Hakuna mawasiliano ya kiroho kati ya wafu

 
YOU will be greeted by your deceased loved ones when you die, according to these people who claim to have briefly passed over to the afterlife.
One person, Virginie R, from France, said that she was greeted by her little brother who did of leukaemia when he was 12.
Without giving away how Virginie suffered her near death experience (NDE), she said: “I was advancing towards a white light, at the end of this Passing into or through a tunnel, which was very bright.
My little brother Philippe, who died 12 years before, took me by the hand and was smiling to me while taking me in front of the light. A strong, but not nasty voice, asked me why I wanted to die.
“I answered that the absence of my little brother was too hard for me, and that my mother felt resentful towards me because of Philippe's death.”
Another person, William C who was almost fatally injured in a car crash, gave a similar account, saying: “I looked in front of me and saw my deceased grandmother. She was standing just in front of the 'White Light.'
“The light radiated warmth, light, love and anything I needed to know. I also noticed other figures off to the left of me.
“They seemed peaceful in pairs holding each other and swaying with the music. My grandmother delivered the choice to me. I could stay with her or go back to my life.
“She told me that if I stayed, everything would be OK. She said that if I went back to my body, it would be the most challenging experience I would ever endure.”
Lauren K, who was hit by a car, said: “I left my body and went into an aura of all white light! It was totally warm and Peaceful, pure Love emanating through me and around me.
At that moment, my Grandfather, who had passed away earlier that year, appeared to me and we embraced. ‘My darling, you have a decision to make.’
“I knew the decision was to stay or to come back. At that moment, I had an opportunity to view my life.”
 
YOU will be greeted by your deceased loved ones when you die, according to these people who claim to have briefly passed over to the afterlife.
 
Msinikumbushe siku niliyouguza ndugu yangu wa kiume dakika chache kabla hajafariki aliniita akataka kuniambia kitu sasa kulikuwa na watu wengi nikamwambia baadae mwisho akakata kauri nikawaza sijui alikuwa anataka kuniambia nini?
 
Kila kitu kwenye maisha ni kujifunza hata siku ya kufa tunapaswa kujifunza tunakufaje, roho inatokaje na mengineyo. Thanks Mshana kwa mafundisho yanayofikirisha
 
Umesema kwamba 'nafsi' ni matokeo ya muunganiko wa roho na mwili. Swali: roho inapotengana na mwili (mwili kuharibika), nafsi nayo inatoweka?
 
Ni kweli kabisa mtu akifa mchezo umeishia hapo hakuna kinachoendelea.

Lakini kiongozi kuna kitu nakifikiriaga sana ni kwamba Mtu akifa kwa wakati wake huyo Roho yake hupumzika ama huenda kwenye kiumbe kipya kinachozaliwa na kama mtu atakufa kabla ya wakati wake basi hiyo roho yake itataabika sana kutafuta makazi na pengine kuanza kusumbua familia ilikokuwa
Unaweza kunipa ufafanuzi kidogo wa hizi fikra zangu ama ni potofu tu
 
Sio ukwel
 
Hapa unazungumzia pepo na jehanum.... Roho zenye mahangaiko ndio hugeuka mapepo na kusumbua... Hizi haziko kuzimu tena bali hutangatanga huku na kule zikitafuta kikao ama makazi.... Hii ni dhana ya jehanum
Zile roho zilizotulia kuzimu, hazina mahangaiko yoyote kwakuwa ziko kwenye dormance state.. Hii ndio dhana ya PEPONI"
 
Mshana jr nasikia uliienda kuzimu bhana kwa kutumia. Astral projection na ukarudi ebu tupe experience yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…