Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Sasa kutakuwaje na maisha baada ya kifo wakati limwili limeshaoza na kuharibika?

Sometimes hawa waumini wapimwe akili maana sio kwa kuamini vitu vya kijinga namna hii [emoji23][emoji23]
 
Mleta mada tupe sababu za msingi kwanini tukuamini wewe na sio vitabu vitakAkatifu
 
Hizi ni stress za maisha.

Baada ya kifo kuna maisha mengine vitabu vitakatifu vinasema hivyo. [emoji4]
Nikweli jamaa kapigwa na maisha mpaka kafikia kukufuru anafikiri mungu atamuacha hivihivi tu amempa binadamu kila aina ya neema ambazo anatumia bure bila kulipia mfano macho miguu,mikono,ulimi ili amshukuru mungu wake bd anajiona jeuri haya bwana endelea mungu anakusubiri
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Wacha HABARI ZA KUFIKIRISHA,,,MKUU....Hakuna kitu kinachoninyima RAHA KAMA NIKIKUMBUKA KIFO,,,,NITAKUFA KIFO CHA AINA GANI?NA NIKIFA NAKWENDA WAPI?na waliokuwapo DUNIANI KABLA YETU NA SASA HAWAPO TENA wapo wapi?,,na HAKUNA AJUAYE WALIPOKWENDA,,,,ogopa sana MKUU,, ,wacha kabisa KUROPOKA USIVYOVIJUWA..,..ni bora UWE mnyenyekevu KWA MUNGU HATA KAMA HAYUPO,,,huna cha KUPOTEZA,,,kuliko KUROPOKA KAMA MUNGU hayupo na UKAENDA UKAKUTA KAJAA TELE kwenye KITI CHAKE CHA ENZI....mambo ya MUNGU yanahitaji UNYENYEKEVU MKUU,,, hivi unadhani huu ULIMWENGU umejitengeneza wwnyewe?yupo aliyeweka kila kitu, na kila kitu akakiwekea sehemu YAKE na kwa sababu ZAKE,,, MUNGU akusamehe MKUU...
 
Ni bora niamini Mungu yupo na niishi kwa mapenzi yake kuliko niamini Mungu hayupo then nikifa nakutana naye.
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Mfano wa kufa na kufufuliwa ni usingizi na kuamka.hakika namuomba Allah akujalie umfahamu yeye,na uiogope siku ya mwisho.Wewe utakufa lakini neno lako la upotoshaji litaishi.Hakika tumeumbwa ,tutakufa na tutafufuliwa siku ya mwisho.Acha kufanya maasi,walikuwepo wabishi kabla yako na sasa wapo kwenye matumbo ya ardhi
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Bangi za wapi hizi?
Weka udhibitisho,sio maneno tu,kama upo ngomani unacheza segere au mdundiko
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
Do you have any evidence.... even a copy of the evidence to justify that!!?
 
kuna watu wanaitwa masadukayo katika enzi za Yesu walikuwa na mawazo kama yako Yesu aliwapa jibu bora sana litafute kwenye agano jipya lipo..
 
Mbona mababu zetu waliomba mizimu na kujibiwa? Riho zipo zinazunguka hapa na pale kwa umbo tofauti lakini mbinguni na motoni ni hekaya za abunuwasi
 
Shukran kwa kupata fursa ya kutoa mchangowangu;

1.Fikiria namba yoyote katika kichwa chako,kisha ijumlishe namba hiyo kwa tano (5),Jumlisha tena kwa nne (4),Jumla tena kwa tatu (3),baada ya kupata jawabu Sasa waweza toa kwa namba ya awali uliyofikiria kwa kichwa chako.
Jibu lake ni 12.

2.Sasa fikiria Tatizo linalokusumbua,kisha jumlisha furaha,pia jumlisha matumaini,kisha malizia kwa kujumilisha na Suluhisho.lipige teke tatizo linalokusumbua.
Sasa umebaki na Furaha,Matumaini na Suluhisho.

3.Fikiria tena kitu/jambo linalokufanya uwe na huzuni Maishani,kisha ondoa hofu, ondoa woga wa maisha yajayo,ondoa woga wa maisha baada ya kifo,ondoa woga wa vita,matetemeko na kuangamizwa kwa ulimwengu.Sasa huna ulichobakizi cha kukuogofya,Umebaki bila woga wowote.

4.Fikiria tena kama mtu aliyezaliwa karne ya kwanza akimsubiri mwana wa adamu aje kuangamiza dunia/ulimwengu,Jumlisha karne tano,jumlisha tena karne tano, jumlisha karne tano pia jumlisha karne tano, sasa ni karne 20 hivyo na bado ulimwengu haujaangamizwa wala kuja kwa yule,Sasa hunaulichobakiza zaiidi ya kuanzia kutumia ubongo wako vilivyo-kisawa-sawa.

5.Fikiria tena watu waliopata kuishi hapo kabla, 99% walishakufa na wengine washasahaulikia.
Kwanini uogope kifo kisicho epukika.

Ndugu zangu wapendwa hakuna Maisha baada ya kifo,Chapa kazi sana,Fanya dunia iwe mahala salama pakuishi.
Fact
 
Mbona mababu zetu waliomba mizimu na kujibiwa? Riho zipo zinazunguka hapa na pale kwa umbo tofauti lakini mbinguni na motoni ni hekaya za abunuwasi
Unawezaje kujua kuwa mababu zetu walipewa walivyokuwa wakiomba kwa sababu mizimu ndiyo imejibu maombi?
 
Aliyeuliza utajuaje mizimu inajibu ! Miaka ya nyuma 1974 kiangazi kikubwa kilitokea , nikiwa mdogo 15 tulienda kutambika chini ya mti kuomba mababu zetu watuombee kwa Mungu , japo kulikuwa na jua kali mawingu yalitokea sijui wapi na mvua ilinyesha na nilishuhudia . Je mizimu haikujibu ?Sasa chukua Bible upige magoti mpaka yachubuke kama itanyesha ! Ukristu ni utamaduni wa Ulaya ila pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom