Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Kuna hizi mini series The Pacific na Band of Brothers. Kwa wapenda movies za vita hasa WW2 msiache kuzicheki.
Bila kusahau movie kama Flag of our fathers, Company of heroes
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Pale mwanzoni beach zilipigwa shaba jamaa akavua kofia hahahahaha..akala kitu chaap
 
Namshukuru Mungu Kumbe Bado Nipo Unique Kwenye Masuala Ya Movie...

Wote Mliotaja Movie Hapo Juu Mmeisahau Moja Ina "BAND OF BROTHERS"...

Asee Hawa Jamaa US Paratroopers Nao Walioenda Kupigana Vita Na Hitler Wakati WW2...

True Story... Itafute Utanishukuru Badae...
View attachment 1782319View attachment 1782321View attachment 1782322View attachment 1782324View attachment 1782323View attachment 1782325View attachment 1782326View attachment 1782328View attachment 1782329View attachment 1782327View attachment 1782332View attachment 1782330View attachment 1782331
 
Nakubali bro, nami mpk leo ndiyo muvi ya kivita niliyoitazama mara nyingi zaid.
 
Namshukuru Mungu Kumbe Bado Nipo Unique Kwenye Masuala Ya Movie...

Wote Mliotaja Movie Hapo Juu Mmeisahau Moja Ina "BAND OF BROTHERS"...

Asee Hawa Jamaa US Paratroopers Nao Walioenda Kupigana Vita Na Hitler Wakati WW2...

True Story... Itafute Utanishukuru Badae...
View attachment 1782319View attachment 1782321View attachment 1782322View attachment 1782324View attachment 1782323View attachment 1782325View attachment 1782326View attachment 1782328View attachment 1782329View attachment 1782327View attachment 1782332View attachment 1782330View attachment 1782331
asante mkuu
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Wewe ulikulia kijijini, Sisi wa mjini huwezi kutuambia kitu zaidi ya Silvester Stallon.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom