Zitto mvumilivu sana.
Mtu kama Lema inabidi aone aibu sasa.
Huyu mtu kajaliwa akili sana, ni mvumilivu, mstahimilivu. Anaweza kuwa mwenyekiti wa chadema. Mungu ampe uzima
Kwa kweli Zitto ni mtu wa kutumainiwa.
Angekuwa inawezekana akagombea urais angekonga nyoyo za watz
ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake
"Koffi Olomide amewahi kuimba ‘Lokuta eyaka na ascenseur, kasi verite eyei na escalier mpe ekomi' ambayo ina maana ‘uongo hutumia lifti kupanda gorofa; ukweli hutumia ngazi lakini utafika tu. Ukiona uwezo wa viongozi wetu kufanyia kazi habari za uongo au hata wenyewe kutengeneza uongo, utajiuliza sana ubora wa uamuzi wao kuhusu nchi yetu. Viongozi wanasahu kuwa uongo huwafikia haraka sana kabla ya ukweli na hivyo wanapofanya uamuzi kutokana na uongo, ukweli ukifika inakuwa ‘too late'
Ukiona kivuli ujue kuna mtu nyuma.Hii thread ni ya watu wa CCM na Vibaraka wao.
Pungunguzeni kuniandama kwa kunirushia mapovu.Kama mlivyofanya hapa chini/juu.Wahuni wachache.....!
hahahahahaZitto mvumilivu sana...
Huwezi kumkuta Yericko kwenye huu uzi
Zitto mvumilivu sana...
Yericko na ben wao si vifaranga sa hv wapo juu ya chungu! Hawawezi kuja hapa wanafiki wale
Zitto mvumilivu sana.
Mtu kama Lema inabidi aone aibu sasa.
Kuishiwa hoja ni kama hicho anachokifanya huyo mpuuzi jakolango kwa kuujaza uzi na fake document yake, hiyo ishachuja leta nyingine
LEMA akisikia hivi anawasha msokoto mpya!
Slaa anashauriwa na mke wake,nahisi hata ile like ya siku ile alikuwa Josephine,na hawa vikaragosi wengine kama kina Yerickp,Ben na kilewo wanaharibu CHADEMA
"ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake
Ukiona Lema anaropoka bila woga, jua Tengeru iko nyuma yake...
tatizo la chadema kilasiku nasema ni uroho hicho kirusi kitawatafunaa mpaka mpukujike. mara zito yuko makini mara zito ametumwa na ccm.hivi kweli watanzania tukilogwa tujichanganye mwaka 2015 situtapata taabu sana!
Mkuu sixgates anajipanga kutoa kitabu chake "Miaka saba ya kuwa msukule ndani ya Chadema"
Zitto kwa kweli ni mkomavu wa kisiasa angekuwa Dr Slaa aone mtu anamtukana halafu unagonga Like lazima ufukuzwe chama.
Kweli Zitto ni mshika dini, ingekuwa ni sisi wakristo tungesema yuko ndani ya safina! haogopi chochote!
Kijitonyama Uinjilisti - Ndani ya Safina | Muziki.net
Zitto akunaga.
Tatizo ni unafiki wako