Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,637
- 27,031
Sheria ya manunuzi ya serikali haimjaribu Magu,hajaribiwi kabisa!Leo nimeshangazwa na kauli ya Rais akisema kama kuna muwekezaji shinyanga,kwanini wasimfute tu!Duuuuh,hii imenichosha,halafu eti tunavutia uwekezaji!Kinachofanyika katika awamu hii hakijapata kutokea popote duniani. Haiwezekani mipango ya kununua mali na huduma upangaji unafanyika ikilu. Hebu tujiulize ni lini serikali ilitangaza tenda ya ununuzi wa boing 787-8 streamliner na mtu akashinda hiyo tenda na makubaliano kufanywa na kisha down payments kulipwa? taratibu zimefuatwa? Je, bajeti yake ilitengwa?