Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hizo ni theory kuhusu kifo ziko nyingi sana inategemea ipi unaiamini
 
Duuh sio unatupotosha mkuu? Hivi ukifanya hayo yoote then kufika mbinguni unakutana na Mungu itakuwaje? Mmh bora niishi nikiwa na hofu ya Mungu hata ikitokea ikawa unachosema ni kweli nitakuwa sijapoteza kitu kuliko nifanye yooote afu kufika kule nakutana na Mungu uso kwa macho bro huo moto wakunichomea sjui utakuwaje
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea hata sisi binadamu ni hivyo hivyo usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee
Kama ngono fanya upendavyo, ukifa ndo imetoka hakunamaisha baada ya kifo.
We ngoja tu kikikufika ndo uje utuambie. Au mwenzetu kuna MTU alikufa akarudi akakupa habari hizi au ni mawazo yako ? Vizuri usiongee jambo bila ushahidi au yakini..
 
Back
Top Bottom