DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,202
NA MAKANISA NI HOSPITAL YA WATENDA MAOVUDINI NI SACCOS TAKATIFU.
Hakika.NA MAKANISA NI HOSPITAL YA WATENDA MAOVU
Mke wa MTU au Mme wa MTU ni jambo ambalo alikuhitaji kufundishwa na MTU kuhusu hilo .Duh, sijaelewa mkuu. Mfano wameandika tusizini na mke wa mtu. Kwa hiyo sio kweli tupite nae?
Unaona kuzini ni sawa? Unaona kuiba ni sawa? Unaona kuua ni sawa?Duh, sijaelewa mkuu. Mfano wameandika tusizini na mke wa mtu. Kwa hiyo sio kweli tupite nae?
😅😅Huo sasa uchokoziIla ipo dini inafundisha kujaza mtungi wa gas kwa kupuliza na mdomo
Israel na Palestine hakuna dini? Mbona Kila siku watu wanauana?Kuhusu Dini kuwa za ukweli au uongo watajua wenyewe..
Kikubwa nashukuru Dini zimeleta ustaarabu na uoga kidogo kwa watu vinginevyo dunia ingekuwa uwanja wa vita.
naomba nikuulize hiyo ya wamarekani na hilo neno la IN GOD WE STRUSTUkweli unao wewe mwenyewe ila kuujua huo ukweli inahitaji jitihada ya miaka 7 na zaidi
Hata wewe mleta mada ni mjinga ( hujui mambo mengi)
Bila hizo dini unazoziona hii leo uchumi wa dunia ungekuwa ICU
Matekani wanamsemo wao
In God we trust
Mimi dini yangu inafundisha hekima iliyobeba faida tele kimaisha.Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani.
Je dini zinafundisha ukweli , ?
Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli.
Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu.
Hii dunia Ina miaka 2000s ya kuhesabu Ila kiuhalisia hii dunia Ina miaka mingi inayozidi 2000s
Maarifa uliyonayo yapo ya aina tatu
-Kufundishwa
-mambo uliyoyapitia
-mambo waliopitia watu
Kwahiyo unaweza Ku -gain new experience in life kupitia mapito yako , au mapito ya watu au kujifunza.
Mvurugano uliopo hapa duniani ni kwamba watu wachache wajinga weamua kuwaongoza watu wengi wajinga .
Ukiona watu wanabishana kuhusu dini fahamu hao watu ni wajinga na hawajitambui.
Kuwa MTU mwema na MTU safi haina uhusiano na dini.
Kule Bukoba Bibi zetu na Babu they never worship anywhere Ila walikuwa wakiomba Nature inawapa wanachohitaji .
So universe is real , God is real and God exist but religious is scam.
Ikiwa unaacha tamaduni zako unafata tamaduni za watu lazima utadanganywa kuhusu miujiza ya kupokea Gari na Gas.
Maisha ya hapa duniani yamekuwa overrated watu wanajichosha Sana kuamini miujiza ya uongo sijui kwenda kwa waganga at the end Kama utaishi Sana ni 70-100 so ni ujinga to chase nothing.
Machafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.Israel na Palestine hakuna dini? Mbona Kila siku watu wanauana?
Dini ndiyo imeleta machafuko zaidi hapa Duniani mkuu
Marcy unapenda conspiracy theory 😁😁naomba nikuulize hiyo ya wamarekani na hilo neno la IN GOD WE STRUST
Unajua ni mungu yupi huyo wanae muamini maana kuna mungu wa nuru na giza
Kama machafuko tunayaleta sisi binadamu basi dini imeshindwa kutusaidia mkuu mpaka hapoMachafuko mnaleta nyie wanadamu kwa kushindwa kuelewa maana halisi ya hizo DINI.
Niletee kifungu kinachoeleza taifa fulani likampge fulani.
Uchumi upo angel tatuUkweli unao wewe mwenyewe ila kuujua huo ukweli inahitaji jitihada ya miaka 7 na zaidi
Hata wewe mleta mada ni mjinga ( hujui mambo mengi)
Bila hizo dini unazoziona hii leo uchumi wa dunia ungekuwa ICU
Matekani wanamsemo wao
In God we trust
Ustaarabu upi ambao dini umeleta?Kuhusu Dini kuwa za ukweli au uongo watajua wenyewe..
Kikubwa nashukuru Dini zimeleta ustaarabu na uoga kidogo kwa watu vinginevyo dunia ingekuwa uwanja wa vita.