MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Job unamthamini wewe na mataga wenzenu.Job kashasema mradi una manufaa sana na JPM alipotoshwa.
Kuna lingine?
Hapo sasa naona unawatafuta ubaya matagaSio wa Bagamoyo tu, bali hata wa bwawa la umeme la mto Rifiji na wa ujenzi wa SGR
Umekosea anaitwa MZAREEEDOOOHivi mzalendo naye hakuwahi kuweka mikataba wazi.
Hapo kitaeleweka na wakati huo huo tufuatilie kuangalia kama Ndugaye hana accont nchi za nje na kama ipo nilini iliingiza miamala kutoka china.Viongozi wa Upinzani na wa Chama twawala waungane kwenye hili jambo halafu tuitishe Maandamano ya kudai kuwa tuonyeshwe Mkataba wa Bwagamoyo
Wakati huohuo sisi tubebe na Mabango yetu ya Katiba Mpya
Ndugai ameshavuta advance yake tayariMjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo.
Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba.
Taifa hili halina utaratibu huo, halijawahi na halitathubutu kufanya hilo. Taifa lililojaa viongozi WABINFSI, WEZI na VIBARAKA wabeba maslahi ya nchi kwa ajili ya MATUMBO yao hawatakubali hili.
Utauziwa mbuzi kwenye gunia ww!!?Job kashasema mradi una manufaa sana na JPM alipotoshwa.
Kuna lingine?
Hili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyaoHapo kitaeleweka na wakati huo huo tufuatilie kuangalia kama Ndugaye hana accont nchi za nje na kama ipo nilini iliingiza miamala kutoka china.
Mwenzako labda Muamala wa M-Pasa umeshasomaUtauziwa mbuzi kwenye gunia ww!!??
kuna ubaya upi this time tukauona huo mkataba tuujadili
Kweli kabisa kuna mambo mengine lazima mambo ya siasa ziwekwe kandoHili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyao
Inakuwa ni Okoa Jahazi Movement.
Supika kintu gani yule mpaka ashikwe mashikio?!Job kashasema mradi una manufaa sana na JPM alipotoshwa.
Kuna lingine?
Hili jambo ni la Watanzania wote bila kujali Itikadi za Vyama vyao
Inakuwa ni Okoa Jahazi Movement.
Ni wewe tena🤗🤗Hawawezi kumuua Raisi aliyepo Madarakani, halafu na sisi watupige changa la macho Big NO! Mr Ndugai!
Hapa tunaiangalia Tanzania Nchi yetu acha mambo ya KisichanaSi mmesema JPM hakuwa lolote jema kwa taifa hili???
Wacha katazo litenguliwa tujengewe bandari mkuu
Lala salama shujaa wetu John Pombe Magufuli