Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

siku moja uwe kiongozi halafu uige staili hii uone utakavyo baki peke yako. kimsingi wote hatupendi uzembe kazi, lakini je, inawezekana mkuu wa mkoa kupita kuhakiki taarifa alizo pewa na wasaidizi wake? mimi ninge muelewa kama angewaadhibu wakurugenzi na wakuu wa idara walio mpa Mkuu wa mkoa taarifa za uongo.
Kumbe ishu ni Magu kubaki peke yake? Na abaki peke yake maana anasimamia haki ya wanyonge wengi waliokosa sauti. Mtoa mada nadhani utakuwa jipu tena la kwapa.
 
Kumbe ishu ni Magu kubaki peke yake? Na abaki peke yake maana anasimamia haki ya wanyonge wengi waliokosa sauti. Mtoa mada nadhani utakuwa jipu tena la kwapa.
tunasoma maarifa ili siku moja tuyatumie nyumbani au kazini ili kufanya maisha kuwa mepesi.sasa hivi inawezekana wapi kila mtu akikosea tu kidogo afukuzwe?tena bila kujitetea?
 
Kumbe ishu ni Magu kubaki peke yake? Na abaki peke yake maana anasimamia haki ya wanyonge wengi waliokosa sauti. Mtoa mada nadhani utakuwa jipu tena la kwapa.
Nikweli mkuu, anatetea uzembe
.....Mbona wapiga kazi wapo, wengine wanamalizia chuo mwaka huu. Ulielie na mtu mmoja??? Ni kupoteza mda.
 
Achana na Magu mzee!!!kama wewe ni kiongozi na unashindwa kuhakiki na kujiridhisha na taarifa unazoletewa na wasaidizi wako hupaswi kuwa kwenye huo wadhfa inabidi ukae pembeni.Ndo nyie nyie mnashindwa kuhakiki mikataba mnayoletewa mnaipitisha bila kujua kilichoandikwa ndani mwishowe mnatia hasara serikali na kuwaumiza wananchi.Inabidi ifike mahala kiongozi akitoa taarifa yake anakuwa na uhakika nayo na pia anakuwa kajiridhisha nayo.Naamini raisi wangu ataiweka hii dhana kwa watendaji wake wote wa serikali,Kama unaona huwezi kufanya hivyo tupishe akae anaweza kufanya kazi hiyo.
Magu fanya kazi yako uliyoagizwa na wananchi.
 
Nikweli mkuu, anatetea uzembe
.....Mbona wapiga kazi wapo, wengine wanamalizia chuo mwaka huu. Ulielie na mtu mmoja??? Ni kupoteza mda.
Wahitimu wako wengi Sana hakuna haja ya kupoteza muda wajifunze kufanya kazi na si kusubiri taarifa za kuletewa.
 
tunasoma maarifa ili siku moja tuyatumie nyumbani au kazini ili kufanya maisha kuwa mepesi.sasa hivi inawezekana wapi kila mtu akikosea tu kidogo afukuzwe?tena bila kujitetea?
Kumpa muda wa kujitetea ni kupoteza muda na kumfanya aendelee kutokuwa makini.Wajifunze kufanya kazi na si kusubiri taarifa kutoka chini.
 
Wahitimu wako wengi Sana hakuna haja ya kupoteza muda wajifunze kufanya kazi na si kusubiri taarifa za kuletewa.
Tumia ubongo vizuri,Mkuu wa Mkoa atakwepaje kuletewa taarifa...fikiria Mkoa kama Shy.
 
siku moja uwe kiongozi halafu uige staili hii uone utakavyo baki peke yako. kimsingi wote hatupendi uzembe kazi, lakini je, inawezekana mkuu wa mkoa kupita kuhakiki taarifa alizo pewa na wasaidizi wake? mimi ninge muelewa kama angewaadhibu wakurugenzi na wakuu wa idara walio mpa Mkuu wa mkoa taarifa za uongo.
 
Tumia ubongo vizuri,Mkuu wa Mkoa atakwepaje kuletewa taarifa...fikiria Mkoa kama Shy.
Nadhani wewe ndo utumie ubongo maana hapo unatumia masaburi kufikiri. Kwa hiyo akishaletewa taarifa ndo anashindwa kuhakiki ili kuja na data sahihi? Na wakati mwingine ni vema akawa anafatilia mwenyewe.
 
hata kama wakurugenzi wake ndio waliompa taarifa taarifa za uwongo, basi hiyo inaonesha wazi kuwa ameshndwa kuwa kiongozi bora katka kupata uhakiki wa njia yeyote wa kile anachoagiza kifanyike..! mbona magufuri kaweza kufanya uhakiki wa ukweli wa hilo? je yeye alishindwa kuthibitisha ukweli wa makaratasi ya wakurugenzi na watendaji wake juu ya idadi ya maghost waliopo?
 
Umenena vema lakini kuna mahali you are not right.Kila mtu anachukia uzembe iwe kazini au nyumbani. uzembe una madhara makubwa sana kwa ustawi wa familia au Nchi. Kuna ubaya gani kutumia kutumia leadership stile ya great leaders kama Washington au Churchill au Mandela? mimi najua kwa vyovyote vile RC aliunda kamati ya kufuatilia wafanyakazi hewa na ndio walio mpa taarifa ile. katika kamati ile kwa vyovyote vile ras alikuwemo, RSO alikuwemo pamoja na wakurugenzi wa Halmashauri zote. kwanini asiwaadhibu wote walio mfikisha RC pale?

WATU SIJUIMKOJE.JANA RAIS KASEMA KATIBU TAWALA NAE ANAONDOKA NA WENGINE WOTE WAKIWEMO WAKUU WA WILAYA NA WAKURUNGEZI NA MAAFISA UTUMISI WOTE WANG'OKA ILA MAMALKA ZA AJIRA ZAO NDO ZINAFANYA HIYO KAZI.HUONI RAIS AMECHELEWA KUTEUA DCS NA WAKURUGENZI??
 
Yote kwa yote kwa nini hao walio create ghost workers hawakamatwi na kushitakiwa ikiwezekana wafilisiwe kulipa hizo hela walizopiga all these yrs hata kama walikuwa wakirithishana wote wakamatwe!! Tunapoongea kuunda mfumo ni kudeal na vi network kama hivi na kuvibomoa hii ya ku deal na outcomes tutarudi kule kule!!
Hao wao walio create wafanyakazi hewa wawajibishwe hata kama walihama kituo mana huo ni wizi mubaya na hawana uzalendo
 
Zile Enzi za Mipasho sasa hakunawatu wanaisoma namba kama ni witiri au shufwa usiniulize.
 
Kuongoza nchi sio sawa na kuongoza kifamilia au kikampuni kiwe cha serikali au binafsi.
Magufuli ni mkali kupindukia kwa majipu,wezi,wavivu, watu wasiowajibika,wasio wabunifu na ambao kazi zao ni kumpelekea raisi taarifa za uongo ambazo hawajazihakiki wenyewe kabla ya kuzipeleka.

Siku njema huonekana asubuhi.Sasa mtu kama kamteua siku chache tu keshaanza kumpelekea taarifa za uongo unategemea amleee?

Ukipewa kazi yoyote kuna kipindi cha matazamio (probation period) Ukileta uzembe katika siku hizo uwe umekaa siku moja ,mbili au 20 utatolewa mkuku kama mbwa.

Mtu akiona stahili ya Magufuli hawezi keshasema ajiondoe mwenyewe kabla hajamng`oa

Ila tapeli January Makamba amemhofia kulikoni? Au anajua akimtumbua na yeye atamtumbua maana anazijua siri za ushindi wake
 
n
Hao wao walio create wafanyakazi hewa wawajibishwe hata kama walihama kituo mana huo ni wizi mubaya na hawana uzalendo
inyi hamjui, wafanyakazi hewa wanasababishwa na serikali yenyewe kwa kuweka ukiritimba wa kutoa maamuzi. kwa mfano unaweza kuwaandikia utumishi kuwa mfanyakazi X amefariki hivyo wanatakiwa wamtoe kwenye payroll lakini hawamtoi immediately mpaka vikao vya maamzi vikae.Ni kama hawaamini taarifa waliyo pelekewa.
 
Back
Top Bottom