Hakuna kitu kibaya Kama umaskini


Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
10,811
Likes
13,015
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
10,811 13,015 280
Kanuni ya kuwa tajiri kwa kila unachotafuta kula katika ratio ya 20% ina maana 80% uwe unatunza. Sasa kama kanuni hii huijui utakuwa unapiga magenchi ya laki laki kisha unatumia 80 unasave 20 lazma dunia uione chungu.
 
kipozi

kipozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Messages
937
Likes
882
Points
180
kipozi

kipozi

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2015
937 882 180
most of vitabu ulivyosoma nimevisoma but vyakuongeza ni As a man thinketh, The power of your subconcious mind na The game of life and how to play it. Vitabu ulivyosoma ni vya kuinspire sana na kumotivate kama hujaona mabadiliko nakushauri ufatilie page ya joel nanauka instagram anaprogram za kucoach watu kubadilika kifikra na unajua kila kitu kinaanzia kwenye fikra pia uangalie video zake youtube nzuri mno
Vitabu vipi unavyonambia nisome
List ya vitabu nilivosoma

1. Ujasiliamali by wakuru magige
2. Success system that never Fail
3. Think and grow rich
4. Rich Dad, poor Dad
5. Maisha na mafanikio
6.The secret of success
7. The power of positive mind
8.The world of bussiness

Na vingine nimevisahau....
Niongezee vyako nikasome
Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 mchana

7 mchana

Member
Joined
Dec 30, 2018
Messages
63
Likes
20
Points
15
7 mchana

7 mchana

Member
Joined Dec 30, 2018
63 20 15
Unadhani Kuna bahati kwenye maisha, utachemsha mkuu.... Au unataka uapplly Idea za Napoleon Hill kwenye kitabu chake Cha Think and grow rich
.Kuna sifa za Hawa streetsmarter wanazozitumia ndo nataka nizifahamu
Nkukomaa tu hamna namna
 
Per Diem

Per Diem

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
333
Likes
279
Points
80
Per Diem

Per Diem

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
333 279 80
Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?
Nkupeleke kwa nkurunkenge upate utajiri fasta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
443
Likes
326
Points
80
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
443 326 80
Mkuu labda unaongelea umaskini upi hasa kati ya umaskini wa kipato na umaskini wa fikra/akili
 
C

CuteJancs

Member
Joined
Dec 30, 2018
Messages
45
Likes
59
Points
25
C

CuteJancs

Member
Joined Dec 30, 2018
45 59 25
Mkuu labda unaongelea umaskini upi hasa kati ya umaskini wa kipato na umaskini wa fikra/akili[/QUOT

Rudia kusoma thread, ujuaji ukizidi Sana matokeo... Najua hapa unataka kuniketa theory za makaratasi za kusuccessed
.Rudia kuisoma thread utaelewa
 
C

CuteJancs

Member
Joined
Dec 30, 2018
Messages
45
Likes
59
Points
25
C

CuteJancs

Member
Joined Dec 30, 2018
45 59 25
most of vitabu ulivyosoma nimevisoma but vyakuongeza ni As a man thinketh, The power of your subconcious mind na The game of life and how to play it. Vitabu ulivyosoma ni vya kuinspire sana na kumotivate kama hujaona mabadiliko nakushauri ufatilie page ya joel nanauka instagram anaprogram za kucoach watu kubadilika kifikra na unajua kila kitu kinaanzia kwenye fikra pia uangalie video zake youtube nzuri mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we endelea kusoma but Mimi Kuna vitu navihitaji more than Hivyo nitavisoma baadae

Na vitabu na Hivyo unavyovisema vyote vinatoa hamasa sio kwamba vinakuonesha njia moja kwa moja ya kufanikiwa ingekuwa wote tungekuwa mabillionea
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
1,337
Likes
707
Points
280
Age
27
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
1,337 707 280
Mkuu labda unaongelea umaskini upi hasa kati ya umaskini wa kipato na umaskini wa fikra/akili
Ukiwa tajiri wa fikra huku mfukoni huna kitu unaonekana Pumbu tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
M

MZALAMO

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
581
Likes
437
Points
80
M

MZALAMO

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
581 437 80
Umaskini wa waafrika wengi unatokana na kutokuweka akiba tunatumia chote tunachozalisha utafikiri hakuna kesho na hii inatokana na malezi tangu utotoni. Tunatakiwa tuwafundishe watoto wetu tangu mwanzo kuweka akiba, kwa mfano mtoto unamletea biscuit nyingi mfudishe ale kidogo zingine atunze ukiona mtoto anakula zote ujue ataendelea na hiyo tabia hadi ukubwani atakuwa anatumia mshahara wote bila kuweka akiba.
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,865