Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo ruhusu ngono kufanyika (congenital abnormality).

Sasa katika zama hizi tendo la ndoa liko nje nje unaoa/kuolewa ili iweje? Huwezi ukakomaa na mwenza wako wakati maumbile yenu yanazidi kupoteza mvuto kutokana na kuzoeana, umri kusonga na kuzaa. Halafu atokee kigori ama serengeti boys amekuzimia na kuonyesha utashi ama mwenyewe ukafanya kama kumtega akaingia laini halafu uchomoe kisa una ndoa. Haiwezekani...!! Narudia HAIWEZEKANI...!!

Tusiwaone wazungu ni wazembe kuruhusu ndoa za mikataba. Walishayaona haya. Nasi tutafika tu, maana ni kawaida yetu kubisha kwanza kabla ya kukubali vinavyopendekezwa na wazungu.

1. Tulibishia dini zao
2. Tulibishia elimu yao
3. Tulibishia mifumo ya vyama vingi

Sasa hivi tunabishia
1. Ndoa za mikataba
2. Ushoga
3. Utoaji mimba

Tutakubali tu......!!
Kila siku vilio vya usaliti kila kona. Ndoa hazina maana tena maana tendo la ndoa a.k.a mgegedo uko nje nje. Kwann ugandane na mmoja?? Halafu mbaya zaidi ukute unaye gandana naye anakosa sifa mojawapo ya mchepuko;-
1. Usafi
2. Utundu kwenye 6*6
3. Shepu na sura
4. Umri mdogo kuliko mwenza wako
5. Nyama ya ulimi (maneno matamu)
..n.k
Utakimbia tu kwenda kwa mchepuko na kumtupa kule mwenza wako.
Unagandana na mtu maisha yote mpk appetite inakatika!!!? Ya nn kujitesa?? Ikilazimu tuoane kwa mikataba bhana... Ili kila mtu akikutana na kipya kinyemi anasepa na kula ile kitu roho inataka. Kimsingi ndoa hazina tens ulazima zama hizi.
NAWASILISHA.

MKUU
UNGEWEKA PICHA TAFADHALI.
 
Ushenzi wa kupenda ngono na kutobagua kama wanyama utakumaliza wewe mleta mada hii na wafuasi wako.
Huna utu, na usidhani kila mtu yupo unavyofikiria na unavyotaka awe kisa wewe huko hivyo.

Huwa sipendi kutukana ila kuna watu mnanifanya niwe hivi.
Sio kila kijana anapenda ngono kama wewe.. Usitake kila mtu awe na fikra uliyonayo, wengne tunajiheshimu...
Fanya zinaa upendavyo lakini siku ya mwisho utakiona..

Umenikeraaaaaaaaaaaaa
Mkuu usinuchukie. Mm nimeeleza mambo ambayo yapo na yanashamiri.
Wakati unanichukia hebu fikiria
-akina baba walioamua kuwa walevi baada ya kuachwa na hao waliowaita wake wake zao
-hebu fikiria akina mama wanao taabika na watoto peke yao baada ya kuachwa na hao walio waita waume zao.
-hebu fikira watoto waliobatizwa jina la watoto wa mitaani wanavyo hangaika mitaani baada ya ndoa za wazazi wao kushindikana.

Nadhani na wewe ungetoa mawazo mbadala ya nn kifanyike ili kuzuia janga hili. Ndoa hazina heshima kqbisa, mume anachepuka mke anachepuka.
 
Ebu chukulia wewe mtoa mada, mimi leo naingia mkataba na mamako na kuanza kumkojoza.kwamba umri wangu ni miaka 26 hivi wewe uko na miaka 36+ na mamako ndio kanidodokea hivyo.je utakuwa tayari kuniita baba?ktk kipindi chote cha mkataba? utapenda ni renew mkataba naye?if yes nipe namba yake
Haya mambo hayahitaji hasira. Tumia akili zaidi kuliko hisia. Vinginevyo jf haikufai
 
Am Man has a Point....
Nilikuwa nasoma kitabu kimoja two days ago..
b2c6271b34ef0e43fae041e95003f494.jpg

Nahisi muanzisha thread na ww umesoma hichi kitabu sio bure....

Sikubaliani na ww kwa Asilimia 100 lakini kuna sehemu umeongea point...
Hahahaaaa John Gray...
 
Unaishi kwa mazoea na unaogopa mabadiliko. Pole yako.
Wengi wameathirika kisaikolojia maana waliingia kwenye ndoa kwa misukomo ya umri ndoa zikageuka kuwa ndoana. Hebu mtafakari na kumtathimini uliye naye. .....ana furaha 100%...?? Au anaishi nawe kwa kuogopa ndugu, jamaa na marafiki?
Ambao walitoa michango yao na kula na kunywa siku ya harusi
 
me najua sababu ya kuoa ni kuanzisha familia bhas,na si vinginevyo kama kupenda na the likes.kwa hyo kwangu mimi Kuoa kuna umuhimu,btw kuna mantiki katka ulichokiongea,wanyama walivyoumbwa tuu,ni wapo automatic poligamous au monogamous mfano njiwa akioa haachi labda mwenza wake afe au apotee,mbwa yeye majike/madume yote ana-do nayo na ndo alivyo hvyo.ila sisi binadamu ni uamuzi wa mtu kuchagua kuwa monogamist ua poligamist.
 
Mkuu usinuchukie. Mm nimeeleza mambo ambayo yapo na yanashamiri.
Wakati unanichukia hebu fikiria
-akina baba walioamua kuwa walevi baada ya kuachwa na hao waliowaita wake wake zao
-hebu fikiria akina mama wanao taabika na watoto peke yao baada ya kuachwa na hao walio waita waume zao.
-hebu fikira watoto waliobatizwa jina la watoto wa mitaani wanavyo hangaika mitaani baada ya ndoa za wazazi wao kushindikana.

Nadhani na wewe ungetoa mawazo mbadala ya nn kifanyike ili kuzuia janga hili. Ndoa hazina heshima kqbisa, mume anachepuka mke anachepuka.
Nitoe mawazo gan wakat umesema mtu hapaswi kugandana na mtu mmoja???
 
unadhani yeye alie iweka hio ndoa ni mjinga kiasi cha kwamba wewe uje na marekebisho ama?
 
Tuwe na tafakuri kwenye kila jambo...kila kitu kipo kwa maana yake na makusudio yake kamili...usasa usipotoshe ukweli kwakuwa usasa mizizi yake ni u kale na u kale ndio asili ya kila kitu
 
Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo ruhusu ngono kufanyika (congenital abnormality).

Sasa katika zama hizi tendo la ndoa liko nje nje unaoa/kuolewa ili iweje? Huwezi ukakomaa na mwenza wako wakati maumbile yenu yanazidi kupoteza mvuto kutokana na kuzoeana, umri kusonga na kuzaa. Halafu atokee kigori ama serengeti boys amekuzimia na kuonyesha utashi ama mwenyewe ukafanya kama kumtega akaingia laini halafu uchomoe kisa una ndoa. Haiwezekani...!! Narudia HAIWEZEKANI...!!

Tusiwaone wazungu ni wazembe kuruhusu ndoa za mikataba. Walishayaona haya. Nasi tutafika tu, maana ni kawaida yetu kubisha kwanza kabla ya kukubali vinavyopendekezwa na wazungu.

1. Tulibishia dini zao
2. Tulibishia elimu yao
3. Tulibishia mifumo ya vyama vingi

Sasa hivi tunabishia
1. Ndoa za mikataba
2. Ushoga
3. Utoaji mimba

Tutakubali tu......!!
Kila siku vilio vya usaliti kila kona. Ndoa hazina maana tena maana tendo la ndoa a.k.a mgegedo uko nje nje. Kwann ugandane na mmoja?? Halafu mbaya zaidi ukute unaye gandana naye anakosa sifa mojawapo ya mchepuko;-
1. Usafi
2. Utundu kwenye 6*6
3. Shepu na sura
4. Umri mdogo kuliko mwenza wako
5. Nyama ya ulimi (maneno matamu)
..n.k
Utakimbia tu kwenda kwa mchepuko na kumtupa kule mwenza wako.
Unagandana na mtu maisha yote mpk appetite inakatika!!!? Ya nn kujitesa?? Ikilazimu tuoane kwa mikataba bhana... Ili kila mtu akikutana na kipya kinyemi anasepa na kula ile kitu roho inataka. Kimsingi ndoa hazina tens ulazima zama hizi.
NAWASILISHA.
Hata ibilisi ana maneno matamu kama yako.
Kwa ujinga wako unafikiri kila anachofanya mzungu ni sahihi.
Soma biblia utaelewa maana ya ndoa. wazungu ni viumbe ambavyo ni mawaka wa shetani hasa USA
 
Mmh!! Mkuu yamekuwa hayo!!? Wazungu si ndiyo waliozileta hizo dini afrika??
 
Tuwe na tafakuri kwenye kila jambo...kila kitu kipo kwa maana yake na makusudio yake kamili...usasa usipotoshe ukweli kwakuwa usasa mizizi yake ni u kale na u kale ndio asili ya kila kitu
Mkuu usasa umeparaganya kabisa ukale. Mambo ya miiko hakuna tena. Methali kama mume/mke wa mtu ni sumu siku hizi zimebadilishwa. Wenyewe wanasema mke/mume wa mtu hana bughudha hivyo siyo sumu tena. Sasa tunafanyaje kuyashinda yote haya??
 
unadhani yeye alie iweka hio ndoa ni mjinga kiasi cha kwamba wewe uje na marekebisho ama?
Aliyeziweka hakuwa mjinga lkn wanadamu wa leo tumepotoka. Ndoa hazina heshima tena. Ni vurumai.
Nikupe nukuu ya rais Robert Mugabe wa Zimbabwe inasema wanandoa wako tayari kushirikiana na kushikana sehemu zao za siri lkn hawako tayari kushirikiana na kushikiana simu zao za mikononi.

Maana yake ni kwamba zimeficha mambo machafu ya kimichepuko.
 
me najua sababu ya kuoa ni kuanzisha familia bhas,na si vinginevyo kama kupenda na the likes.kwa hyo kwangu mimi Kuoa kuna umuhimu,btw kuna mantiki katka ulichokiongea,wanyama walivyoumbwa tuu,ni wapo automatic poligamous au monogamous mfano njiwa akioa haachi labda mwenza wake afe au apotee,mbwa yeye majike/madume yote ana-do nayo na ndo alivyo hvyo.ila sisi binadamu ni uamuzi wa mtu kuchagua kuwa monogamist ua poligamist.
Nadhani mkuu unaona woga kutamka kuwa taasisi ya ndoa imeshindwa na kuanguka kabisa dunia ya Leo. Huo ndiyo ukweli. Tutaeleza kwa hisia za kinadharia na mitazamo ya kidini lkn ukweli utabaki kuwa taasis hii imeshindwa.
 
Mmh!! Mkuu yamekuwa hayo!!? Wazungu si ndiyo waliozileta hizo dini afrika??
Wazungu waliaminiwa na wakatumiwa kuleta dini afrika ila wakakengeuka na sasa wameshalaaniwa, miji kama ya sodoma na gomola iliangamia sababu ni kama hayo mambo unayoyapigia debe, angalia majanga yanayozikumba nchi za ulaya vimbunga, tsunami, matetemeko hizo zote ni laana.
Babu zetu walikuwa na wake zaidi ya 5 lakini upendo na amani vilitawala
Lakini kwa sasa mke mmoja tu ni shida sababu ya haki sawa aliyoanzisha mzungu.
Mana me nakuona mtoa mada kama umechanganyikiwa haujui nini ulichoandika.
Kuna msemo unasema mambo ya kienda kombo..............?
 
Nadhani mkuu unaona woga kutamka kuwa taasisi ya ndoa imeshindwa na kuanguka kabisa dunia ya Leo. Huo ndiyo ukweli. Tutaeleza kwa hisia za kinadharia na mitazamo ya kidini lkn ukweli utabaki kuwa taasis hii imeshindwa.
ahaha hzo ni changamoto tuu mkuu sio kufeli
 
Back
Top Bottom