Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

Unakitu gani cha zaidi marehemu wewe
Muulize mvuta b.a.n.g.e mwenziyo aliyeko cello no.....akupe uziada wangu nilionao l.o.f.a. mkuu we!Au lete fyoko ndo utautambua uziada wangu.Vinginevyo,kufa au hama nchi km unakerwa na utawala huu.
 
Povu la nini? Hapa humtishi mtu huna uwezo wa kufanya lolote kenge wee!
Hata mvuta b.a.n.g.e mwenziyo aliyeko cello alikuwa na ubishi km wako l.o.f.a we!Leo krismas ataisikia kupitia popo walioko naye humo!Dola ni dola na mkosaji ni mkosaji-tambua.
 
Kati ya ujinga Bunge hili lililofanya ni kukubali kutoonyeshwa live. Sasa kama hatujui wanachojadili kuna haja gani ya kuomba budget approvals kwa bunge ambalo halionekani?
Wangejiuzulu tu na au wapendekeze kuwa nafasi za ubunge na madiwani ziondolewe na badala yake wabaki wakuu wa wilaya na mkoa peke yake.
Hivi hawaoni yanayofanyika bila utaratibu waliojiwekea?
Wabunge jiuzuluni kwani kubaki kwenu mnageuka kuwa genge LA wapiga dili.
 
Utakufa na kihoro mkosaji ww!
Shida yenu nyie watu wa kuunga mkono kila ni kwamba hua hamtumii akili hata kidogo, nyie ni kuunga mkono tu kila kitu. Mleta HOJA hana nia mbaya na wala si kwamba anapinga hicho kinacho fanywa na mhe sana, anachosema ni hiki; kama hatuwezi fata taratibu zetu wenyewe, ni kwanini tusivunje tu hilo jingine na mambo yaanzie tu sehemu moja!? Huoni pia tutakua tumebana matumizi!? Wasipokuwepo hao kina Lusinde, tuta save pesa nyingi tu na may be tunaweza kununua ndege zingine hata 10, kwani si ndio kipaumbele!? Think positive and not negative, mleta HOJA ana HOJA, jadiri HOJA na sio mleta HOJA na huo ndio ukomavu!
 
Kwenda kuomba ruhsa bungeni ni kuongaza gharama bure kwani wakidinda watalainishwa kwa vimilioni kumikumi na kuachia,hivyo gharama zitaongezeka. Wache waamue wapendevyo mwisho wa yote nasi tutaamua tunavyotaka.
 
Nilitembelea Hospitali ya saratani ocean road, niliyoona yanaumiza sana. wagonjwa hawana dawa na ni mateso mno kutokuwa na dawa na dawa zao ni ghali mno mno! tuangalie kwanza UHAI wa watanzania wezentu jamani
Kipaumbele cha Kwanza ni ndege! Ccm mbele kwa mbele..
 
Hapa ni lazima tujiulize wabunge waliingiaje bungeni na wao wana matarajio gani kutokana na marupurupu yatokanayo na ubunge wao? Mimi namlaumu Spika wa bunge kukaa kimya badala ya kupendekeza bungeni kwamba kama hawana kazi ni bora bunge livunjwe nchii hii iongozwe na mhimili wa utawala pekee.
 
Loading.....
Google; Bombardier mnatoaga 10% commission?.....
 
Bunge la bajeti uchwara. Jamaa haliheshimu kabisa Bunge, juzi kagawa bilioni 10 kwa jeshi la Magereza. Hizi pesa anazogawa kama njugu anazitoa wapi!? Kuna faida gani ya Serikali kuwa bajeti wakati Rais haiheshimu bajeti hiyo na kugawa pesa hovyo hovyo bila idhini ya Bunge!?
Jamaa ni janga kubwa la Taifa.
Sitashangaa siku tukisikia Nchi na watu wake wote tushauzwa. Maana haijulikani fedha hizi kazitoa wapi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Muulize mvuta b.a.n.g.e mwenziyo aliyeko cello no.....akupe uziada wangu nilionao l.o.f.a. mkuu we!Au lete fyoko ndo utautambua uziada wangu.Vinginevyo,kufa au hama nchi km unakerwa na utawala huu.
Huna cha uziada hapa kama umeshindwa kujadili mambo ya msingi na kuleta ujinga wa kutishia watu nenda kwa mwenza wako mkafyatue watoto fisi mkubwa!
 
Kweli hapo serikali haijafanya vizuri.
Tatizo hapa siyo tawi la utawala bali ni Bunge lenyewe limeshindwa kutetea maslahi yake katikati ya ile mihimili mitatu! Kwenye suala la Lugumi bunge lilifanya nini kama si kuipa serikali penati. Leo kuna watu wanajifanya kuna kuwajibika wakati kuna kuwajibishana kama tu maslahi ya wenye madaraka hayaguswi.
 
Sijui ipo siku,, tutasikia natoa hizi pesa billion 10 zijenge nyumba za walimu secondary na msingu japo two in one,, na mklimaliza nitaongeza nyingine!!!
 
Hayo ndo madhara yakuwa na wabunge wenye fikra za uchama na kudhani ubunge wao ni zawadi ya chama! Kwa wabunge wa CCM only bashe knows is role as an MP!!!
 
Hakuna haja ya kuwa na vikao vya Bunge kujadili bajeti ya serikali kama mhimili wa utawala unaweza kutumia fedha zilizo nje ya bajeti bila ya kuomba kibali cha bunge wala kulitaarifu bunge.

Kama maamuzi ya vikao vya Bunge la bajeti hayaheshimiwi kuna haja gani ya kuwa na vikao hivyo? Huo ni ufujaji wa fedha za walipa kodi na walalahoi wavuja jasho wa nchi hii.
Usikate tamaa, bunge linahitajika, huu utawala kama haukurizishi. Kumbuka huu utawala unapita tu baada ya miaka minne na kama wakibahatika tena miaka kumi, hawapo hapo milele.
 
Back
Top Bottom