whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,572
- 4,455
Vipimo vyetu vya magonjwa kule Mloganzila vinasomwa huko Korea. Subiri watutengenezee magonjwa ya kutegemea zaidi dawa kutoka kwao tu ndio tutashukuru kwa misaada zaidi. Hii Africa kweli tunapenda sana misaada tutakuja kufa kama nzige waliopigwa dawa