Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
BujiBuji una shida sana,CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Tena na kwa hasira Lema anaweza akaamua arudi tena mahabusu
Hii thread, kama kawaida, haina maendeleo.
Wamekuja kumshangilia muhuni mwenzao.
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..
Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..
Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo
CCM na Polisi wao ndio wakome kunyanyasa Watanzania. Wanatakiwa waelewe kuwa Mtanzania wa Leo si wa 1961. Hongera sana Lema kwa "Kupasua pazia la hekalu". Kama chama cha Siasa CCM walishakufa wamebakiwa na kitengo kimoja tu ambacho ni Polisi kutisha watu kila uchao. Sasa wamekutana na wasiotishiwa Nyau.
Umeelewa sentensi hii? "Nimetokea mahakamani arusha ambapo maabusu walioletwa kusikiliza mwendelezo wa kesi zao wamekataa kushuka kwenye karandinga. Wamesema wanafanya hivyo kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya mbunge wa Arusha, na wanapinga kucheleweshwa kusikilizwa kesi zao ambazo zimechukua miaka zikitajwa tu."
Kabla hujaandika kitu jitahidi kusoma na kuelewa ili uwe na hoja. Si vyema kukurupuka na kuzungumza mambo yasiyo na mantiki. Asante