Hakuna aliyejiumba!

asante dada ladyfurahia kwa mtazamo wako chanya kuelekea watu wote,inapendeza.
 
Last edited by a moderator:

Najua wewe ni binadamu na kukosea ni kawaida na hata nilichokifanya ni kukuonesha vile ulivyokosea

Kila la kheri binti!
 
Wanadamu wengi wameumbwa na dharau ya asili.Lakini hatukumbuki kwamba 'hujafa hujaumbika'.
Kwa mantiki hiyo watu ambao wana look down wengine wataendelea kuwepo tu.Cha msingi ni kwa wale wanaodharauliwa kukataa hiyo hali kwa maneno na vitendo.
 
asante na kila la kheri kwako pia mr Eiyer na nashukuru kwa kunionyesha nilipokosea na unakaribishwa tena kufanya hivyo wakati wowote.
Najua wewe ni binadamu na kukosea ni kawaida na hata nilichokifanya ni kukuonesha vile ulivyokosea

Kila la kheri binti!
 
Last edited by a moderator:
wataendelea kuwepo ndiyo lakini wale wenye vichwa vigumu lakini wale wanoweza kujiuliza na kutafakari na kubadilika wanaweza kupunguza idadi ya hao wanaodharau wenzao,kwani kuna wale ambao wanajifunza kwa njia nyepesi tu na wapo wale ambao kujifunza mpaka wapatwe na maumivu au matokea mabaya kutokana na kile walichokuwa na maozea ya kukifanya.

Wanadamu wengi wameumbwa na dharau ya asili.Lakini hatukumbuki kwamba 'hujafa hujaumbika'.
Kwa mantiki hiyo watu ambao wana look down wengine wataendelea kuwepo tu.Cha msingi ni kwa wale wanaodharauliwa kukataa hiyo hali kwa maneno na vitendo.
 

Yeah ni kweli.Lakini mara nyingi Mungu naye huwa anatoa mafundisho hapa hapa duniani.
 
ujumbe mzuri sana... ila kwa hiki kizazi cha sasa sijui kama watakuelewa
ni kweli kizazi hiki ni kigumu kushughulika nacho lakini i hope angalau wawili watatu watapata kitu na kubadilika.
 

Mjenzi hawezi kujenga nyumba bila kufuata maelezo ya bosi wake (mwenye nyumba).
Mungu akisimama kama mjenzi ina maana l can make decision kua aijenge vipi...
Naweza kupita kwako nikakwambia "Blue.... hii nyumba yako ingekua ndefu kidogo, ingependeza sana' nawe ukaleta fundi akarekebisha tena...
Now please tell me, kwa mfano huo wa nyumba..
1) Mara nyingi nyumba hufanyiwa marekebisho na mjenzi, vipi binadamu akiumbwa anaweza kuumbwa kwa mara ya pili?
2) Mwenye nyumba ndie muamuzi wa nyumba yake iwe vipi, vipi binadamu anaweza kutoa direction kwa muumba kua 'nataka niwe ivi ama vile'!!!
Hichi ndicho kinachonifanya niseme mfano wa nyumba haushahabiani na uumbaji wa mungu...
 
Last edited by a moderator:
sawa basi unaweza kutupa mfano unaorelate na halii hii?
 

Kiukweli hii tabia ipo sana miongoni mwetu tena kwa jinsia zote. Si vema kumdharau mtu kwa sababu ya vile alivyoumbwa!
 
ni kweli mkuu WALIMWEUSI na nadhani tukijisahau wakati fualni ni vyema tukajikumbusha kuwa HAKUNA ALIYEJIUMUMBA ila MUNGU ndiye MUUMBA.
Kiukweli hii tabia ipo sana miongoni mwetu tena kwa jinsia zote. Si vema kumdharau mtu kwa sababu ya vile alivyoumbwa!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu WALIMWEUSI na nadhani tukijisahau wakati fualni ni vyema tukajikumbusha kuwa HAKUNA ALIYEJIUMUMBA ila MUNGU ndiye MUUMBA.

Wakati niko mdogo my mother always told me kwamba nisimdharau mtu yeyote wala kumcheka mtu mwenye kilema au mwenye upungufu wowote. Kwa kuliwekea mkazo alinitisha kwamba nikimcheka mtu wa hivyo ntakuja kuzaa mtoto anayefanana na huyo ntakayemcheka au kumdharau! Aisee since then sijawahi na kamwe sintomdharau wala kumcheka mtu mwenye mapungufu ktk kuumbwa kwake.
 

Mjenzi au mwenye nyumba kwenye mfano wangu walikuwa na role moja. Mjenzi anaweza kumiliki nyumba kwa kuzijenga mwenyewe in real life. So mfano wangu Mungu ambaye ndio Cteator nilimfananisha na mjenzi aliyejenga nyumba zake 2, nyumba ni mimi na wewe. Sasa mimi nyumba ninayojiona ni nzuri nawezaje kukukosoa nyumba mwenzangu ambaye kama mimi wewe kuhujijenga the way ulivyo. Nitakuwa kidogo fair nikimkosoa mjenzi mwenye nyumba kwanini kakujenga 'vibaya'; pia na hata wewe hautakuwa sawa ukinisifia 'uzuri' wangu ilhali sijafanya chochote kusababisha uzuri huo. Itakuwa vyema ukimpa sifa na utukufu mjenzi mwenye nyumba kwamba ktk kunijenga mimi alitulia na kudesign kitu kizuri.
 
uzuri sawa na utajiri aisee tuna fight wote ila mwenye destiny ya ku win ndo anajiona mjanja
You are wrong my dear. Uzuri si sawa na utajiri! Yes uta fight kupata utajiri but you cant fight kujibadili vile Mungu alivyokuumba! Ukiumbwa mfupi una uwezo wa kujibadili uwe mrefu? Mtoa mada hapa anasisitiza ile dhana ya kukosoa uumbaji wa Mungu! Nasikitikaga sana nionapo mtu anamdharau mwingine kwa sababu ya vile alivyoumbwa.

Mtaani kwetu kuna mtoto fulani wa kike, yeye amezaliwa na kg 5, so naturally ana mwili mkubwa. Wazazi wake wamejitahidi sana kumfanya apungue hata kufikia kumnyima chakula lakini wapi, hapungui. Yule mtoto anapata shida sana, sio kwa ule unene wake bali kutokana na dharau anazofanyiwa na watoto wenzie na hata watu wazima! Tena utawasikia wakinamama wanasema 'eti huyu aifika darasa la tano tu na mimba juu'! Imagine anapita na kusikia such words, anajisikiaje? Atajiamini vipi?
 

Mawazo yangu hayako mbali na yako kwamba its useless kwa mtu kumponda mwenzake ilihali hakujiumba ila binafsi sikukubaliana na mfano wa nyumba tu kwasababu nilizozitoa hapo juu...
Kama kuna kuukosoa uumbaji, inamaana kuna mkosolewaji na mkosoaji (mjenzi na mwenye nyumba). In real life, nadhani ni kawaida kusikia 'hii nyumba ni nzuri/ mbaya' bila kujali kama ilijengwa na mwenye nyumba ama mjenzi...
Ukibase kua mimi ni nyumba nawe ni nyumba zilizojengwa na mungu, in real life, nyumba hazina uwezo wa kujikosoa ama kukosoana..
 

Umeonges ukweli usiopingikam na mfano uliotumia umemaliza yote, uzuri na urembo uliotukuka bila busara za kuweza kuishi na wengine walioumbwa tofati na wengine ni ubatili. Mungu anatuangalia
 
Be blessed your mummy WALIMWEUSI alikujengea mazingira mazuri sana hongera kwa kuwa na mama mwenye hekima kwani si wote wanaopata nafasi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…