Hakuna Mgogoro wowote CHADEMA - Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.
Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!

We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!

Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!

Hahahah Tisha Toto nyingine mpaka zinachekesha.
 
Hiki ndio kibwagizo cha makamanda "TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU "halafu mwisho utawasikia wakiimbishana peole's power. Mimi naichukulia kauli hii kama dhihaka kwa Mwenyezi Mungu alietasika na utukufu.

Kumbe mmeanza na MUNGU katika kufanya haya maovu yenu yafuatayo?

  • Mmeanza na Mungu kula ruzuku ya chama mnayopokea kutoka serikalini katika kujenga mahekalu kwa kisingizio @ katibu mkuu hawezi kuendelea kuishi katika nyumba ya kupanga ni hatari kwa usalama wake. Hivi kujimilikisha kienyeji pesa ambayo inatokana na kodi ya walalahoi ambao hata mlo mmoja wa siku kwao imekuwa ni kitendawili MUNGU anapenda?
  • Mmeanza na Mungu kuratibu mipango miovu ya kuwadhuru watanzania ili kijitengenezea mazingira ya kuonewa huruma na wananchi na mwisho kufanikiwa kwa lengo lenu la kuingia ikulu? Hivi kweli MUNGU anapenda vitendo hivyo? Kumbukeni mlichofanya pale Arusha kulipua mabomu katika mkutano wenu na kufuatiwa na mkusanyiko batili ambao ulipelekea kupotea maisha ya watu akiwamo kijana mdogo Mussa Mtoi aliekuwa anatoka kwenye mambo yake. Kumbukeni igunga, Mauaji ya daudi Mwangosi, kifo cha marehemu chacha Wange ambacho inasemekana kimeratibiwa na Mbowe, kumbukeni habari za sumu, kulegeza tairi za gari la zitto ili kumuua, n.k.
  • Mmeanza na Mungu kuwasingizia binadamu wenzenu kuwa ni mafisadi kisa tu wanataka kugombania nafasi mbalimbali za juu katika chama chenu?.
  • Mmeanza na Mungu sikuhizi kudai posho ziongezwe kwa wabunge huku mkijinadi kama watetezi wa wanyonge?.
  • Mmeanza na Mungu kwenda kujenga majumba ya kifahari ughaibuni huku mkiwashakiza walalahoi waaandamane ili kikinuka nyinyi mkimbilie nje ya nchi mkale zenu kuku kwa mirija mkiwaacha walalahoi wakiteseka?

  • Mmeanza na Mungu kueneza chuki miongoni mwenu ya kuwachukia na kuwabagua wanachama wenzenu kwa madai ya kinafiki yasio na ushahidi wa kueleweka?.
​ To mention a few.

Nakuombeni mumheshimu MUNGU na msililitaje bure jina la Mungu hata maandiko yatuonya ya kwamba "usilitaje bure jina Mungu wako".
Akhsanteni kwa kunisoma.
 
Naona bosi wenu leo amewalipa posho zenu mapema na weekend yenu imekuwa nzuri LB7.

Mkuu Mwita LB7 wanasumbua humu JF kwa posho zao hasa wanapopokea mapema.lkn niseme tu wazi kwamba hii ni mipango endeleve tena iliyoshika kasi ktk siku za hivi karibuni kuhakikisha aliyoyasema Mzee Wasira yanatimia,ni mipango ya kutaka Chadema ife,ili maccm waendelee kuwanyonya wananchi,ni mipango ya kutaka cdm iwe na viongozi dhaifu ili kiwr chama cha kusindikiza tu lkn sio kushika dola,mf TLP,hata Nccr nayo bado huwezi kusema 2015 itatoa upinzani mkali.
Cha kujiuliza hapa ni kwamba iweje CCM wapiganie tuwe na kiongozi imara CDM badala tuendelee na hao viongozi wetu dhaifu kama wanavyodai?
Ukiona hivyo wanaemtaka wao ni wao.
 
ben saanane, kama kweli we unaifahamu siasa na unajiandaa kuwa kiongozi hapo mbeleni sioni haja yako wewe kuendelea kushabikia udaku na kurushiana maneno na watu hum Jf yasiyo na maana. Umeshaona vijana wenzako busara walizonazo? Mfano heche, mnyika n,k

Sifuati mkumbo.Nitabakia kuwa mimi.No matter what!
 
Ben Saanane hajawahi kushabikia udaku ,na wala kurushiana maneno zaidi ya kujibu hoja za wazandiki na wasio itakia mema chadema.na mara zote na si post zote hujibu au kuchangia,fuatilia utajua.
 
Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!

We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!

Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!

Acha vitisho.....
 
Dah....sasa tutamuamini nani CDM?
 
Ben Saanane hajawahi kushabikia udaku ,na wala kurushiana maneno zaidi ya kujibu hoja za wazandiki na wasio itakia mema chadema.na mara zote na si post zote hujibu au kuchangia,fuatilia utajua.

kwa hiyo ndo kaandaliwa na chama kwa ajili ya kujibu hoja za chama humu Jf?
 
Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!

We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!

Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!
Hata nepi aliyofungwa Ben Saanane akiwa mchanga unajua iliko? Du wanajimu na majasusi wengi kweli kweli.
 
Mlishaambiwa mnajifanya Chadema kwa kuleta umbea bado mnauliza nan yuko wapi,tuseme hamjui kuwa ninyi ndo sio Chadema japo kuwa mnajifanya kufuatilia mambo za Chadema?
 
Sifuati mkumbo.Nitabakia kuwa mimi.No matter what!

kuna mmoja kapost kuwa wewe hujibu hoja za udaku bali unajibu hoja za wanafiki wasioitakia chadema mema. Sasa nikuulize wewe ndio umeandaliwa na chama kuja kujibu hoja za hao mnaowaita wanafiki humu Jf? Na kama sio huoni utazidi kushusha heshma yako?
 
Kwa kweli Zitto ni mtu wa kutumainiwa.

Angekuwa inawezekana akagombea urais angekonga nyoyo za watz
Wewe joka la Mdimu kweli kweli;si ulishaaga umeikacha CDM? Kaa pembeni utuachie CDM yetu
 
Ben Saanane hajawahi kushabikia udaku ,na wala kurushiana maneno zaidi ya kujibu hoja za wazandiki na wasio itakia mema chadema.na mara zote na si post zote hujibu au kuchangia,fuatilia utajua.
Umenena mkuu
 
Mkuu Mwita LB7 wanasumbua humu JF kwa posho zao hasa wanapopokea mapema.lkn niseme tu wazi kwamba hii ni mipango endeleve tena iliyoshika kasi ktk siku za hivi karibuni kuhakikisha aliyoyasema Mzee Wasira yanatimia,ni mipango ya kutaka Chadema ife,ili maccm waendelee kuwanyonya wananchi,ni mipango ya kutaka cdm iwe na viongozi dhaifu ili kiwr chama cha kusindikiza tu lkn sio kushika dola,mf TLP,hata Nccr nayo bado huwezi kusema 2015 itatoa upinzani mkali.
Cha kujiuliza hapa ni kwamba iweje CCM wapiganie tuwe na kiongozi imara CDM badala tuendelee na hao viongozi wetu dhaifu kama wanavyodai?
Ukiona hivyo wanaemtaka wao ni wao.

Tunahitaji Upinzani Madhubuti sio huo wakijasiriamali,ndo mana tunataka Zito awe Mwenyekiti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom