THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
.....huyo kirusi anayesemekana yumo ndani ya CHADEMA ni nani?
Ni Dr Slaa na misukule yake,wanaharibu chama na iko wazi tuh
.....huyo kirusi anayesemekana yumo ndani ya CHADEMA ni nani?
Zitto mvumilivu sana...
kweli hakuna kiongozi mvumilivu kama Zitto chadema.
Walidhani atakufa moyo lakini maskini mungu amempa roho ya pekee ambapo ingekuwa ni mtu mwingine kwa siasa za Godbless J Lema angesha vunjika moyo.
Zitto mungu aendelee kukulinda na mishale ya mwenyekiti wa chadema baunsa( Godbless J Lema) ishindwe na imrudie.
Ni Dr Slaa na misukule yake,wanaharibu chama na iko wazi tuh
tatizo la chadema kilasiku nasema ni uroho hicho kirusi kitawatafunaa mpaka mpukujike. mara zito yuko makini mara zito ametumwa na ccm.hivi kweli watanzania tukilogwa tujichanganye mwaka 2015 situtapata taabu sana!Zitto mvumilivu sana...
...tupo pamoja kamanda Zitto! Nakuamini, mti wenye matunda ndo upigwao mawe!
Go go go ZZK
Zitto mvumilivu sana...