Hakim matatani kwa tuhuma za ubakaji

Hakim matatani kwa tuhuma za ubakaji

Hawa mastaa huwa wanabakaje?
Mara nyingi huwa ni wadada kugeuza story, na kufanya kama walibakwa. Lakini pia mataifa ya ulaya na Amerika sheria inamlinda sana mwanamke; hivi vya vijana wabongo mara unamshikashika mtoto wa kike, mara anajilembesha unanasa kwa mtego, hizo nyie munaita sijui kimasiara ulaya unapewa kesi ya ubakaji mapema sana. Tena kama wewe ni staa, mshiko upo usipodhibiti interaction zisizokuwa na tija, na watoto wa kike imekula kwako.
 
Ile pesa aliyommilikisha mama,wajuba bado wanaitaka 😔
 
Back
Top Bottom