Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hahaha wataliban walikuwa na ambush za maana hasa final scene ilinivutia zaidi kuna mike wa ki Afghanistan aliwaambia wana waliokuwa sentry wataliban wanakuja wao wakamdharau ghafla tu vitu vikaanza kuunguruma ikawa kazi kazi.
Scene za mwisho zilitembea risasi sio za nchi hii sema yule Capt black alikuwa miyeyusho sana ndo maana wakamuondoa
 
[emoji39]
IMG_20221129_134537_505.jpg
 
Kwenye hii mada lazma utenganishe movie za zaman kama world war 2 ya private ryan na movie za karibun especially za vita ya marekan na Taliban afganstan au ile ya Somalia black hawk down. Yan lazma kuwe na category mbili movie mpya na za zaman
Movie nyingine nzur ya zaman n Omaha beach marekan walipofanya amphibious landing Omaha beach aisee hii movie ni unyama balaa movie nyingine n pale japan alipovamia bandar marekan nimeisahau jina kwahasira marekan akaenda shusha atomic bomb japan au movie marekan aliposhambulia meli vita za japan
 
Jamaa umenikumbusha movies kali za kivita za miaka hiyo

The Hard Way the Only Way
Eastern Condors
NAM Angels
Rambo First Blood
Warbus
Platoon Leader
Bullet in the Head


I miss those days [emoji24]
Hizi movie nilitzama zamani pale Mgomeni Kagera chini kidogo ya gereji ya Bihonyi kuna kibanda Cha maziwa Halisi. Ktk kile kibonde kama unashuka kwenda shule ya mianzini pale kushoto. Halafu na pale shule ya msingi miazini mwisho wa ukuta kuna nyumba ilikuwa na babu kama anamatatizo ya akili pale kulikuwa na jumba la video...those were the days
 
Back
Top Bottom