Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
I like your stupidity!Serikali imefanya kila njia kukusomesha, probably hata nje ya nchi! Wamekupa kila kitu and the only thing walichokuachia ukifanye ni kunya. I believe this is how you are repaying them. We are all free to express our views.

Wewe ni genius hata majibu yako yanaonesha hivyo, hongera.
 
Mapendekezo ya Zitto ya
watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.
.

Canada - ambako najua unapafahamu vizuri, nini kingetokea kama mwanasiasa anachukua USD 1 million toka kwenye malipo yenye utata? Uwe muwazi?
 
Ndio matatizo ya kukirimiwa kwa ubwabwa na bahasha za kaki pale Ikulu, uwezo wa kuchanganua mambo kwa kina unakuwa ZERO. Kwa akili yako kesho kutakuwa na jipya litakalobadilisha haya tuliyoyasikia leo!!! Pole zako.

Nakwambia hayo ni mapendekezo tu lakini yote yanajibika.
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Naomba unielimishe katika haya. Moja, Je mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kumshhauri Gavana wa BOT masuala ya sheria yanayohusu BOT na nchi na gavana akakataa ushauri?

Pili je kama hizo kesi kumi zikaisha na Tanesco akashinda, Tanesco itapataje fedha zake?

Tatu je kodi inatakiwa kulipwa muda gani? Baada ya kugawana mapato halafu unaamua kiasi cha kulipa ama unalipa kwa kadiri ulichopata kilichobaki unatumia? Naomba unieleweshe
 
Canada - ambako najua unapafahamu vizuri, nini kingetokea kama mwanasiasa anachukua USD 1 million toka kwenye malipo yenye utata? Uwe muwazi?

Sijaona utata kwenye hayo malipo. Naona watu wanayafanya yaonekane yana utata.
 
Hehehe hata hajielewi maskini! Dah! Ukome! Subiri kesho sasa, kama jioni ikifika huvui hijabu na kwenda kusimama ambiance pale maana huko CCM ndio ushakua scrapper. Used, misused, abused and now discarded.
 
Mara hela zote ni za serikali, mara ni za serikali na IPTL, mara serikali ilikosa kodi ya Bilioni 20, which is which now? Tatizo la Escrow ni kuwa serikali imekosa kodi stahiki au hela za serikali zimeibiwa? Kama tatizo ni kodi si waishtaki IPTL kwa kukwepa kodi? Tukubaliane tatizo ni urais
 
Umeanza "kuhorojoka" tayari. Tulia na subiri kesho msulubiwe nyie wezi wakubwa, watetea ufisadi na wala rushwa nyie. Hamna hata adabu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ImageUploadedByJamiiForums1417031332.035705.jpg View attachment 205942

Nchi hii hatuwezi kuwa na mawazo mgando au watu wanaotetea uwovu kwa namna yoyote. Imefika pahala sasa basi.

Tumbiri ashajulikana.
 
;
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Mlisema ripoti haisomwi na imesomwa. Hoja ni ufisadi wa bilioni 300. Kama hilo hulioni nenda Wodi namba 3 BMC. Muhimbili hakuna dawa wewe unfurahia mgao wa Escrow. Akili huna.
 
Kalipwa 1.6B... katika hizo kuna VAT ya serikali and hence ya uma... hapo hachomomi

JL ana haki ya kumpa fedha yake yoyote amtakae, mbona Zitto hajataja fedha alizowapa mabinti zake?

Unajuwaje wana biashara zao zipi? na Tanzania si haramu kufanya biashara mbunge au waziri au hata kugawa kwa yeyote umtakae.
 
Huyu hawezi kuwa na uchungu kwanza si raia ni msomali huyu ndiyo maana kazi yake kusifia chin ja chinja na madudu yote
 
Mbona kesho ni karibu sana. Tutakuwa na fursa ya kulinganisha na hali halisi na huu utabiri.
Du lakini aliyepokea 1.6 bln sijui alifanya nini ktk shughuli nzima ili naye astahili hayo malipo; ndiye anayeaminika kuwa kichwa. Basi chama chetu kinastahili fagio la chuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom