Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea

Hata sisi binadamu ni hivyo hivyo

Usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa,

Hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena

Kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee

Kama ngono fanya upendavyo,,ukifa ndo imetok

Hakunamaisha baada ya kifo
Kwa sisi tulioko rohoni tunajua kilichoko mbele, walioko katika mwili ya rohoni kwao ni upotevu.
 
Hakuna moto wamilele, izo ni propaganda tu za kuwafanya wanadamu wawe waoga na waishi vizuri

kunamwanafalsafa mmoja alisema,dini ni moja ya kueneza UKOLONI

naludia tena hakuna maisha baada ya kifo
Kuna mwingine alisema dini ni aina mojawapo ya ulevi katika jamii
 
Ishi kwa kuwa na imani kuwa yapo, kama hakuna huna ulichopoteza
 
This is philosophy technique, hamna lingine,, nasema hkuna maisha baada ya kifo full stop, there is no can prove it
 
Umeongea vizuri tena kwa kujiamini ila n rahisi sana ukitaka kujua kama Mungu yupo japo kuwa tukifa hatujui uwa tunaenda wap hilo ndo tatizo mungu yupo sema hujataka kujua tena indicator zIpo nyingi sana mkuuu
 
Duuuuu Mungu akusamehe sana, ukiendelea kukufuru utashangaa utapitishwa katika magumu mpak utakapoliri kuwa Mungu yupo na maisha baada ya kifo yapo. Mbegu haina budi kufa na kuota upya, the same applied to our life
 
Kwa hiyo wale wooooote waliofanya dhuluma mbalimbali kwa wenzao hapa ulimwenguni watakapokufa ndio kila kitu kimeishia hapo? Na wale waliodhulumiwa haki zao nao wakifa kila kitu kimeishia hapo? Na wale wooooote waliojiona sana akili nyingi kuliko Muumbaji na kujiongezea madaraka na knmvurugia utaratibu nao wakifa kila kitu kimeishia hapo? Sivyo hivyo!! Mwenyezi Mungu SIO DHALIMU.Mwenyezi Mungu NI MUADILIFU.Na katika kuthibitisha uadilifu wake,rejea historia ya wale wenye kiburi mwisho wao ulikuaje.Na wewe endelea kuponda raha tu,hivi karibuni utajua.
 
Kama mimea,wanyama,wadudu hufa na kupotea

Hata sisi binadamu ni hivyo hivyo

Usiumize kichwa kuwaza maisha baada ya kifo,ukishakufa ndo umekufa,

Hakuna cha peponi,wala motoni,wala kufufuka tena

Kama pombe kunywa ipasavyo,ukifa ndo nitoleee

Kama ngono fanya upendavyo,,ukifa ndo imetok

Hakunamaisha baada ya kifo
These are just mare words,where is evidence to support your claim.
We do say other wise,because,holy books(bible&Koran)says so.
Proof bro,weka ushahidi,
 
Hii ni phylosophical arguments

Inaitaji critical thinking kuyaona haya
 
These are just mare words,where is evidence to support your claim.
We do say other wise,because,holy books(bible&Koran)says so.
Proof bro,weka ushahidi,

Hizo bibilia,quran ni maandish yaliyoandkwa na binadamu kama wewe,

Lengo ni moja,kukupa vitisho ili uzinyenyekee na kuziogopa falme za dunia

Dunia inaongozwa kwa akili kubwa
 
kupanga ni kuchagua..

ila maelezo yako mepesi sana.
 
Back
Top Bottom