Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Dah.. Kizuri sanaaa mkuuu.. Mm nimekimaliza... Ukimaliza kitafute hicho mkuu...
THE THINGS MEN DO BY JAMES HADLEY CHASE..
Nimesoma page 5 tuu sijutii muda gani wangu...



d5ece9c491a9e6a5608001a1f50a0808.jpg
Thanks nitakitafuta hicho.
 
Umri umeenda umekosa kuoa/kuolewa unataka kuanzisha kampen upate huruma kutoka kwa wadau humu......jipange tena leo huna point mujarabuu
Unaishi kwa mazoea na unaogopa mabadiliko. Pole yako.
Wengi wameathirika kisaikolojia maana waliingia kwenye ndoa kwa misukomo ya umri ndoa zikageuka kuwa ndoana. Hebu mtafakari na kumtathimini uliye naye. .....ana furaha 100%...?? Au anaishi nawe kwa kuogopa ndugu, jamaa na marafiki?
 
binafsi naunga mkono hoja,,binadamu tumeumbwa kukinai naturally so hamna haja ya kugandana na mtu mmoja km umezaliwa nae kumbe kila mtu alikuja kivyake

Asante mkuu. Na huo ndiyo ukweli. Wengi wanataka kupingana na natural forces. Kukinai ni kama kwenda choo, hakuepukiki.
 
Jina lako tu linaakis upotofu wa akili yako
 
kuoa/kuolewa ni MUHIMU ili binadamu akupe mapenzi ya dhati na akuamini,kukuthamini anahitaji kujisikia wa pekew kwako yaan wewe na yeye milele otherwise hata hyo ya mkataba hutaifurahia.

Halafu kama mtaiahi pamoja kimitego hivyo ina maana hamfanyi maendeleo ,hamuwekezi pamoja kila mtu kivyake maana mtaachana mda wowote! is that a family nor comedy?? kuwa na mwenzako mnashare vitu mbalimbali vina raha yake bahna

Ni kweli mkuu, na hayo ndiyo matarajio ya kila anayeingia kwenye ndoa. Lkn je yanatimia hayo matamanio? Tafiti zinasema kati ya ndoa 217 ni 3 tu ndiyo zinafurahia ndoa. Hili ni tatizo. Tunalitatua vipi tatizo hili? Dawa ni kutoingia ama kuingia kwenye ndoa kwa mikataba
 
Naunga mkono hoja mimi nataka hata watoto wangu niwapate kwa mkataba kama Cristiano Ronaldo na Michael Jackson...... maana sioni sababu ya kuoa kabisa yaani...... maana wanawake wenyewe doooooh........ ni malori kama mtu mmoja alivyosemaga humu yaani o level alikua na mtu advance mwingine chuo ndo kila semester na mtu wake sasa mpaka mda wa ndoa yupo hoi sasa unamuoa wa nini
Maamuzi makini na ya kisasa kabisa hayo Mkuu. Hii habari ya kudanganyana mtazikana halafu mkizaa watoto 2 tu mnaachana watoto wanaanza kupata shida haikubaliki. Bora uwe umejiandaa mapema.
 
Back
Top Bottom