Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Hakuna haja ya kuoa/kuolewa zama hizi

Naunga mkono hoja!!humu humu jf kuna matukio ya ushaur wa ndoa mpka kero!!!!!kuchepukiana imekuwa fashion kwa sababu za kijinga kbsa!!.so hyo furaha ya ndoa inatoka wp labda!!!wanaosema eti wtt wanahitaj mpnz ya wzz 2 ikiwa ndoa zingne wtu wanaishi kusukuma cku majukumu yte ni ya upande mmoja hasa wanawake na mahaousemaid!!!!msikariri
 
Kwenye ndoa umepatia kabisa, mikataba itahusika muda si mrefu....

Ila kwenye ushoga, think twice... sio jambo la kuliweka kitaifa!!!
Kiongozi, huu ni ukweli mchungu sana.
Tulipinga dini -> Sasa hivi tunawazidi kwa imani hao walioleta dini kwetu.
Tulipinga elimu -> Tizama sasa tuko wapi.
Tulipinga siasa zao -> Tunafanya nini sasa.
Wameleta technolojia -> tumekuwa limbukeni wa teknolojia yao.
.....na hayo mengine it's just a matter of time. Sad truth.
 
Kwani huwezi kumpenda na kuishi na mtu bila ndoa???tusiishi kwa kikariri vitu ndoa haina maana yoyote kwa ufupi.
 
Naunga mkono hoja mimi nataka hata watoto wangu niwapate kwa mkataba kama Cristiano Ronaldo na Michael Jackson...... maana sioni sababu ya kuoa kabisa yaani...... maana wanawake wenyewe doooooh........ ni malori kama mtu mmoja alivyosemaga humu yaani o level alikua na mtu advance mwingine chuo ndo kila semester na mtu wake sasa mpaka mda wa ndoa yupo hoi sasa unamuoa wa nini

Wasichana wa 1sy year vyuoni wamechakaa sana akifika 4th yr hana maana tena anakuwa kachokaaa
 
point kuu ya ndoa sio sex tu, bali kuna vitu kama intimacy, kuwa na watoto watakaolelewa na oande zote mbili, hii itasaidia saikolojia yao wakati wa makuzi, pia loyalty

lakini siku hizi upendo na loyalty vimepungua kama sio kutowepo, watu wamekuwa selfish mno,

mfano mabinti waangalia instant cash na material, hawana uvumilivu mume ukikwama, na baya zaidi anaanzisha varangati au kuchepuka unampa talaka halafu umpe na nusu ya mali zako ambazo mara nyingi anakua hajachangia,
na bado ulitoa mahari ndefu wakati wa kumuoa
huu ni upumbavu mtupu ambao kama ukiendelea kukua huko mbele sidhani kama watu watapenda kuoa
 
Ushenzi wa kupenda ngono na kutobagua kama wanyama utakumaliza wewe mleta mada hii na wafuasi wako.
Huna utu, na usidhani kila mtu yupo unavyofikiria na unavyotaka awe kisa wewe huko hivyo.

Huwa sipendi kutukana ila kuna watu mnanifanya niwe hivi.
Sio kila kijana anapenda ngono kama wewe.. Usitake kila mtu awe na fikra uliyonayo, wengne tunajiheshimu...
Fanya zinaa upendavyo lakini siku ya mwisho utakiona..

Umenikeraaaaaaaaaaaaa
sio ngono mkuu, mimi mwenyewe ngono sio priority kwenye mahusiano ila loyalty and respect,

lakini kwa siku hizi hivi vitu havipo, watu wamekuwa selfish sana,

ukitafakari ndoa siku hizi utaona ni upuuzi wa watu wa aina mbili mmoja anataka ngono, mwingine fedha au watoto basi, akiona havipati au hapati kama anavyotarajia ndoa haipo
huu sio upuuzi?
 
Wazungu waliaminiwa na wakatumiwa kuleta dini afrika ila wakakengeuka na sasa wameshalaaniwa, miji kama ya sodoma na gomola iliangamia sababu ni kama hayo mambo unayoyapigia debe, angalia majanga yanayozikumba nchi za ulaya vimbunga, tsunami, matetemeko hizo zote ni laana.
Babu zetu walikuwa na wake zaidi ya 5 lakini upendo na amani vilitawala
Lakini kwa sasa mke mmoja tu ni shida sababu ya haki sawa aliyoanzisha mzungu.
Mana me nakuona mtoa mada kama umechanganyikiwa haujui nini ulichoandika.
Kuna msemo unasema mambo ya kienda kombo..............?
wazungu na waafrica waliolaaniwa ni wepi? hayo matetemeko hayatokei ulaya, kama unajua geography matetemeko yanatokea china, japan na Indochina
sasa hawa unaosema hawajalaaniwa ndio watu wanaotia huruma zaidi duniani, vita, ufisadi, njaa kali, ukabila, utapeli, umasikini uliokithiri ni jambo la kawaida kwa nchi za watu weusi, africa ndio mji mkuu wa haya
sasa hapa mwenye laana ni nani
 
Well written man!
 
Hayo yote mambo ya njaa, ukabila, umaskini, ufisadi n.k ni mambo yaliyotengenezwa na wazungu kwenye nchi za kiafrika kwa interest zao ili tuendelee kuwaomba misaada.
Waafrika mara nyingi wanakuwa waathirika wa mifumo na mambo mabovu anayoanzisha mzungu mfano ndoa jinsia moja, ndoa za mikataba. Mwafrika mwenye akili hawezi kuiga kila kitu cha mzungu ila malimbukeni ndio watafanya ujinga wa kuiga kila kitu kwa wazungu ikiwemo ushoga.
Leo mtoa mada kaja na hoja mbovu ya ndoa za mikataba anataka tuunge mkono na kesho atakuja na hoja ya ndoa za jinsia moja nafikiri we ndio utakuwa wa kwanza kumuunga mkono kwa jinsi ninavyoona mawazo yako.
Ukitaka kuona wazungu wamelaaniwa subiri baada ya mda mfupi utaanza kuona na kuamini kwamba kweli MUNGU yuko.
MUNGU haziakiwi na kwa kufuru wanazofanya wazungu kama mawakala wa shetani lazima walipie siku moja na ndio mana wanakuja afrika kutafuta wafuasi kama wewe.
 
Naunga mkono hoja!!humu humu jf kuna matukio ya ushaur wa ndoa mpka kero!!!!!kuchepukiana imekuwa fashion kwa sababu za kijinga kbsa!!.so hyo furaha ya ndoa inatoka wp labda!!!wanaosema eti wtt wanahitaj mpnz ya wzz 2 ikiwa ndoa zingne wtu wanaishi kusukuma cku majukumu yte ni ya upande mmoja hasa wanawake na mahaousemaid!!!!msikariri
Unga hata mguu hoja, ila unatakiwa pia kujua chanzo cha migogoro katika ndoa ni wanaume siku hizi wengi hawatimizi wajibu wao katika ndoa.
Mwanaume ajui hata mwanamke kwenye ndoa anahitaji nini, ila nikuleta ujuaji tu kwenye ndoa elimu zao uchwara za vyuo vikuu.
 
Hayo yote mambo ya njaa, ukabila, umaskini, ufisadi n.k ni mambo yaliyotengenezwa na wazungu kwenye nchi za kiafrika kwa interest zao ili tuendelee kuwaomba misaada.
Waafrika mara nyingi wanakuwa waathirika wa mifumo na mambo mabovu anayoanzisha mzungu mfano ndoa jinsia moja, ndoa za mikataba. Mwafrika mwenye akili hawezi kuiga kila kitu cha mzungu ila malimbukeni ndio watafanya ujinga wa kuiga kila kitu kwa wazungu ikiwemo ushoga.
Leo mtoa mada kaja na hoja mbovu ya ndoa za mikataba anataka tuunge mkono na kesho atakuja na hoja ya ndoa za jinsia moja nafikiri we ndio utakuwa wa kwanza kumuunga mkono kwa jinsi ninavyoona mawazo yako.
Ukitaka kuona wazungu wamelaaniwa subiri baada ya mda mfupi utaanza kuona na kuamini kwamba kweli MUNGU yuko.
MUNGU haziakiwi na kwa kufuru wanazofanya wazungu kama mawakala wa shetani lazima walipie siku moja na ndio mana wanakuja afrika kutafuta wafuasi kama wewe.
Duh...hahaaaa, pole ndugu
 
Bado damu yako mbichi sana mtoa mada. Basi endelea tu kubadilisha vimada. Kugegeda . Kufunga ndoa za mikataba.
Umri ukienda kidogo utakaa chini ujitafakari upya wapi unakwena na umepata faida gani kwa uliyofanya
Upo sahihi mkuu. Na mtu amelelewa kwenye familia na wazee bado wapo pamoja then anaandika uzi huu?. Utajua tu umri wa mtu na tabia yake kutokana anavyoandika hapa.
 
Back
Top Bottom