Hatari sana!ndege nikitu kidogo sana,
Mzungu akijipaka mavi watasema amependeza ila mtanzania akijipaka matope watasema mavi. Waafrika Ni watu waliochanganyikiwa hawajui wanataka NiniMzungu akifanya kitu kidogo hata kuwapa pampasi za watoto wenu mnajikusanya kupiga nao picha eti wanawapenda ...ndege tena kenyewe "kamoja tu kadogo" kamenunuliwa watu hawaachi kukukusanyika kukapokea ...Hii ndio Afrika waliko watanzania. Hatujui tufanye nini na tuache lipi.
Hivi kwani tulitakiwa kufanya kipi alafu labda tusifanyeje tena?????
Sasa kama vipi si uhame nchi tu na wewe uwe mmalawi.
Acha dharau we kipapa mku ndu unakuwasha nini?kuna kitu cha ncha kali kama vipi njoo ukikalie.hilo siyo jibu nyau weye....Rais anapokea ndege outdated,wakati ilitakiwa ipokelewe na mkuu wa mkoa au waziri husika tu,hii ni sawa na kunywa soda siku ya sikukuu tu.
Aiseee...sisi bado mno ndo maana wanaoipenda ccm ni wajinga tu.
HahhaaSiku tukinunua boeng 747 inaweza kuwa siku ya mapumziko nchi nzima
