Hakika Tanzania iko Dunia ya Tatu

Hakika Tanzania iko Dunia ya Tatu

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Nakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini .
Kweli bado nashangaa Kununua ndege 1 yenye kubeba watu 76 inakua ni shughuri ya Kitaifa !!!!??? Kweli ??? Mpaka marubani wanapokelewa kama diplomats flani !? Hivi nchi za wenzetu mf Kenya, uganda , Rwanda hawajawai kununua ndege !? Au nbomberdier ni ya kiwango cha juu saana !?. Kuna rafiki yangu mmalawi anaicheka sana Tanzania tangu Jana sasa najikuta nami kama nakubaliana nae hivi !
 
Kwaniini unakubaliana nae?
Kwani hiyo ndio ya kwanza? Raha jipe mwenyewe...
 
Nakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini .
Kweli bado nashangaa Kununua ndege 1 yenye kubeba watu 76 inakua ni shughuri ya Kitaifa !!!!??? Kweli ??? Mpaka marubani wanapokelewa kama diplomats flani !? Hivi nchi za wenzetu mf Kenya, uganda , Rwanda hawajawai kununua ndege !? Au nbomberdier ni ya kiwango cha juu saana !?. Kuna rafiki yangu mmalawi anaicheka sana Tanzania tangu Jana sasa najikuta nami kama nakubaliana nae hivi !
Apambane na hali yake huko Lilongwe japo liinchi letu lishakuwa halina baraka za Mungu
 
Nakumbuka kuna mwaka watu wa MBEYA walionekana kuwa kituko nchi hii pale walipotangaza uzinduzi wa Jengo na wakalinadi kuwa (Jengo la kwanza kuwa na Lift mkoani MBEYA) . nilichogundua ni kwamba WATANZANIA wote hatutofautiani na MBEYA na hii imethibitika wakati wa kuwasili kwa BOMBERDIER nchini .
Kweli bado nashangaa Kununua ndege 1 yenye kubeba watu 76 inakua ni shughuri ya Kitaifa !!!!??? Kweli ??? Mpaka marubani wanapokelewa kama diplomats flani !? Hivi nchi za wenzetu mf Kenya, uganda , Rwanda hawajawai kununua ndege !? Au nbomberdier ni ya kiwango cha juu saana !?. Kuna rafiki yangu mmalawi anaicheka sana Tanzania tangu Jana sasa najikuta nami kama nakubaliana nae hivi !

Nakushauri kubaliana naye na huyo rafiki yako Mmalawi.endeleeni kuicheka Tanzania...Wako watu makini nje ya Tanzania hawaicheki nchi hii kwani wana hofu nayo...sasa wewe na mwenzako huyo wa nje muendelee kucheka tu...
 
Kama atujawahi kumiliki ndege tangu huru.ni haki yetu kufrah kwetu si jambo dogo.sawa bhana.kwaiyo tuache kidogo fanya shughuli zako.
 
Mkuu umesma kweli kabisa kua ni ujinga wa hali ya juu kwa viongozi wetu wa kitaifa kwenda kupolea pipe-dear.
SIKU TUKIPATA KIWANDA CHA KURUTUBISHA BEE-LIA INAKUA MAPUMZIKO KTAIFA WIKI NZIMA.
 
Kweli sie watanzania aise nadhani tunaojielewa hatuzidi laki, the rest ni hopeless kabisa
MLETA MADA ANA NIA NZURI ILA MAJINGA YANAKEBEHI.

JIULIZE NI KIASI GANI CHA PESA KILHPOTEA KWA UJINGA WA JANA?, NA NINANI AMELIPIA?. ISIPOKUA MIFIA CHAMA INACHEKELEA.
 
Mzungu akifanya kitu kidogo hata kuwapa pampasi za watoto wenu mnajikusanya kupiga nao picha eti wanawapenda ...ndege tena kenyewe "kamoja tu kadogo" kamenunuliwa watu hawaachi kukukusanyika kukapokea ...Hii ndio Afrika waliko watanzania. Hatujui tufanye nini na tuache lipi.

Hivi kwani tulitakiwa kufanya kipi alafu labda tusifanyeje tena?????
 
Asa unashangaa nn ikiwa vyerehani vinne n kiwanda tayari?
 
Ndege yenyewe ni hasara tupu tutaona siku sio nyingi
 
Mzungu akifanya kitu kidogo hata kuwapa pampasi za watoto wenu mnajikusanya kupiga nao picha eti wanawapenda ...ndege tena kenyewe "kamoja tu kadogo" kamenunuliwa watu hawaachi
kukukusanyika kukapokea ...Hii ndio Afrika waliko watanzania. Hatujui tufanye nini na tuache lipi.

Hivi kwani tulitakiwa kufanya kipi alafu labda tusifanyeje tena?????
ndege nikitu kidogo sana,
 
Back
Top Bottom