The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Kuna wanawake kama wanane hivi ambao nawafahamu kwa karibu ambao wana sifa zote za kuolewa haraka but wapo wapo tu... Na wote huwa nasikia wakilalamika kuwa wanaume ambao ni husband material hakuna.....
Sasa swali langu hapa ni kuwa kwa nini siku hizi wanawake ambao ni wife material wapo wengi sana???i mean mwanamke unakuta ni mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu.....
je tunaweza kusema Tanzania ipo kwenye social crisis???
Nchi zingine serikali huingilia kati kama kuna tatizo la ukosefu wa
wanawake au wanaume kwenye masuala ya ndoa,hasa nchi za kiarabu
na za asia....
Hivi sisi hatuna wataalamu ambao wanaweza kutupa takwimu sahihi
kuhusu masuala ya ndoa?????
je ndoa zinaongezeka au zinapungua????
sababu ni zipi hasa zinazopelekea kuwepo kwa wanwake wengiwanaotafuta waume but hawawapati???? Je athari zake kwa taifa ni zipi??? Watoto wengi wanapozaliwa nje ya ndoa???tufanyaje?????