Hakika Wachina wana Mungu wa Kweli

Hakika Wachina wana Mungu wa Kweli

Usiende mbali wakati Wakiristu tukiaminishwa Israel ni Taifa teule lakini ndilo taifa katili na wabaguzi mwanzo mwisho huku Waarabu na uislamu ndo kabisa sitaki hata kuusemea maana tapigwa ban. Ukweli dini hizi ni utumwa wa kiakili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma seminary ila nilikuwa nashanga mapadre wanatuambia kuwa hata ukikesha kanisani unasali huwezi faulu kumzidi aliyekesha anasoma.

Hata biblia inasema kila mtu ale kwa jasho lake. Na asiyefanya kazi na asile. Sasa waafrica wanakesha kanisani hawataki kazi ila wanataka maendeleo. China miji yao hailali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwafrika wala siyo mvivu, angalia shamba linalolimwa kwa mkono, magunia anayobeba yule mpagazi, kazi za utingo n.k.Nadhan shida ni hivi bado tunafanya kazi za kujichosha ili kuganga jaa ila siyo kupata maendeleo
Siku mwafrika (hasa mbongo) akifanikiwa kupata mashine/vteknolojia huyo mzungu na mchina watamkoma.Na hili nahis mzungu ashaligundua ndo maana huwez kuskia tukiwezeshwa technogically!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu Mungu hatimaye anapimwa kwa maendeleo aliyonayo mtu.

Basi USA ndio wana mungu kweli.

MoDewji ana Mungu wa kweli kwasababu tajiri ila mbona Mungu huyohuyo ndio wangu then mimi masikini basi sio mungu wa kweli.
No Your still Learning Bud, Kwani China Imepata COVID19 Ndani Ya Mwezi Mmoja...? Ukifatilia Vzr ni Kwamba CHINA walianza kupata COVID 19 toka Mwezi Wa 12 Last Year.

Alafu Keep it in your mind That MUNGU hapimwi kwa Mafanyikio Unayoyaona Km Nyumba, Gari na vitu vyakuvutia km Hvy Bali Mungu Anapimwa Kwa Imani Za Wanadamu. (Mfano wa Kibiblia )AYUBU Alipimwa imani yake hili kujua Km Anampenda Mungu na Sio Mali zake.

Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk
 
Na kukolezea somo, si kweli kuwa jamii ya Wachina hawana dini wala imani yoyote.

Wachina na jamii yao ni Atheist

Kwa sasa imani kadhaa ukiwemo ukristo umejipenyeza China hasa katika majimbo na miji inayokaliwa na wageni na ile ya kibiashara, hivyo kuwa na mchanganyiko wa Athiest +Christianity.

Hata hivyo, wanaamini zaidi katika Sayansi na uvumbuzi
Usiwe narrow minded, wachina hawajawahi kuwa sawa kimaendeleo na jamii yeyote ya Africa katika kipindi chochote cha maisha ya dunia, walikuwa na ancient civilization iliyokuwa na philosophers wa kubwa wanaoheshimika mpaka leo, traditional medical experts waliobobea, architectural designs za kuushangaza ulimwengu refers to great wall, na mengineyo kibao yanayowazidi hadi mabeberu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No Your still Learning Bud, Kwani China Imepata COVID19 Ndani Ya Mwezi Mmoja...? Ukifatilia Vzr ni Kwamba CHINA walianza kupata COVID 19 toka Mwezi Wa 12 Last Year.

Alafu Keep it in your mind That MUNGU hapimwi kwa Mafanyikio Unayoyaona Km Nyumba, Gari na vitu vyakuvutia km Hvy Bali Mungu Anapimwa Kwa Imani Za Wanadamu. (Mfano wa Kibiblia )AYUBU Alipimwa imani yake hili kujua Km Anampenda Mungu na Sio Mali zake.

Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk

Ujam-Qoute mtu husika mbona tupo upande mmoja.
 
kuna movie moja inaigwa REVOLUTION unakutana na jamaa kadhaa kina miles, Aaron nk.

Baada ya blackout hakukuwa na utawala kila mwenye nguvu anatawala, kisa hiki kinafafana na story ya mtoa mada.
 
Na hua wananunua misukule
..na naniliu naniii kwenye kujenga madaraja ambayo chini Kuna maji mengi na hivo ili kuyatawanya Yale maji ndo wanatumia icho kitu...na maingineer nyie mliosoma law of flotation izo makitu hamjui....hahahaahaa
Umesema kwa mafumbo sana! Ongea kwa uwazi hapa ni jf hakuna anayekujua
 
Je, mimi mmatumbi na ngozi yangu nyeusi nikiamini hao miungu au dini za hao mababu zao na hao wachina nitasikilizwa kweli na hao miungu nisio na undugu nao?
sina uhakika sana mkuu..ni kama sisi wamatumbi wakina mwanamalundi na miungu yetu ya matambiko sijui kama mchina akienda fanya matambiko uyaoni miungu ya kiyao itamsikiliza..sina uhakika mkuu
 
Kinachowainua wachina ni wizi tu basi. Wanakuja wanaiba ramani wanaenda kujenga kwao alafu unakuja na upumbavu wako ati hakuna Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi mbona hatuendi kuiba sehem tofauti tofauti dizaini mbali mbali za vitu tukaendeleza kwetu.? Tunakwama wapi?

Sijasema hakuna mungu, nimeuliza ni wepi wana Mungu wa kweli. Soma vizuri bandiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu la mleta mada liko pale pale kwamba hata huku Africa ili uwe tajiri lazima uloge! China pamoja na kwamba hawamjui Mungu wa wakristo na yule wa waislamu lakini wanaimani zao za miungu ya sanamu kwenye temple zao katika ngazi ya familia na koo! Wanatraditions za kuabudu za juuu sana na zimejengewa masanamu na mahekalu watu uabudu na kuzitolea sanaka!

Kwa mukutadha huo China wanaabudu miungu yao ya sanamu na mwingine ana sura ya kiongozi wa kwanza Mao The Tung na anaabudiwa katika ngazi ya juu sana kama mungu! Kwa wakristo tunaamini kama huna Yesu waliobaki wote ni miungu (mashetani) na yana nguvu ya kutajirisha ndo maana hata katika ujenzi wa majengo makubwa na madaraja wachina ufanya makafara usiku!
Kwa hio hayo mamungu yao yana nguvu kuliko Mungu wetu Mkuu? Kwa nini wao wanakula na kushiba, na wanayashinda matatizo kirahisi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom