Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

Magufuli hakufanya makosa kumfukuza Kilango.

Magufuli alifanya makosa kumteua Kilango. Natilia mashaka chujio lake. Huyu mama ana mapepe sana, anajulikana. Sijui Magufuli aliona nini mpaka akamchagua.

Mkuu wa Mkoa ambaye hawezi kufanya uhakiki kabla ya kutoa matamko hatufai.

Tayari tuna rais mropokaji.Sasa kama tuna rais mropokaji ni muhimu wasaidizi wake wasiwe waropokaji.

Tukiwa na rais mropokaji na wakuu wa mikoa waropokaji nchi itaanguka bila breki.
 
Mimi siyo Le mutuzkama unavyofikiria, bali ni mtanzania ninae tetea walionewa. Hivi karibuni nilitoa post iliyo kuwa inatetea utendaji kazi wa Mheshimiwa Mwantumu Mhiza wala sina uhusiano na yeyote bali tunataka kuona haki inatamalaki.
Basi sawa
 
Kuna siku atajikuta yuko peke yake. Dalili zinaonesha mawaziri wake wengi wameingiwa uoga fulani na ndio maana siku hizi siwasikii sana kama mwanzo. Juzi nilijiuliza hivi Makamba JR yupo? Jenista Mhagama? Zaidi ya nusu ya mawaziri wake wako kimya wanaogopa kutumbuliwa, wanasubiri watumwe tu na bosi wao.
Wameambiwa wajiondoe wenyewe. Kwani hamna watu wengine??? Tupo wengi....nafas za ubunge pia bado zipo,,,ikibidi sana aniteue hata mimi ubunge na kuniweka uwaziri tupige kazi. Usikariri. Sio lazma wakusemeshe kwenye media. we amini wanachapa kazi ndo maana bado wanapeta.
 
Amani iwe nanyi wanajamvi!

Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli.

Rais amefanya mambo mengi mazuri lakini akiteleza anaanguka kwelikweli, na mimi naanza kuona ugumu wa huko tuendako.

Kiongozi wa Nchi ukiwa mkali kupindukia athari zake ni nyingi kuliko faida!

Msaidizi wako akifanya kosa moja japo dogo adhabu yake ni kufukuzwa kazi!

Hii hali inaweza kuzalisha viongozi wanao subiri waambiwe cha kufanya ndio watende kwani watakuwa wanaogopa kubuni mambo mapya ambayo huenda bosi wao asiyapende na hivyo kusababisha wafukuzwe kazi LIVE.

Uongozi wa kiimla hushabikiwa sana na watu lakini huwa na madhara makubwa sana katika jamii.Hapa napenda niwarudishe nyuma kidogo wakati wa utawala wa Hitler.

Hitler alipendwa sana na wajerumani hasa vijana wa wakati ule.Hata alipo panga kuwafurusha waisrael warudi kwao kwani wanabana nafasi za kazi za wajerumani, alishangiliwa sana.walimuona ni kiongozi wa ndoto zao.

Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?

Kama amekuwa jipu basi hakuna msafi ndani ya Chama cha Mapinduzi. wahenge walisema kosa moja haliachi mke, leo hii hakuna subira ukikosa jambo dogo ujue kazi huna.

Ukimya wa Mawaziri wengi ni dalili kwamba wameanza kuchukua tahadhari sana katika utendaji wao, tofauti sana na walivyo anza majukumu yao.

Hii siyo dalili nzuri kiutendaji, ni kama wameporwa uhuru wanaogopa jambo baya kuwatokea.

Nina miezi sasa sijawasikia mawaziri wakitoa matamko kama awali ni dalili kuwa hamkani si shwari.

Tupende tusipende demokrasia haiepukiki.Viongozi walioteuliwa wana haki ya kusikilizwa.Naanza kutilia shaka hii one man show

Haki ya Kusikilizwa ni Mahakamani au kwenye vyombo vinavyotoa haki. Rais sio Mahakama au Tribunal au chombo kinachofanana na hivyo. Sheria inampa Rais mamlaka ya kinidhamu dhidi ya watumishi wote wa umma na wateule wake na sheria imeweka utaratibu wa namna ya Rais kutumia mamlaka hayo. Unataka amsikilize mkosaji ambaye ana ushahidi kamili juu ya makosa yake na ana mamlaka ya kutengua uteuzi alioufanya???? Hivi Watanzania mnataka Rais wa aina gani?????????? Mtu akichukua hatua instantly mnalalamika kwamba ni dikteta ; na mtu akitabasamu na akiwa na tahadhari au subira katika kuchukua hatua mnamuita dhaifu. Mnataka Rais wa aina gani nyinyi watu?????
 
"Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?"
Haya ni makubwa sasa. Mama Kilango mnamjua kwa utendaji gani uliotukuka? Usomi gani wa kupigiwa mfano? Kitu gani vha ziada? Tuache kuingiza umma katika mapenzi yetu binafsi. Ni vigumu kuamini kuwa yale makelele ya makundi hasimu kushambuliana ndani ya CCM aliyokuwa akipiga Bunge la tisa na la kumi ndio tuite utumishi wa umma uliotukuka.

Wote tunakubaliana na msemo kuwa 'kwa umbo lake mbwa havai skirt'. Tuache ushabiki.
 
Nitaendelea kusimamia kauliya Mh Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! hii imetokea kama zali tu! Hiki ni cheo kikubwa ...lazima mtu ajipange na aandaliwe! ,kinyume chake ndiyo...na TUSUBIRI MAKUBWA ZAIDI!

Wewe ulimpigia kura Lowassa na ulipenda awe Rais. Lowassa aliandaliwa na nani pale CHADEMA?
 
Amani iwe nanyi wanajamvi!

Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli.

Rais amefanya mambo mengi mazuri lakini akiteleza anaanguka kwelikweli, na mimi naanza kuona ugumu wa huko tuendako.

Kiongozi wa Nchi ukiwa mkali kupindukia athari zake ni nyingi kuliko faida!

Msaidizi wako akifanya kosa moja japo dogo adhabu yake ni kufukuzwa kazi!

Hii hali inaweza kuzalisha viongozi wanao subiri waambiwe cha kufanya ndio watende kwani watakuwa wanaogopa kubuni mambo mapya ambayo huenda bosi wao asiyapende na hivyo kusababisha wafukuzwe kazi LIVE.

Uongozi wa kiimla hushabikiwa sana na watu lakini huwa na madhara makubwa sana katika jamii.Hapa napenda niwarudishe nyuma kidogo wakati wa utawala wa Hitler.

Hitler alipendwa sana na wajerumani hasa vijana wa wakati ule.Hata alipo panga kuwafurusha waisrael warudi kwao kwani wanabana nafasi za kazi za wajerumani, alishangiliwa sana.walimuona ni kiongozi wa ndoto zao.

Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?

Kama amekuwa jipu basi hakuna msafi ndani ya Chama cha Mapinduzi. wahenge walisema kosa moja haliachi mke, leo hii hakuna subira ukikosa jambo dogo ujue kazi huna.

Ukimya wa Mawaziri wengi ni dalili kwamba wameanza kuchukua tahadhari sana katika utendaji wao, tofauti sana na walivyo anza majukumu yao.

Hii siyo dalili nzuri kiutendaji, ni kama wameporwa uhuru wanaogopa jambo baya kuwatokea.

Nina miezi sasa sijawasikia mawaziri wakitoa matamko kama awali ni dalili kuwa hamkani si shwari.

Tupende tusipende demokrasia haiepukiki.Viongozi walioteuliwa wana haki ya kusikilizwa.Naanza kutilia shaka hii one man show

Mkuu unathibitisha kwa mara nyingine KUWEWESEKA kwa wana CHAGGADOMO...hivi mlikuwa mnaimba Mabadiliko na kutingisha MBWELELE na MIKONO... mlikuwa mnamaanisha nini? Anachofanya MAGU NDIO MABADILIKO aliyokuwa akuhubiri kipenzi cha WATU Dr SLAA.... na ndio Tunaita M4C Magufuli 4 Change..... kwa walioelewa FALSAFA za DR SLAA tupo pamoja na MAGU.....kwa WALE WA KUBADILISHIA GEAR ANGANI....mtabaki doroohh! Keep it up JPM!
 
Yote kwa yote kwa nini hao walio create ghost workers hawakamatwi na kushitakiwa ikiwezekana wafilisiwe kulipa hizo hela walizopiga all these yrs hata kama walikuwa wakirithishana wote wakamatwe!! Tunapoongea kuunda mfumo ni kudeal na vi network kama hivi na kuvibomoa hii ya ku deal na outcomes tutarudi kule kule!!
 
Nahc ndo hatua inayofuata
 
Nitaendelea kusimamia kauliya Mh Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! hii imetokea kama zali tu! Hiki ni cheo kikubwa ...lazima mtu ajipange na aandaliwe! ,kinyume chake ndiyo...na TUSUBIRI MAKUBWA ZAIDI!
Wewe endelea kulia lia tuu
 
Just imagine viongozi walio tangulia kama siyo uvumilivu leo Magufuli angekuwa hapo alipo? kule tu kuwakejeli wakazi wa kigamboni kungetosha kumaliza ndoto zake za kisiasa. hakika anatakiwa apime mambo, na wakati mwingine atoe fursa ya mtuhumiwa kujieleza ili ajue makosa yake ndi umtumbue. haraka ya nini? Nyerere enzi zake alikuwa anakuita anakuhoji anakuonesha wapi umekosea ndio anakustaafisha kwa manufaa ya umma. Mazuri yote ya Anne Kilango ameishia kufedheheshwa hadharani daah siasa bwana!
Huo uvumilivu kafanye kwenye familia yako na mkeo..! Nyie ndio mlikuwa kila leo mnasema hana uwezo wa kuwawajibisha alio wachagua...leo hii mmeanza kulia..
 
Kuna siku atajikuta yuko peke yake. Dalili zinaonesha mawaziri wake wengi wameingiwa uoga fulani na ndio maana siku hizi siwasikii sana kama mwanzo. Juzi nilijiuliza hivi Makamba JR yupo? Jenista Mhagama? Zaidi ya nusu ya mawaziri wake wako kimya wanaogopa kutumbuliwa, wanasubiri watumwe tu na bosi wao.

Kwa maoni yako haya we Jamaa nimekujua una akili ndogo.
 
Kuna siku atajikuta yuko peke yake. Dalili zinaonesha mawaziri wake wengi wameingiwa uoga fulani na ndio maana siku hizi siwasikii sana kama mwanzo. Juzi nilijiuliza hivi Makamba JR yupo? Jenista Mhagama? Zaidi ya nusu ya mawaziri wake wako kimya wanaogopa kutumbuliwa, wanasubiri watumwe tu na bosi wao.
Kama hawawezi kufanya kazi waondoke ...
 
Nahc ndo hatua inayofuata
Mkuu hakuna kitu hapo wait n see!! Issue ya containers imepita kimjini mjini waliokuwa wanatoa vimemo kuruhusu containers kupita wako wapi?? Tulichoambiwa wote waliokwepa walipe je wamekwepa toka lini? Hawa ni wezi kwa nini wasishitakiwe?? Hii nchi tuna ishi kwa matukio ndugu yangu hili litapita na siye watz tulivyo vilaza tutashangilia litapita!
 
Back
Top Bottom