hakuna kitu kinakera kama hiki!!!

kuna mkaka king'ang'aniz kwel,nmem-save mr.voucher,ye akikupigia mara 2 usipopokea anatuma voucher,den mi najifany sijaona ile credit den nam-bip akipiga,ananiomba msamaha kwa usumbufu!SI KING'ANG'ANIZI,CHEZEYA MIMI WEYE
 
ahh jaman mbona wanaume mnalalama sana?
kavocha tu?
bado mariedo apo
bado kawese km ana vtz
bado niongeze m3 ya kod ya nyumba
na ada ya dogo imepungua laki 9

WANAUME WA ZAMAN AHH WANATOA YOTE AYO BILA ATA KULALAMA...kwanza USIPOMWOMBA NAKWAMBIA INAKUWA UGOMVI MKUBWA.. VP MBONA AUNIOMB ELA?KUNA MTU ANAKUPA? ahh skuizi ukijifanya UNADUMISHA penzi kwa kuomba ela UNAKIMBIWA haha ahah mimi apana elewa kabsaaaaaaaaa......JAMAN NYIE WAUME TOEEEEEEEEEEEEEN toeeen na mungu anawwaona...hazina yenu ni kubwa mbinguni.....:smile-big: m not ready for battle:nono: peac kwa waongaji wooote:rockon:
Babaeleze Rose,raha ya kuwa na mwanamke kumhonga bana!
Bishanga huwa sina masikhara na jukumu hilo,mtoto akijituma ategemee makubwa kwangu.
 
kuna mkaka king'ang'aniz kwel,nmem-save mr.voucher,ye akikupigia mara 2 usipopokea anatuma voucher,den mi najifany sijaona ile credit den nam-bip akipiga,ananiomba msamaha kwa usumbufu!SI KING'ANG'ANIZI,CHEZEYA MIMI WEYE

Mmmmmhhh unamchuna sio? Tena kavukavu bila kilainishio?
 
Ni bora aombe vocha halafu akupigie wewe.Vocha watoa wewe kupigiwa apigiwa mwngine we wabipiwa 2' wala msiwasingizie wasichana wadogo hata wakubwa pia ndo tabia yao.Inakeraaaa
 
wanaume bwana,mkipata wadada waciojua kuchuna mnawaona washamba,wanaowachuna pia mnalalamika.me naona bora akuchune2 cuz umeshindwa kumwambia yeye mwenyewe unakuja kulalamika huku.LAZIMA MCHUNWE BWANA MMEZIDI.
 
@ rose wanaume a zamani ni vibabu nini ambavyo vimetelekeza familia zao

wala .sizungumzii vibabu nazungumzia MASHABABU WA MWAKA 1946 waliokuwa wanahonga bila kulalama sio awa wanaume wa siku izi wanaume pampas ukimpiga mzinga wa buku basi anasepa:dizzy:
 
Asa wakuu,ebu fikirieni,ni juzi 2 hapa tumepewa boom.asa cha kushangaza kumbe huyu gal alipewa kwao pesa za kulipa percent yake ya ada anayodaiwa,akaipiga ndan bila hata kunishirikisha,leo asubuh asubuh hata cjapga mswaki anaanza kuniambia nimuongezee pesa amalizie kulipa ada..asa mie kweli nikitoa karibu nusu ya bumu langu kumpa mmanzi ntaishije,ukizngatia na mie wa huko home ninao wategemea,nao wanategemea hii mishahara ya mafungu inayotolewa na jk?
 
ahh jaman mbona wanaume mnalalama sana?
kavocha tu?
bado mariedo apo
bado kawese km ana vtz
bado niongeze m3 ya kod ya nyumba
na ada ya dogo imepungua laki 9

WANAUME WA ZAMAN AHH WANATOA YOTE AYO BILA ATA KULALAMA...kwanza USIPOMWOMBA NAKWAMBIA INAKUWA UGOMVI MKUBWA.. VP MBONA AUNIOMB ELA?KUNA MTU ANAKUPA? ahh skuizi ukijifanya UNADUMISHA penzi kwa kuomba ela UNAKIMBIWA haha ahah mimi apana elewa kabsaaaaaaaaa......JAMAN NYIE WAUME TOEEEEEEEEEEEEEN toeeen na mungu anawwaona...hazina yenu ni kubwa mbinguni.....:smile-big: m not ready for battle:nono: peac kwa waongaji wooote:rockon:

Rose tutake radhi bana, mwanaume pampas ndo nini, tatizo sio kuwapa hela, wadada mmekuwa hamueleweki that's y guys tukipigwa mzinga tu tunasepa, hakunaga smart man anaye invest kwenye business isiyolipa
Sasa unakuta mdada mwenyewe macho juu sikusomi ghafla unataka mkwanja lazima nisepe tena na utamu nimeshaufaidi khaa, nikae nisubiri nini,

Ndo maana watoto wa town ile first date tu appointment tunaielekezea gest ili ukijichanganya tu unamegwa na kuachwa siku hiyo hiyo, mi sinaga appointment za steers, kitu dear tukutane wap? Nakujib ... Gest house hapo lazima ukae sawa mwenyewe
 
Bishanga kuna muvi naiandaa,nataka uwe stelingi!Au unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
hiyo imekula kwako. tafuta miss independent hautapata shida ya kuombwa vocha wala pesa ya matumizi. tupo sie wajinga hatujui kuomba pesa wala vocha
 
kwakweli tabia iankera sana ile... wakati mwingine hata hamjazoeana, kakuona mara mbili tu na washikaji tayari anaanza na invoice.... TO SOME EXTENT ANAKUA KAMA ANAUZA!! AU ANALAZIMISHA WANUNUZI
 
Madamex, Hiyo simu kabla hatujaanza mahusiano ilikua inahudumiwaje???????????Kwa wenye hiyo Tabia kwa ukweli ni mbaya na waiache
 
wanawake wanamini mwanaume lazima awe na pesa regardless
 
Back
Top Bottom