SHITHOLE COUNTRIES NDO TUNAFANYIWA MAMBO HAYA
Ukikubali kuolewa lazma ukubaliane na bwana wako anavyotaka ulale aseee.
Aisee
Takes five good years to discover [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Sasa si walikuwa wana-backup siku computer softwares za AU ziki-fail waweze ku-restore? Au tu kwa sababu server wao yuko Shanghai? Computers zenyewe walipewa bure ndiyo wakome. Waafrika wanapenda sana bure AU wangeweza kununua na kutumia waafrika wenzao kuzifitisha.
Takes five good years to discover [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ni kashfa kamwe hawawezi kukubali na litamalizwa kidiplomasiaChina wanakana tuhuma hizo nimemuona balozi wao wa AU anaongea na BBC. Lakini uongeaji wake una mashaka ya guilty
See here also they trying to deny-http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-42861276
Si tumeambiwa sasa tuwape na alama za vidole! Unaweza kuonekana uswizi bila kufika!
Kwa akili yako ulidhani wangekubali ni wao??China wanakana tuhuma hizo nimemuona balozi wao wa AU anaongea na BBC. Lakini uongeaji wake una mashaka ya guilty
See here also they trying to deny-http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-42861276