hakuna kitu kinakera kama hiki!!!

Shukuru Mungu bado uko shule mnapeana mapenzi ya kishule shule. Mi nikipiga mzinga si chini ya kamilioni.
Toa vocha na ada hiyo baba, mwanaume hatambulishwi kwa sura, majukumu yanamtambulisha!
 
MANENO YA NINI? KAMA HUMTAKI SI UMUACHE, WEWE KILA SIKU WAMWAMBIA MCHAT, SIJUI MFACEBOOK, AKUFUATE BUNJU WAKATI YEYE AKAA TANDALE, kwani bunju hakuna wanawake? Upuuzi huu ...

kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.
 
We bila ubishi ni gumegume shangingi mchunaji huna lolote mapenzi ni kusaidiana lakini siyo kiivo
ahh jaman mbona wanaume mnalalama sana?
kavocha tu?
bado mariedo apo
bado kawese km ana vtz
bado niongeze m3 ya kod ya nyumba
na ada ya dogo imepungua laki 9


WANAUME WA ZAMAN AHH WANATOA YOTE AYO BILA ATA KULALAMA...kwanza USIPOMWOMBA NAKWAMBIA INAKUWA UGOMVI MKUBWA.. VP MBONA AUNIOMB ELA?KUNA MTU ANAKUPA? ahh skuizi ukijifanya UNADUMISHA penzi kwa kuomba ela UNAKIMBIWA haha ahah mimi apana elewa kabsaaaaaaaaa......JAMAN NYIE WAUME TOEEEEEEEEEEEEEN toeeen na mungu anawwaona...hazina yenu ni kubwa mbinguni.....:smile-big: m not ready for battle:nono: peac kwa waongaji wooote:rockon:
 
kuna mkaka king'ang'aniz kwel,nmem-save mr.voucher,ye akikupigia mara 2 usipopokea anatuma voucher,den mi najifany sijaona ile credit den nam-bip akipiga,ananiomba msamaha kwa usumbufu!SI KING'ANG'ANIZI,CHEZEYA MIMI WEYE

kwa hiyo ndiyo unavyonifanyiaga hivyo tena umeona uje kunitangaza humu jf....ahsante mama
 
Yaani imekuwa kawaida kwa wanawake wa leo,anaweza akawa na wanaume watano... then siku akitaka awe na laki moja basi kila mmoja hapo anamwomba elfu 20, hata kama akikosa sana unakuta anapata hata 50. Ni tabia ya ajabu sana hiyo kwa kina dada wa aina hiyo, yaani nakerwa mno. Hiyo inaleta dhana ya kuwa tegemezi katika maisha yao, na unakuta hawajishughulishi kwa kutegemea kuomba. Wanaume wa leo tunaita "invoice" ukishaona mwanamke anapenda invoice ujue hataweza kukaa na mwanaume kwa muda mrefu labda awe na zuzu. Maana maisha ya leo kila mwanaume anafikiria maisha na kufikia sehemu nzuri ya maendeleo, sasa mwanamke wa aina hiyo utakuta anakimbiwa kila siku pasipo kujijua kumbe sababu za invoice. Wanawake wa aina hiyo ovyooooo!
 
mwanamke kama unampiga pipe ya uhakika hakudai vocha wala salio!
 
nyie masharobaro ndo mana watoto wenzenu wanawakimbia Na kuwafuata wazee ambao wanawahonga mabenzi. Sasa vocha tu unalalamika. Usione vinaelea!
 
Kweli bana wamezidi, wengine kwenye date wanakuja na kalkuleta bana. Wanakuchuna kwa kutumia logarizm.

Hhhahaha Shem unaniangusha...........mwanaume kwa wanaume wenzie anajenga heshima Bar, kwa mwanamke anaijengea wapi??
Shem hebu tafadhali, usitake nianike kwake kilichonteka ati, sigeuzi, sipindui kama gari lenye tela aisee!
 
Na wewe bana Hebu msaidie mwenzio labda humpi matumizi ameona apate kwa njia ya vocha
Leo vocha 2000
kesho ya 5000
jpili 10,000.00
next week 1000

Kidogo kidogo analipiza :A S-key:
 
ndo maana naenda mwananyamala karibu na kwa kopa kupata michuchu babu kubwa..siwawezi watoto wa yombo
 
Back
Top Bottom