JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Kinachofanyika katika awamu hii hakijapata kutokea popote duniani. Haiwezekani mipango ya kununua mali na huduma upangaji unafanyika ikilu. Hebu tujiulize ni lini serikali ilitangaza tenda ya ununuzi wa boing 787-8 streamliner na mtu akashinda hiyo tenda na makubaliano kufanywa na kisha down payments kulipwa? taratibu zimefuatwa? Je, bajeti yake ilitengwa?