Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Ebu chukulia wewe mtoa mada, mimi leo naingia mkataba na mamako na kuanza kumkojoza.kwamba umri wangu ni miaka 26 hivi wewe uko na miaka 36+ na mamako ndio kanidodokea hivyo.je utakuwa tayari kuniita baba?ktk kipindi chote cha mkataba? utapenda ni renew mkataba naye?if yes nipe namba yake
 
1462905762192.jpg
1462905762192.jpg
1462905762192.jpg
Jamani ntapata wapi hivi vitabu pls wakuu navihitaji
Mimi nilibadilishana na mtu ambaye alikinunua long time sana kwa sh.12,000/=
Jamani ntapata wapi hivi vitabu pls wakuu navihitaji
Mimi nilibadilishana na mtu ambaye alikinunua long time sana kwa sh.12,000/=
Mcheki huyo mdau hapo juu huenda anajua pakuvipata.
 
Ushenzi wa kupenda ngono na kutobagua kama wanyama utakumaliza wewe mleta mada hii na wafuasi wako.
Huna utu, na usidhani kila mtu yupo unavyofikiria na unavyotaka awe kisa wewe huko hivyo.

Huwa sipendi kutukana ila kuna watu mnanifanya niwe hivi.
Sio kila kijana anapenda ngono kama wewe.. Usitake kila mtu awe na fikra uliyonayo, wengne tunajiheshimu...
Fanya zinaa upendavyo lakini siku ya mwisho utakiona..

Umenikeraaaaaaaaaaaaa
 
Usisahau kuwa kuna wadada/wanawake kibao wameunga mkono hoja!
 
Ebu chukulia wewe mtoa mada, mimi leo naingia mkataba na mamako na kuanza kumkojoza.kwamba umri wangu ni miaka 26 hivi wewe uko na miaka 36+ na mamako ndio kanidodokea hivyo.je utakuwa tayari kuniita baba?ktk kipindi chote cha mkataba? utapenda ni renew mkataba naye?if yes nipe namba yake
Haukua na sababu ya kumkashifu mzazi wake, pengine hayupo duniani, n.k.

Kama mada hujaipenda waweza kupita kimya kimya,
Si lzm wote tuchangie, wengine twaweza kua wasomaji tu.
 
Usisahau kuwa kuna wadada/wanawake kibao wameunga mkono hoja!
That's y nasema , yeye na wafuasi wake.. Mtu mwenye utu, hekima, busara na akili zenye fikra njema hawezi sapot upupu!!!!!!
 
Lengo kubwa la kuoa/kuolewa ni tendo la ndoa (pigia mstari- tendo la ndoa) mengine mbwembwe tu. Ndiyo maana kidini ndoa hubatilishwa endapo mwanaume ni hanithi ama mwanamke hana tundu linalo ruhusu ngono kufanyika (congenital abnormality).

Sasa katika zama hizi tendo la ndoa liko nje nje unaoa/kuolewa ili iweje? Huwezi ukakomaa na mwenza wako wakati maumbile yenu yanazidi kupoteza mvuto kutokana na kuzoeana, umri kusonga na kuzaa. Halafu atokee kigori ama serengeti boys amekuzimia na kuonyesha utashi ama mwenyewe ukafanya kama kumtega akaingia laini halafu uchomoe kisa una ndoa. Haiwezekani...!! Narudia HAIWEZEKANI...!!

Tusiwaone wazungu ni wazembe kuruhusu ndoa za mikataba. Walishayaona haya. Nasi tutafika tu, maana ni kawaida yetu kubisha kwanza kabla ya kukubali vinavyopendekezwa na wazungu.

1. Tulibishia dini zao
2. Tulibishia elimu yao
3. Tulibishia mifumo ya vyama vingi

Sasa hivi tunabishia
1. Ndoa za mikataba
2. Ushoga
3. Utoaji mimba

Tutakubali tu......!!
Kila siku vilio vya usaliti kila kona. Ndoa hazina maana tena maana tendo la ndoa a.k.a mgegedo uko nje nje. Kwann ugandane na mmoja?? Halafu mbaya zaidi ukute unaye gandana naye anakosa sifa mojawapo ya mchepuko;-
1. Usafi
2. Utundu kwenye 6*6
3. Shepu na sura
4. Umri mdogo kuliko mwenza wako
5. Nyama ya ulimi (maneno matamu)
..n.k
Utakimbia tu kwenda kwa mchepuko na kumtupa kule mwenza wako.
Unagandana na mtu maisha yote mpk appetite inakatika!!!? Ya nn kujitesa?? Ikilazimu tuoane kwa mikataba bhana... Ili kila mtu akikutana na kipya kinyemi anasepa na kula ile kitu roho inataka. Kimsingi ndoa hazina tens ulazima zama hizi.
NAWASILISHA.

sikubaliani kabisa na wewe kwa sababu umeongea bila kujali vitu vunavyo ambatana na ndoa. Watoto qanahitaji ndoa, bila ndoa hakuna watoto , watoto ambao wanaishi na mzazi mmoja wakati wazazi wote wapo wana maisha magumu kuliko yatima.
 
Sijamaanisha kuwa mimi ndo nakutaka mkuu ila namaanisha kuwa kwa kuunga mkono hoja hii ya kimchepuko chepuko basi unafaa kuwa mchepuko!
Tafsiri ujuavyo,
Mada imewekwa mezani kila mtu anachangia kwa mtazamo wake, sio lazima mawazo yetu yafanane.
 
Sijamaanisha kuwa mimi ndo nakutaka mkuu ila namaanisha kuwa kwa kuunga mkono hoja hii ya kimchepuko chepuko basi unafaa kuwa mchepuko!
Halafu mpaka nimesema hivyo,
"Tafuta wa size yako" nina maana yangu,
Unapenda sana kuniquote hlf unaandika unayoyajua wewe,
Usinibipu tafadhali simu yangu me hua full chaji full salio, nikikupigia usije ukakimbilia kwa Mods kama wenzako.

First & Last Warning.
 
Looooooh!!! Halafu hapo juu nimeshakubeep tayari!!..... What the bad day!!
 
Ukikua Utaelewa ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa,huyo mchepuko mwenye sifa perfect unazotaja mfanye mke afu uone,u need perfection from a woman are u a perfect man?six packs,pesa,majumba magari kazi/biashara unamiliki??bila kusahau kazi nzito 6*6?una kauli nzuri pia?
Mjiangalie kabla ya kuchepuka,perfection doesn't exist tuvumiliane tu na Mungu atatusaidia
 
Back
Top Bottom