Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

Mwisho wa sifa upo karibu sana, wanafinzi wamenyimwa mikopo ili ndege inunuliwe, kunatofauti gati na kauli ya Mramba enzi zake kuhusu ndege ya Rais.
Chadema waanzishe mfuko wa kukopesha wanafunzi kuokoa jahazi.
 
Bungeni mkienda kazi kutafta vichwa vya habari tu kwenye magazeti ili tuwaone... Mabadliko siyo kuzungusha mikono tuu. Viva Magufuli
 
Kuna kitu kinakutekenya makalioni! Si muda mrefu utapachwika kitu kigumu kikukune!
Unakunwa ww mkosaji usiyeisha kutoka huruma ya kupakatwa huku uwaombao kwalo wao ni ww ni kichefuchefu!
 
Baba J bado ananyosha nchi kwanza ati. Mazungumzo ya manunuzi anafanya mwenyewe. Ataachia michakato na mifumo ianze kujikongoja probably mwaka 2019. For the time being, wote tunapaswa kusema amen kwa kila analosema.
Harafu hawa wazungu wakijua udhaifu wako wanakujazia mapambo, akitoka huyu anaingia mwenzake
 
Hakuna haja ya kuwa na vikao vya Bunge kujadili bajeti ya serikali kama mhimili wa utawala unaweza kutumia fedha zilizo nje ya bajeti bila ya kuomba kibali cha bunge wala kulitaarifu bunge. Kama maamuzi ya vikao vya Bunge la bajeti hayaheshimiwi kuna haja gani ya kuwa na vikao hivyo?

Huo ni ufujaji wa fedha za walipa kodi na walalaho wavuja jasho wa nchi hii!!

Nenda katika website ya bunge tafuta hotuba ya bajeti iliyowasilishwa na waziri. Fungua page ya 45. Utakutana na kipengele number 52 section ii
 
Wewe ungekuwa mzazi ungenijibu swali hili. Kama umeweza kumlipia mtoto chekechea dola mia nane kwa mwaka tena .Mtoto wa miaka miwili. Na ukaweza kumlipia milioni moja point tisa kwa term mara tatu mara miaka saba. Ukamlipia secondary millioni sita au hata tatu kwa mwaka. Unashindwaje kumlipia chuo kikuu kwa kozi ya laki tisa ada kwa mwaka au hata pale MD muhimbili M tatu kwa mwaka? Tuacheni ushabiki. Mtoto ni jukumu lako na selikari itaingilia tu panapo interest zake. Ikikusomesha inakuhitaji. Kalagabaho. Lipieni wanenu wasome acheni siasa.
Ahadi ilikuwa kejeli
 
Mzee Mkapa bwana ("MALOFA NA WA,PUMBAVU)"Mwisho wa kunukuu.Mleta mada na ma l.o.f.a wenziyo km hampendi yote yafanyaywo na serikali hii hakika mnaweza kuchagua kufanya yafuatayo;MKAE KIMYA,MFE au MHAMIE nchi nyingine kwa kukerwa kwenu na hayo yatukikayo leo na miaka mingine9+ ijayo.Na mkileta fyoko,kitakachawapata muulizeni mvuta b.a.n.g.e fulani aliyeko cello no..... kinachompata!
 
Bhikalamba mimi naamini kwamba kama vikao na maamuzi ya Bunge kuhusu Bajeti hayaheshimiwi, basi ni bora vikao hivyo visiwepo na kama inawezekana na bunge lenyewe lisiwepo kabisa!!
Bunge hili halina uwezo wowote hasa pale mhimili mwingine unapopeleka watu wake humo ndani. Bu ge la kuziba macho, kumbuka wapinzani walifukuzwa .
 
Tuna matatizo makubwa kweli ya kiuongozi sasa hivi yani mtu mmoja anaona mawazo yake ni bora kwa kila jambo analolifikiria.Kazi ipo nchi hii
 
Bunge hili halina uwezo wowote hasa pale mhimili mwingine unapopeleka watu wake humo ndani. Bu ge la kuziba macho, kumbuka wapinzani walifukuzwa .
Nilifurahi sana siku wale (waheshimiwa wabunge wanawake)wa upinzani walivyotoka bungeni wakiwa wameziba midomo.
 
Napendekeza idadi ya majimbo ipunguzwe, kila mkoa uwe ni jimbo moja maana hawana faida kwa awamu hii ya 5 7bu kila kitu kinaamuliwa na malaika asiyekosea
 
Umekwisha kazi akili za kuazima, kipaumbele mbayuwayu, unapandishwa bure maana unalopoooka
Usihangaike na huyu mchumia tumbo , hawali wala hawalali bila elfu 2 za ccm , ntakutajia ID yake ya nyingine kwa PM , Hana lolote .
 
Back
Top Bottom