hata za rambo
 
Movie zangu 15 bora za kivita..

We were Soldiers
Saving Private Ryan
Behind Enemy Line
Fury
Enemy at the Gate
Lone Survivor
12 Horse Soldiers
The Patriot
Pearl Habour
Act of Valour
Hambuger Hill
Hacksaw Ridge
Windtakers
Greyhound
Hunter Killer

Zingine nlizozielewa..
Tears of the Sun
Delta Force 1&2
Full Metal Jacket
The Last Samurai
Bands of Brothers
1917
The Last Platoon
War Horse
Troy
Black Hawk down hujaiangalia nini mkuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: r20
Back
Top Bottom