kwisha kazi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 690
- 321
Ww l.o.f.a,tambua tunakufahamu nje ndani.Elewa hivyo!Usihangaike na huyu mchumia tumbo , hawali wala hawalali bila elfu 2 za ccm , ntakutajia ID yake ya nyingine kwa PM , Hana lolote .
Ww l.o.f.a,tambua tunakufahamu nje ndani.Elewa hivyo!Usihangaike na huyu mchumia tumbo , hawali wala hawalali bila elfu 2 za ccm , ntakutajia ID yake ya nyingine kwa PM , Hana lolote .
Baba mlezi alikulegeza vibaya mno ndio maana unasema unachokijuwaUnakunwa ww mkosaji usiyeisha kutoka huruma ya kupakatwa huku uwaombao kwalo wao ni ww ni kichefuchefu!
Unakitu gani cha zaidi marehemu weweWw l.o.f.a,tambua tunakufahamu nje ndani.Elewa hivyo!
Hakuna haja ya kuwa na vikao vya Bunge kujadili bajeti ya serikali kama mhimili wa utawala unaweza kutumia fedha zilizo nje ya bajeti bila ya kuomba kibali cha bunge wala kulitaarifu bunge. Kama maamuzi ya vikao vya Bunge la bajeti hayaheshimiwi kuna haja gani ya kuwa na vikao hivyo?
Huo ni ufujaji wa fedha za walipa kodi na walalaho wavuja jasho wa nchi hii!!
Hakuna haja ya kuwa na vikao vya Bunge kujadili bajeti ya serikali kama mhimili wa utawala unaweza kutumia fedha zilizo nje ya bajeti bila ya kuomba kibali cha bunge wala kulitaarifu bunge. Kama maamuzi ya vikao vya Bunge la bajeti hayaheshimiwi kuna haja gani ya kuwa na vikao hivyo?
Huo ni ufujaji wa fedha za walipa kodi na walalaho wavuja jasho wa nchi hii!!
9.1 Hakuna fedha za kuendesha ATCL
Mheshimiwa Spika, pamoja na serikali kutenga fedha kwa ajili ya kununua ndege mbili, jambo la kushangaza ni kuwa hakuna fedha za uendeshaji ambazo zimetengwa na serikali kwa ajili ya shirika letu la ndege ATCL .Hata kwenye mashirika ya serikali ambayo yatapata ruzuku kwa mujibu wa kitabu cha Volume II ‘Public Expenditure’ kifungu 62 kasma 2006 kifungu 270846 ATCL zimetengwa shilingi bilioni 3.221 kwa ajili ya mishahara. Fedha kwa ajili ya uendeshaji ‘other charges’ hakuna hata senti moja iliyotengwa kwa mwaka huu wa fedha.
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, inataka kujua baada ya serikali kununua ndege hizo mbili shirika litapata wapi fedha kwa ajili ya undeshaji na hasa ikizingatiwa kuwa shirika mpaka sasa ni mufilisi ? Serikali haikuona umuhimu wa kulipatia shirika hili ruzuku kwa ajili ya uendeshaji wa shirika, mtaji wa kuanzia utatoka wapi? Source: Bajeti ya Tanzania ya Kambi ya Upinzani Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017
RAIS MAGUFULI - TUMESHANUNUWA BOEING KUBWA ITAKAYOBEBA KARIBIA ABIRIA 262 Boeing 787 - 8 Dreamliner
Source: Bin Seif / Channel Ten Tanzania
Boeing 787-8 Dreamliner
Source: pilotdynan
Msaidie basi mletee hiyo hotuba au sehemu ya hotuba husika aweze kufahamu kama alivyoleta yeye. Tuwabane kwa ushahidi..na kwa faida ya woteNenda page ya 45 ya hotuba ya Waziri 52 (ii)
Duuuu!! Mungu tuhurumieKm unakerwa,kufa au hama nchi l.o.f.a!
Unategemea nini kama watu wamepata ubunge kwa kutumia pesa nyingi na waganga/wachawi, hayo ndo matokeo ya kumkataa Mungu.Shida ni kuwa wao wakikaa vikao vya bunge wanalipwa mkuu, sasa kuna faida gani kukaa kwao? Tupige chini bunge la budget au tuwaamini pamoja na wanayo ya fanya kuwa sio
Sifa ya mbunge ni kujua kuandika na kusoma.Kwa aina ya wabunge tulionao mimi sioni shida
Ukisoma kazi za bunge utagundua si kusoma na kuandika tu inatosha kuwa mbunge. Inahitaji wabunge wawe na taaluma kama sheria, elimu, tiba, uuguzi, biashara, uchumi nk. Sasa mnakuwa na wabunge ambao hawakwenda shule matokeo yake bunge linakosa changamoto, unakuta ni wabunge wachache tu kama Nassari, Zitto, Bashe, Lissu ndo utakuta wanaongea vitu vya maana bungeni tofauti na lusinde na yule wa sanamu ya diamond ambao wanaakisi laana ya taifa hiliSifa ya mbunge ni kujua kuandika na kusoma.