Habarini wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari siku nyingi juu ya uwepo wa Mungu. Lakini majibu bado ni utata mkubwa na kujazwa imani kila kukicha.
Watu weusi ndio kizazi pekee chenye imani ya dhati juu ya huyu Mungu asieonekana ambae tusadiki ndie Mungu wa kweli. Lakini cha kushangaza sijui tunakwama wapi. Tumekuwa tukizama kwenye maombi juu ya vitu vingi lakini matokeo ni sisimizi (yaani kidogo sana au hamna kabisa). Ila wenye imani huzidi kukutia moyo na kukwambia maombi yatajibiwa tu sio lazima wee ujue. Au watakwambia yalishajibiwa ila wee huna jicho la kiroho pengine hukujua. Kwa kweli ni mafumbo mengi na imani tuu na kudhania dhania ndiko kumetawala. Kimsingi nimechunguza binafsi imani hii, mtu maskini wala haimsaidii kiviile, sana naona ndo wanazidi kuwa maskini tu, sjui kwa nini.
Wenzetu WACHINA tumekuwa nao sawa kimaendeleo na kiuchumi mwanzoni mwa vita vya pili vya dunia. Hawa watu inasadikika hawana imani wala dini yeyote nchini mwao. Muasisi wa Taifa lao bwana Mao Tse dong inasemekana alipiga marufuku dini zote wakati wa ujenzi wa ujamaa wa china. Nchi ilipiga hatua kwa kasi ya ajabu hadi leo ni tishio duniani kiuchumi na maendeleo.
Maswali magumu ya kujiuliza, kwa hawa wachina;
1. Ni nani anawabariki wakati hawaamini katika Mungu na wala hawasali.?
2. Mbona kila siku wanafanya maendeleo makubwa wakati hata misikiti na makanisa hawana.?
3. Mbona sisi Waafrika tunamwamini Mungu wa Mbinguni na tunasali sana lakini hatupati baraka kama za wachina?
4. Waafrika tunakosea wapi hasa.? Au tunakosea namna ya kuabudu na kuendesha hizi dini.?
Wachina wameendelea kuishangaza dunia.
*Wameweza kujenga hospitali/ karantini kubwa duniani ya wagonjwa wa corona kwa wiki moja tu.
*Wameweza ku-wipe out/kuifutilia mbali corona kwa mda wa mwezi mmoja tu
*Wachina wanazidi kuwa tishio kiuchumi na kimaendeleo duniani kote kila kukicha.
Je, ni nani hasa Mentor wao? Kwanini hawa watu wanaodaiwa kukosa imani ya Mungu tumuabuduye sisi wanazidi kuchanja mbuga kwa kila kitu, ili hali sisi tuaminie tunazidi kuwa masikini?
Kwa maoni yangu kuna haja ya kufanya research juu ya huyu Mungu wa uchina awasaidiae ili kama vip nasi tu-adapt/tuige. Maana si kwa kufanikiwa huko.
Sijataka kuzama sana kwa undani kuhusu uchina kuepuka kuwachosha wasomaji na wachangiaji. Ila kimsingi wachina wanavitu ni hatari.
Karibuni wanajamvi tujadili kwa ajili ya kubadili mind set na kupanuana kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ipo hapa..Waje manabii na maskofu..waseme hapa!!Mungu akubarki na Mungu hatakubark kama humuchi..je Kwanini Mungu huwabark wabudu sanamu? Wachina wengi huubudu sanamu na Manyoka na Mavyura makubwa from Everest mountains!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hayupo hizo Ni hadithi za wafia Dini... Mungu mwenye upendo ataruhusu vipi wewe upate shida ... Mbona hakuruhusu mwanae yesu ateseke milele akamfufua Wanaishi wote huko walikoDuu Mungu hatimaye anapimwa kwa maendeleo aliyonayo mtu.
Basi USA ndio wana mungu kweli.
MoDewji ana Mungu wa kweli kwasababu tajiri ila mbona Mungu huyohuyo ndio wangu then mimi masikini basi sio mungu wa kweli.
Waarabu Wote Wana Mungu mbona amewabariki ??
Israel Wana Mungu Mbona amewabariki ??
Wewe ni tahira wachina wamekufa wangapi na Africa wamekufa wangapi mpaka sasa...??Habarini wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari siku nyingi juu ya uwepo wa Mungu. Lakini majibu bado ni utata mkubwa na kujazwa imani kila kukicha.
Watu weusi ndio kizazi pekee chenye imani ya dhati juu ya huyu Mungu asieonekana ambae tusadiki ndie Mungu wa kweli. Lakini cha kushangaza sijui tunakwama wapi. Tumekuwa tukizama kwenye maombi juu ya vitu vingi lakini matokeo ni sisimizi (yaani kidogo sana au hamna kabisa). Ila wenye imani huzidi kukutia moyo na kukwambia maombi yatajibiwa tu sio lazima wee ujue. Au watakwambia yalishajibiwa ila wee huna jicho la kiroho pengine hukujua. Kwa kweli ni mafumbo mengi na imani tuu na kudhania dhania ndiko kumetawala. Kimsingi nimechunguza binafsi imani hii, mtu maskini wala haimsaidii kiviile, sana naona ndo wanazidi kuwa maskini tu, sjui kwa nini.
Wenzetu WACHINA tumekuwa nao sawa kimaendeleo na kiuchumi mwanzoni mwa vita vya pili vya dunia. Hawa watu inasadikika hawana imani wala dini yeyote nchini mwao. Muasisi wa Taifa lao bwana Mao Tse dong inasemekana alipiga marufuku dini zote wakati wa ujenzi wa ujamaa wa china. Nchi ilipiga hatua kwa kasi ya ajabu hadi leo ni tishio duniani kiuchumi na maendeleo.
Maswali magumu ya kujiuliza, kwa hawa wachina;
1. Ni nani anawabariki wakati hawaamini katika Mungu na wala hawasali.?
2. Mbona kila siku wanafanya maendeleo makubwa wakati hata misikiti na makanisa hawana.?
3. Mbona sisi Waafrika tunamwamini Mungu wa Mbinguni na tunasali sana lakini hatupati baraka kama za wachina?
4. Waafrika tunakosea wapi hasa.? Au tunakosea namna ya kuabudu na kuendesha hizi dini.?
Wachina wameendelea kuishangaza dunia.
*Wameweza kujenga hospitali/ karantini kubwa duniani ya wagonjwa wa corona kwa wiki moja tu.
*Wameweza ku-wipe out/kuifutilia mbali corona kwa mda wa mwezi mmoja tu
*Wachina wanazidi kuwa tishio kiuchumi na kimaendeleo duniani kote kila kukicha.
Je, ni nani hasa Mentor wao? Kwanini hawa watu wanaodaiwa kukosa imani ya Mungu tumuabuduye sisi wanazidi kuchanja mbuga kwa kila kitu, ili hali sisi tuaminie tunazidi kuwa masikini?
Kwa maoni yangu kuna haja ya kufanya research juu ya huyu Mungu wa uchina awasaidiae ili kama vip nasi tu-adapt/tuige. Maana si kwa kufanikiwa huko.
Sijataka kuzama sana kwa undani kuhusu uchina kuepuka kuwachosha wasomaji na wachangiaji. Ila kimsingi wachina wanavitu ni hatari.
Karibuni wanajamvi tujadili kwa ajili ya kubadili mind set na kupanuana kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waarabu wamebarikiwa ???Waarabu Wote Wana Mungu mbona amewabariki ??
Israel Wana Mungu Mbona amewabariki ??
Mnhhh...!!??Naunga mkono hoja yako kwa 60%.
But kuamini mambo ya kufikirika (Mungu) ni upumbavu.
Kutokuamini MUNGU si tatizo maana ni uchaguzi. Ila kuishawishi jamii isiamini MUNGU ni tatizo sana na inaweza kutishia hata uwepo wa kiumbe binadamu duniani.
Embu fikiri tu, tugeuze mafundisho yote ya dini kuwa kinyume, mfano usiue, usizini, usiibe n.k.
leo hii ikikubalika kwamba hakuna MUNGU unajua nn kitafuata? Binadamu wataabudu binadamu aliye na nguvu. Kutakuwa hakuna maraisi bali kuna mungu wa Tz, Kenya, Ug au mungu wa Africa.
Kama ww ni mpenzi wa documentaries na movies lazima itakuwa umeshakutana na jamii zinazoabudu binadamu zinavyokuwa.
Uwe muamini au la, tunahitaji jamii ambayo watu wake na viongozi wana hofu ya MUNGU.
Ndio, imani na dini ndo ilileta stability na jamii kuishi pamoja kwa hofu ya kumkosea mungu.Kwani Usiibe usizini ilikuwa haipo mpaka dini zilipoanza.?
You sound that Religion has brought everything to human kind ! S
Habarini wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari siku nyingi juu ya uwepo wa Mungu. Lakini majibu bado ni utata mkubwa na kujazwa imani kila kukicha.
Watu weusi ndio kizazi pekee chenye imani ya dhati juu ya huyu Mungu asieonekana ambae tusadiki ndie Mungu wa kweli. Lakini cha kushangaza sijui tunakwama wapi. Tumekuwa tukizama kwenye maombi juu ya vitu vingi lakini matokeo ni sisimizi (yaani kidogo sana au hamna kabisa).
Ila wenye imani huzidi kukutia moyo na kukwambia maombi yatajibiwa tu sio lazima wee ujue. Au watakwambia yalishajibiwa ila wee huna jicho la kiroho pengine hukujua. Kwa kweli ni mafumbo mengi na imani tuu na kudhania dhania ndiko kumetawala. Kimsingi nimechunguza binafsi imani hii, mtu maskini wala haimsaidii kiviile, sana naona ndo wanazidi kuwa maskini tu, sjui kwa nini.
Wenzetu WACHINA tumekuwa nao sawa kimaendeleo na kiuchumi mwanzoni mwa vita vya pili vya dunia. Hawa watu inasadikika hawana imani wala dini yeyote nchini mwao. Muasisi wa Taifa lao bwana Mao Tse dong inasemekana alipiga marufuku dini zote wakati wa ujenzi wa ujamaa wa china. Nchi ilipiga hatua kwa kasi ya ajabu hadi leo ni tishio duniani kiuchumi na maendeleo.
Maswali magumu ya kujiuliza, kwa hawa wachina;
1. Ni nani anawabariki wakati hawaamini katika Mungu na wala hawasali.?
2. Mbona kila siku wanafanya maendeleo makubwa wakati hata misikiti na makanisa hawana.?
3. Mbona sisi Waafrika tunamwamini Mungu wa Mbinguni na tunasali sana lakini hatupati baraka kama za wachina?
4. Waafrika tunakosea wapi hasa.? Au tunakosea namna ya kuabudu na kuendesha hizi dini.?
Wachina wameendelea kuishangaza dunia.
*Wameweza kujenga hospitali/ karantini kubwa duniani ya wagonjwa wa corona kwa wiki moja tu.
*Wameweza ku-wipe out/kuifutilia mbali corona kwa mda wa mwezi mmoja tu
*Wachina wanazidi kuwa tishio kiuchumi na kimaendeleo duniani kote kila kukicha.
Je, ni nani hasa Mentor wao? Kwanini hawa watu wanaodaiwa kukosa imani ya Mungu tumuabuduye sisi wanazidi kuchanja mbuga kwa kila kitu, ili hali sisi tuaminie tunazidi kuwa masikini?
Kwa maoni yangu kuna haja ya kufanya research juu ya huyu Mungu wa uchina awasaidiae ili kama vip nasi tu-adapt/tuige. Maana si kwa kufanikiwa huko.
Sijataka kuzama sana kwa undani kuhusu uchina kuepuka kuwachosha wasomaji na wachangiaji. Ila kimsingi wachina wanavitu ni hatari.
Karibuni wanajamvi tujadili kwa ajili ya kubadili mind set na kupanuana kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari siku nyingi juu ya uwepo wa Mungu. Lakini majibu bado ni utata mkubwa na kujazwa imani kila kukicha.
Watu weusi ndio kizazi pekee chenye imani ya dhati juu ya huyu Mungu asieonekana ambae tusadiki ndie Mungu wa kweli. Lakini cha kushangaza sijui tunakwama wapi. Tumekuwa tukizama kwenye maombi juu ya vitu vingi lakini matokeo ni sisimizi (yaani kidogo sana au hamna kabisa).
Ila wenye imani huzidi kukutia moyo na kukwambia maombi yatajibiwa tu sio lazima wee ujue. Au watakwambia yalishajibiwa ila wee huna jicho la kiroho pengine hukujua. Kwa kweli ni mafumbo mengi na imani tuu na kudhania dhania ndiko kumetawala. Kimsingi nimechunguza binafsi imani hii, mtu maskini wala haimsaidii kiviile, sana naona ndo wanazidi kuwa maskini tu, sjui kwa nini.
Wenzetu WACHINA tumekuwa nao sawa kimaendeleo na kiuchumi mwanzoni mwa vita vya pili vya dunia. Hawa watu inasadikika hawana imani wala dini yeyote nchini mwao. Muasisi wa Taifa lao bwana Mao Tse dong inasemekana alipiga marufuku dini zote wakati wa ujenzi wa ujamaa wa china. Nchi ilipiga hatua kwa kasi ya ajabu hadi leo ni tishio duniani kiuchumi na maendeleo.
Maswali magumu ya kujiuliza, kwa hawa wachina;
1. Ni nani anawabariki wakati hawaamini katika Mungu na wala hawasali.?
2. Mbona kila siku wanafanya maendeleo makubwa wakati hata misikiti na makanisa hawana.?
3. Mbona sisi Waafrika tunamwamini Mungu wa Mbinguni na tunasali sana lakini hatupati baraka kama za wachina?
4. Waafrika tunakosea wapi hasa.? Au tunakosea namna ya kuabudu na kuendesha hizi dini.?
Wachina wameendelea kuishangaza dunia.
*Wameweza kujenga hospitali/ karantini kubwa duniani ya wagonjwa wa corona kwa wiki moja tu.
*Wameweza ku-wipe out/kuifutilia mbali corona kwa mda wa mwezi mmoja tu
*Wachina wanazidi kuwa tishio kiuchumi na kimaendeleo duniani kote kila kukicha.
Je, ni nani hasa Mentor wao? Kwanini hawa watu wanaodaiwa kukosa imani ya Mungu tumuabuduye sisi wanazidi kuchanja mbuga kwa kila kitu, ili hali sisi tuaminie tunazidi kuwa masikini?
Kwa maoni yangu kuna haja ya kufanya research juu ya huyu Mungu wa uchina awasaidiae ili kama vip nasi tu-adapt/tuige. Maana si kwa kufanikiwa huko.
Sijataka kuzama sana kwa undani kuhusu uchina kuepuka kuwachosha wasomaji na wachangiaji. Ila kimsingi wachina wanavitu ni hatari.
Karibuni wanajamvi tujadili kwa ajili ya kubadili mind set na kupanuana kifikra.
Sent using Jamii Forums mobile app
What about great wall of Zimbabwe? What about the pyramid, what about the African medicine which are still around each corner of Africa.What about language formation, There are thousands of local languages in Africa.What about music.Usiwe narrow minded, wachina hawajawahi kuwa sawa kimaendeleo na jamii yeyote ya Africa katika kipindi chochote cha maisha ya dunia, walikuwa na ancient civilization iliyokuwa na philosophers wa kubwa wanaoheshimika mpaka leo, traditional medical experts waliobobea, architectural designs za kuushangaza ulimwengu refers to great wall, na mengineyo kibao yanayowazjidi hadi mabeberu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini hao wachina uwageuka na kuwala hao mungu wao yaani nyoka na vyura?Hoja ipo hapa..Waje manabii na maskofu..waseme hapa!!Mungu akubarki na Mungu hatakubark kama humuchi..je Kwanini Mungu huwabark wabudu sanamu? Wachina wengi huubudu sanamu na Manyoka na Mavyura makubwa from Everest mountains!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hats majengo makubwa yaTanzanua makafara hufanyikika.Jibu la mleta mada liko pale pale kwamba hata huku Africa ili uwe tajiri lazima uloge! China pamoja na kwamba hawamjui Mungu wa wakristo na yule wa waislamu lakini wanaimani zao za miungu ya sanamu kwenye temple zao katika ngazi ya familia na koo! Wanatraditions za kuabudu za juuu sana na zimejengewa masanamu na mahekalu watu uabudu na kuzitolea sanaka!
Kwa mukutadha huo China wanaabudu miungu yao ya sanamu na mwingine ana sura ya kiongozi wa kwanza Mao The Tung na anaabudiwa katika ngazi ya juu sana kama mungu! Kwa wakristo tunaamini kama huna Yesu waliobaki wote ni miungu (mashetani) na yana nguvu ya kutajirisha ndo maana hata katika ujenzi wa majengo makubwa na madaraja wachina ufanya makafara usiku!
Je, mimi mmatumbi na ngozi yangu nyeusi nikiamini hao miungu au dini za hao mababu zao na hao wachina nitasikilizwa kweli na hao miungu nisio na undugu nao?Supermind,
mkuu wachina ni watu wa dini kama watu wengine tu duniani. Tofauti yao ni kuwa hawaaamini katika dini za wajukuu wa Abraham(uislamu na ukristo/ujudea(judaism). Wana imani zao za mababu na dini zenye asilia ya kwao au majirani zao wa karibu India.
China kuna mahekalu (temples) makubwa sana tu ya dini zao za u buddha (Buddhism), Taoism na Confucianism. Dini za mashariki ya kati (uislam/ukristo/judaism) pia zina wafuasi wengi tu ingawa zinapigwa vita kwa kiasu kikubwa.