Dr Ndeshao
Member
- Nov 7, 2013
- 5
- 1
Wise,so smart
Huyu mtu kajaliwa akili sana, ni mvumilivu, mstahimilivu. Anaweza kuwa mwenyekiti wa chadema. Mungu ampe uzima
Akiwa Mwenyekiti, utarudi Chadema?
Kama kweli kayaongea haya hapo kwenye BLUE ni ujinga uliopitiliza kwani sidhani kama ilikuwa ni mahara pake na napata shida kuelewa lengo la ziara yake ilikuwa ni nini, je ilikuwa ni kuimalisha chama au kubomoa chama? Zitto marumbano yaliyotokea yamefanyika kupitia mitandao ya kijamii inamaanisha alishindwa kujibu kupitia mitandao hiyo hadi leo hii atumie marumbano yale kwenye mikutano ya hadhara. Kwa hiki alichokifanya amezidi kujiweka mbali na Chama na kuonyesha wazi chanzo cha migogolo ndani ya CHADEMA ni yeye.
Kuna tatizo gani shujaa wangu??? huoni kama kuna juhudi za watu kujenga chama? kwanini mnawachanganya wananchi? mnaacha mianya mingi wananchi kuichagua CCM 2015 tena.
Tuelewesheni mambo!!!!!!
Wewe ni kirusi
Tatizo ni unafiki wako
Wewe msukule ulijabaragua siku ile kumsifia Lema ili akuone, Chadema ina wenyewe wewe endelea na upambe.Naona bosi wenu leo amewalipa posho zenu mapema na weekend yenu imekuwa nzuri LB7.
Ni wapi ulikowahi kuniona nawasiliana na TISS kuhujumu chama katikati ya uchaguzi mkuu?
Ni wapi ulikowahi kuniona nashirikiana na CCM kwa hila chafu dhidi ya CHADEMA na viongozi wake nikiwa nashabikiwa na CCM?
Labda kama sijui maana ya unafiki.
Ni wapi ulikowahi kuniona nawasiliana na TISS kuhujumu chama katikati ya uchaguzi mkuu?