Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Hakuna haja ya kuwa na bunge unapanga bajeti lakini hupangi matumizi. Bunge gani hilo na cha ajabu wabunge kama wamepigwa ganzi hakuna anayeongea.
Ni ajabu,itabidi tutumie uchawi wako kuwaondoa hawa mabazazi.Hivi bajeti ya ongezeko la mishahara lililopitishwa kama annual increments za wtumishi ndo wametapeliwa ama?Nimeshangazwa na mazungumzo ya kununua ndege nyingine mbili kubwa na kwamba pesa yake iko tayari!
Kila nikiyakumbuka ya Mv Dar es salaam napata hofu
Mmmh jamaa weweMystery hata wakinuna lazima tutawaambia ukweli kwani hii nchi ni yetu sote!!
We ni kaboya, kuna watu wamesoma kayumba mwanzo hadi mwisho, unakuja kuongea upumbavu hapaWewe ungekuwa mzazi ungenijibu swali hili. Kama umeweza kumlipia mtoto chekechea dola mia nane kwa mwaka tena .Mtoto wa miaka miwili. Na ukaweza kumlipia milioni moja point tisa kwa term mara tatu mara miaka saba. Ukamlipia secondary millioni sita au hata tatu kwa mwaka. Unashindwaje kumlipia chuo kikuu kwa kozi ya laki tisa ada kwa mwaka au hata pale MD muhimbili M tatu kwa mwaka? Tuacheni ushabiki. Mtoto ni jukumu lako na selikari itaingilia tu panapo interest zake. Ikikusomesha inakuhitaji. Kalagabaho. Lipieni wanenu wasome acheni siasa.
Kuna kitu kinakutekenya makalioni! Si muda mrefu utapachwika kitu kigumu kikukune!Tambala la deki
Mpumbav u wewe kuna wananchi wangapi wenye uwezo huo! Shenzitype!!Wewe ungekuwa mzazi ungenijibu swali hili. Kama umeweza kumlipia mtoto chekechea dola mia nane kwa mwaka tena .Mtoto wa miaka miwili. Na ukaweza kumlipia milioni moja point tisa kwa term mara tatu mara miaka saba. Ukamlipia secondary millioni sita au hata tatu kwa mwaka. Unashindwaje kumlipia chuo kikuu kwa kozi ya laki tisa ada kwa mwaka au hata pale MD muhimbili M tatu kwa mwaka? Tuacheni ushabiki. Mtoto ni jukumu lako na selikari itaingilia tu panapo interest zake. Ikikusomesha inakuhitaji. Kalagabaho. Lipieni wanenu wasome acheni siasa.
Kuisigina katiba ya nchi ni jambo ambalo hata Nyerere aliogopa sana .Hakuna haja ya kuwa na vikao vya Bunge kujadili bajeti ya serikali kama mhimili wa utawala unaweza kutumia fedha zilizo nje ya bajeti bila ya kuomba kibali cha bunge wala kulitaarifu bunge. Kama maamuzi ya vikao vya Bunge la bajeti hayaheshimiwi kuna haja gani ya kuwa na vikao hivyo?
Huo ni ufujaji wa fedha za walipa kodi na walalaho wavuja jasho wa nchi hii!!
Bunge na wizara zote ni mtu mmoja tu .Bhikalamba mimi naamini kwamba kama vikao na maamuzi ya Bunge kuhusu Bajeti hayaheshimiwi, basi ni bora vikao hivyo visiwepo na kama inawezekana na bunge lenyewe lisiwepo kabisa!!
We kweli hamnazo, ukisema hivyo maanake hakuna haja ya serikali kukusanya kodi na kugharamia social services. Haya sema sasa na walimu tuwalipe mishahara kwa kuwa wanafundisha watoto wetu, au barabara tujenge die kwani ndio tunao tumia. Halafu hebu nambie walionyimwa wote mkopo wapo kwenye category uliotaja? Think biggerWewe ungekuwa mzazi ungenijibu swali hili. Kama umeweza kumlipia mtoto chekechea dola mia nane kwa mwaka tena .Mtoto wa miaka miwili. Na ukaweza kumlipia milioni moja point tisa kwa term mara tatu mara miaka saba. Ukamlipia secondary millioni sita au hata tatu kwa mwaka. Unashindwaje kumlipia chuo kikuu kwa kozi ya laki tisa ada kwa mwaka au hata pale MD muhimbili M tatu kwa mwaka? Tuacheni ushabiki. Mtoto ni jukumu lako na selikari itaingilia tu panapo interest zake. Ikikusomesha inakuhitaji. Kalagabaho. Lipieni wanenu wasome acheni siasa.