Hakuna husband material...

Ndoa, in the traditional sense, is overrated.

Wanaosema "hakuna husband material" au "hakuna wife material" wanashindwa kuelewa au ku articulate challenges zinazoletwa na paradigm shift inayotokea katika society yetu kipindi hiki.

Mimi ndiyo maana nilishaamua hakuna habari ya kuoa.
Tunatakiwa kujifunza na yanayotokana na hiyo shift maana tunatofauti katika yale tunayoweza kufanya.
 
ebana mbona tuko serious sana na ndoa zetu tunawapenda waume zetu tunapenda watoto wetu na jamii i nayotuzunguka ,tunajiheshimu sana

laini Pia niulize unamaanisha nini unaposema yupo yupo ???
 
Now for our case, I think it is getting tougher and tougher to get married nowadays, I believe both men and women are putting too much expectation such that is becoming more and more difficult to meet these expectation and settle down. This can be the reasons one of explanation why many marriages breakup. If we could lower our expectation to achievable levels, I do believe the situation would not be as bad.

Nilianza kuamini utatoa mwangaza ulipoandika kwa kidhungu, lakini pengine umelipunguza sana tatizo au hukumuelewa mleta hoja. Hizo expectations unazozionglea ndizo zinazo cement any relationship na kwa hali ya kawaida kutokuwa na expectation out of hiyo marriage kutasababisha ndoa ikose radha na ndio chanzo cha migogoro mingi, kwa bahati mbaya nilifanya kazi India na nimekaa na wanandoa zaidi ya 800 kwa miaka 2 huko Mumbai tukiongelea ndoa na matatizo ya ndoa, si mfano mzuri kuigwa na kila aliyepitia ndoa hizo anatamani asingepitia huko.
Cha msingi hapa ni kuangalia ni kundi gani linalokosa husband/wife materials miongoni mwetu. Ni kosa kubwa kuwaweka watu wote katika kundi moja hasa linapokuja suala la mahitaji ya kimaisha. Kwa mfano hilo kundi analoliongelea mleta hoja, kwa hali ya kawaida litakuwa halina nafasi katika jamii zetu zinazo tegemea mwanamke awe mke(hii hajalishi mume anakiwango gani cha elimu au kimaisha).
 
Ukweli ni kwamba wanawake wanaojivuna kwa sababu ya walichonacho (materialistics -elimu, mali, etc) they can't make good wives neither good mothers. Usawa wa kijinsia wanautumia kama kigezo/kivuli/kinga bila kufahamu kuwa it is their destroyer. A good wife come from God.
 
Dawa ni kuongea na hao wanawake!!wanawake kikawaida hawapendi kuanzisha masuala hayo ila kama ukiwanzishia suala la ndoa, wanareact vizuri!!kwa mfano kama kuna mdada umemzimia wewe mfahamishe kisha utaona mabadiliko!!
 
No research no right to speak (Mao). I think this is a good area for conducting social research. We don't have sound grounds to why these women missed men or they don't want to live with men as husbands or they want to live independent life in which they're free to enjoy full freedom. We're supposed to know the current world trends among women especially for the educated ones. Many don't want to be married, they attached marriage life with slave life, they normally uttered that being married means reduction of personal freedom. So long as they're capable for taking care themselves there is no need for having men as a husband. Some have went far by saying if they have money they have also wide chance of having men who can satisfying them sexually. Therefore, we need to conduct research in order to reveal the truth.
 
Research zipo..inategemea unataka ku establish nini.Umesahau kuhusu MBAs?
Moja ya sababu kwanini baadhi ya wanawake hawataki kuolewa ni kuwepo kwa MBAs wa kumwaga.
 
Tatizo ni kwamba wanawake ni wengi lakini mke yaani wives ni wachache sana ndiyo wote ambao wapowapo ni wanawake siyo wake
 
Tatizo ni kwamba wanawake ni wengi lakini mke yaani wives ni wachache sana ndiyo wote ambao wapowapo ni wanawake siyo wake

Kipi kinatangulia? Ofcourse unaanza na mwanamke halafu unamtengeneza kuwa mke.Hao watengezeaji wapo?
 
Ndoa, in the traditional sense, is overrated.

Wanaosema "hakuna husband material" au "hakuna wife material" wanashindwa kuelewa au ku articulate challenges zinazoletwa na paradigm shift inayotokea katika society yetu kipindi hiki.

Mimi ndiyo maana nilishaamua hakuna habari ya kuoa.

ah. kuoa bwana na boring, unaoa leo kesho wife kagawa game mambo gani kudharirishana tu. bora kuwa single tu..mambo ya kulinda ndoa na mke mzinzi nani anaweza, tupa mbali..
 
"I mean mwanamke unakuta
ni mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu"

Unajua na kuchanganya mapenzi na shule zao...wanashidwa tofautisha...ndio maana wapo wapo.
Wengine wana diriki kusema ukiwa na mie jivunie...kichwa cha degree...Wasumbufu sana hawa kwenye mahusiano...

Very true... ndio maana many marriages za walio na maisha ya chini zinabeba maana halisi kuliko hizi ndoa za wasomi na the so called "elites"

Bluray pointed out very well "ndoa ziko overrated"... alas i am still married
 
Kipi kinatangulia? Ofcourse unaanza na mwanamke halafu unamtengeneza kuwa mke.Hao watengezeaji wapo?

Tunataka finished products... wanafunzi wengine hawafundishiki!! your theory would only work if we were allowed to sign marriage certificates after a few years of "making those wives from women"
 
Mimi nafikiri kinachosumbua sana ni jinsi gani watu walivyo jiwekea vigezo vya mme au mke mwema anayeweza kuishi naye kama life partner.
HUSBAND AS WELL AS WIFE MATERIAL WAPO KIBAO
 
Tunataka finished products... wanafunzi wengine hawafundishiki!! your theory would only work if we were allowed to sign marriage certificates after a few years of "making those wives from women"

it depends on which side u r ...binafsi naweza kusema its a collabo between mfundishwa na mfundishaji.Ukipata mwalimu bomu basi hata dent awe mzuri namna gani itakuwa kazi bure.Wakati mwingine mwalimu anam corrupt dent... hivyo lawama zisiende kwa mwanafunzi tu.
Tukija kwenye mada - kweli kuna wanawake hawako kuolewa na pia kuna wanaume si waoaji.Sasa ukikutana na hawa ndugu umeumia - ni kama kutwanga maji kwenye kinu.
 
sasa swali langu hapa ni kuwa kwa nini siku hizi wanawake ambao ni wife material wapo wengi sana???i mean mwanamke unakutani mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu.....
Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.
 
Mimi nafikiri kinachosumbua sana ni jinsi gani watu walivyo jiwekea vigezo vya mme au mke mwema anayeweza kuishi naye kama life partner.
vigezo vinavyowekwa na wanawake kwenye mtu wa aina gani wanataka awe mume ndio vinavyowafanya hao unaowaita wife materials kukosa wanwake mpaka umri wa kuolewa unapita. Pia vigezo hivi hivi vinawatesa na baadhi ya wanaume. Kama unamtaka mke/mume wa kuwafurahisha washikaji ndio hapo unapokaa benchi kwa muda mrefu kabla ya kuanza kupiga kabumbu ya ndoa yenyewe. Kazi ipo kuchagua mke sio lelemama wakuu MUNGU lazima achukue nafasi yake vinginevyo utakuja kujuta
 
Back
Top Bottom