Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

Siku niliyomuona Magufuli Tune ya Uchaguzi akikabidhiwa makabrasha ya uteuzi wa kuwa mgombea, ndipo nilipojua huyu mtu si wakawaida. Wagombea wote walikuwa wakikabidhiwa wanaondoka kuwahi interview za media, Lakini ni yeye tu baada ya kukabidhiwa alihakiki fomu moja baada ya nyingine aliporidhika akatoa mkono kwa Mwenyekiti na kuondoka, Tabiachizi ni za MTU makini tu.

Huambiwi/hupewi kitu ukaridhika HAKIKI
 
Amani iwe nanyi wanajamvi!

Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli.

Rais amefanya mambo mengi mazuri lakini akiteleza anaanguka kwelikweli, na mimi naanza kuona ugumu wa huko tuendako.

Kiongozi wa Nchi ukiwa mkali kupindukia athari zake ni nyingi kuliko faida!

Msaidizi wako akifanya kosa moja japo dogo adhabu yake ni kufukuzwa kazi!

Hii hali inaweza kuzalisha viongozi wanao subiri waambiwe cha kufanya ndio watende kwani watakuwa wanaogopa kubuni mambo mapya ambayo huenda bosi wao asiyapende na hivyo kusababisha wafukuzwe kazi LIVE.

Uongozi wa kiimla hushabikiwa sana na watu lakini huwa na madhara makubwa sana katika jamii.Hapa napenda niwarudishe nyuma kidogo wakati wa utawala wa Hitler.

Hitler alipendwa sana na wajerumani hasa vijana wa wakati ule.Hata alipo panga kuwafurusha waisrael warudi kwao kwani wanabana nafasi za kazi za wajerumani, alishangiliwa sana.walimuona ni kiongozi wa ndoto zao.

Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?

Kama amekuwa jipu basi hakuna msafi ndani ya Chama cha Mapinduzi. wahenge walisema kosa moja haliachi mke, leo hii hakuna subira ukikosa jambo dogo ujue kazi huna.

Ukimya wa Mawaziri wengi ni dalili kwamba wameanza kuchukua tahadhari sana katika utendaji wao, tofauti sana na walivyo anza majukumu yao.

Hii siyo dalili nzuri kiutendaji, ni kama wameporwa uhuru wanaogopa jambo baya kuwatokea.

Nina miezi sasa sijawasikia mawaziri wakitoa matamko kama awali ni dalili kuwa hamkani si shwari.

Tupende tusipende demokrasia haiepukiki.Viongozi walioteuliwa wana haki ya kusikilizwa.Naanza kutilia shaka hii one man show
asante kwa kuandika vizuri , taarifa za kuaminika ni kwamba mawaziri wamebaki kusubiri maelekezo tu , ni kama vile mtendaji , mkurugenzi au katibu Mukhtasi ni mtu mmoja tu .
 
Kukosoa ni jambo la kawaida kwani katu watu hatufanani mitazamo ndio kunakuwa na mijadala.....lakini kukosoa huko kuwe na mantiki.....
Kumbukumbu yangu inaniambia kuwa wengi wetu humu tulikuwa tukilalamikia jinsi serikali isivyowachukulia hatua watendaji wake wabovu.....lakini leo hii sisi tena ndio tunalalamika kuwa kwanini anachukua hatua....hivi sisi tutakuwa na akili za aina gani....tulitaka aharibu kiasi gani ndio tuone kuwa anastahili kuwawajibishwa...??
Tulitaka akosee kosa gani hadi tuone kuwa anastahil kuwajibika.....au kuwajibishwa....ifikie kipindi mahaba tuyaweke kando na tuache uzalendo utamalaki kwenye nyoyo zetu.....

TANZANIA KWANZA....
 
Mimi sijaelewa mpaka sasa hv watanzania wanataka rais wa aina gani!!!??? Unajua ni ngumu hata kuwaelezea!!!! Hivi rais asipofanya haya anayoyafanya nchi ingekuwajeeee! Watz wanachokitaka hawakitaki! Wasichokitaka wanakitaka! Wanachikitaka wanakikataaa! Shaaaame! Mnatakaka mini nyieeeeeee!
 
Watanzania kwa kujitoa ufahamu tunaongoza dunia nzima. Hivi kweli tunathubutu kusema idadi yote hiyo ya wafanyakazi hewa iliyobainika wakati yeye alishasema hawapo kabisa ETI ni kosa dogo linalopaswa kusamehewa. Hivi yale mabadiliko tuliyokuwa tunataka ni ya kuzungusha mikono tu?????
 
Amani iwe nanyi wanajamvi!

Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli.

Rais amefanya mambo mengi mazuri lakini akiteleza anaanguka kwelikweli, na mimi naanza kuona ugumu wa huko tuendako.

Kiongozi wa Nchi ukiwa mkali kupindukia athari zake ni nyingi kuliko faida!

Msaidizi wako akifanya kosa moja japo dogo adhabu yake ni kufukuzwa kazi!

Hii hali inaweza kuzalisha viongozi wanao subiri waambiwe cha kufanya ndio watende kwani watakuwa wanaogopa kubuni mambo mapya ambayo huenda bosi wao asiyapende na hivyo kusababisha wafukuzwe kazi LIVE.

Uongozi wa kiimla hushabikiwa sana na watu lakini huwa na madhara makubwa sana katika jamii.Hapa napenda niwarudishe nyuma kidogo wakati wa utawala wa Hitler.

Hitler alipendwa sana na wajerumani hasa vijana wa wakati ule.Hata alipo panga kuwafurusha waisrael warudi kwao kwani wanabana nafasi za kazi za wajerumani, alishangiliwa sana.walimuona ni kiongozi wa ndoto zao.

Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?

Kama amekuwa jipu basi hakuna msafi ndani ya Chama cha Mapinduzi. wahenge walisema kosa moja haliachi mke, leo hii hakuna subira ukikosa jambo dogo ujue kazi huna.

Ukimya wa Mawaziri wengi ni dalili kwamba wameanza kuchukua tahadhari sana katika utendaji wao, tofauti sana na walivyo anza majukumu yao.

Hii siyo dalili nzuri kiutendaji, ni kama wameporwa uhuru wanaogopa jambo baya kuwatokea.

Nina miezi sasa sijawasikia mawaziri wakitoa matamko kama awali ni dalili kuwa hamkani si shwari.

Tupende tusipende demokrasia haiepukiki.Viongozi walioteuliwa wana haki ya kusikilizwa.Naanza kutilia shaka hii one man show
Watu hawawezi kukuelewa LEO. Watakuelewa baadae sana, ambapo Udikteta umeshaota mizizi. Huyu Magufuli akimalizana na watumishi wake atawarudia wananchi. Ukijifanya unakosoa serikali yake waziwazi, anakutumbua jipu.
 
Sidhani kama watu watakuelewa bado hangover ya Magufulication inatamba. Watanzania walio wengi hawana uwezo wa kufikiri wa kutosha hata kama ni Phd holder. Hii inatokana na lishe duni walioipata ndani ya siku 1,000 baada ya kuzaliwa. Nampenda Rais wangu lakini nawapenda sana wale wanaomkosoa. Majuto ni mjukuu.

Umeongea jambo kubwa sana
sometimes nahisi chanzo cha matatizo yetu ni lishe kwa wajawazito na wamama waliojifungua...
manake now hata magufuli akisema watu wapige push up uchi watarukaruka kumshangilia
 
Amani iwe nanyi wanajamvi!

Leo napenda nichukue fursa hii kumpongeza mwanajamvi Pasco kwa kuona mbali juu ya utawala wa mh Rais wa JMT ndugu John Pombe Magufuli.

Rais amefanya mambo mengi mazuri lakini akiteleza anaanguka kwelikweli, na mimi naanza kuona ugumu wa huko tuendako.

Kiongozi wa Nchi ukiwa mkali kupindukia athari zake ni nyingi kuliko faida!

Msaidizi wako akifanya kosa moja japo dogo adhabu yake ni kufukuzwa kazi!

Hii hali inaweza kuzalisha viongozi wanao subiri waambiwe cha kufanya ndio watende kwani watakuwa wanaogopa kubuni mambo mapya ambayo huenda bosi wao asiyapende na hivyo kusababisha wafukuzwe kazi LIVE.

Uongozi wa kiimla hushabikiwa sana na watu lakini huwa na madhara makubwa sana katika jamii.Hapa napenda niwarudishe nyuma kidogo wakati wa utawala wa Hitler.

Hitler alipendwa sana na wajerumani hasa vijana wa wakati ule.Hata alipo panga kuwafurusha waisrael warudi kwao kwani wanabana nafasi za kazi za wajerumani, alishangiliwa sana.walimuona ni kiongozi wa ndoto zao.

Hivi tujiulize kwa kadri tunavyo mjua Anne kilango Malecela, toka akiwa mbunge, naibu waziri wa Elimu na mkuu wa mkoa, ni kweli ghafla amekuwa jipu na hivyo kustahili kufutwa kazi kwa mtindo ule?

Kama amekuwa jipu basi hakuna msafi ndani ya Chama cha Mapinduzi. wahenge walisema kosa moja haliachi mke, leo hii hakuna subira ukikosa jambo dogo ujue kazi huna.

Ukimya wa Mawaziri wengi ni dalili kwamba wameanza kuchukua tahadhari sana katika utendaji wao, tofauti sana na walivyo anza majukumu yao.

Hii siyo dalili nzuri kiutendaji, ni kama wameporwa uhuru wanaogopa jambo baya kuwatokea.

Nina miezi sasa sijawasikia mawaziri wakitoa matamko kama awali ni dalili kuwa hamkani si shwari.

Tupende tusipende demokrasia haiepukiki.Viongozi walioteuliwa wana haki ya kusikilizwa.Naanza kutilia shaka hii one man show
Aisee mimi huwa sielewi Watz tunataka nini na nchi iongozwe je! Kikwete alikuwa wa kumbembelezana watu wamesema ni dhaifu. Magufuri amekuwa mkali anaitwa dictator? Hivi jama Watanzania wenzangu hii nchi ilipofikia mnashauri twende na style ipi? Mimi nadhani anavyofanya Magufuli itarejesha kilichopotea! Sasa kama si kufanya kazi kwa mazoea huyo mama aliona hiyo taarifa ni sahihi? Au mmesahau kwamba baada ya kutoa ripoti hiyo, Wananchi wa Shinyanga walipinga mkoa wao kutokosa mfanyakazi hewa? Hiyo ilikuwa ni alarm tosha kwake.
 
siku moja uwe kiongozi halafu uige staili hii uone utakavyo baki peke yako. kimsingi wote hatupendi uzembe kazi, lakini je, inawezekana mkuu wa mkoa kupita kuhakiki taarifa alizo pewa na wasaidizi wake? mimi ninge muelewa kama angewaadhibu wakurugenzi na wakuu wa idara walio mpa Mkuu wa mkoa taarifa za uongo.

Kwaio yeye kwavile ni boss anapereka ripoti kwa raisi bila kufanya uchunguzi jamani kweli?usitetee kitu cha namna hii
 
hata kama wakurugenzi wake ndio waliompa taarifa taarifa za uwongo, basi hiyo inaonesha wazi kuwa ameshndwa kuwa kiongozi bora katka kupata uhakiki wa njia yeyote wa kile anachoagiza kifanyike..! mbona magufuri kaweza kufanya uhakiki wa ukweli wa hilo? je yeye alishindwa kuthibitisha ukweli wa makaratasi ya wakurugenzi na watendaji wake juu ya idadi ya maghost waliopo?
ni vigumu sana mkuu wa mkoa kukwepa taarifa za uongo kama ilivyo yeye mwenyewe magufuli kutoka kwa wasaidizi wake kama unabisha labda kama unakipaji cha ubishi na haupo kwenye field we ni mtoto wa mama nikuulize tu swali chokonozi hivi na magufuli naye kama amedanganywa na hao aliowatuma kuwa kuna watumishi hewa kumbe hakuna unadhani atajitumbua, kiuhalisia ni vigumu sana kukwepa taarifa za uongo kutoka kwa wasaidizi. Kwa mfano yeye mwenyewe magufuli alidanganywa na wasaidizi wake tena na hata wengine ni member wa jamiiforums nadhani hata wewe utakuwa ulimdanganya kuwa anajua kuzungumza kiingereza kumbe mlikuwa mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa alipofuatilia kuwa ni kweli hajui lugha hii kwani wazalendo wa nchi hii walimuonya kuwa atufedhehesha kuzungumza kiingereza kwani anachuzungumza sio kiingereza bali kinafanana na kiingereza amewasikiliza na ameamua kutumia kiswahili kitukufu kwa hili na mpongeza mweshimiwa rais
Sasa hapo tu ktk suala la lugha kudanganywa kuhusu kuwa anafahamu lugha ya malkia kumbe sio angeamua kutumbua majipu wale wote waliomdanganya ukiwemo na wewe unafikiri angetumbua wangapi kumbe ni vyema tukawa waungwana tusihukumu kwa hasira bali tuhukumu kwa haki mkuu
 
Wewe tulia, acha Magu aiweke nchi kwenye mstari, wewe Na huyo Pasco wako nendeni Monduli kwa Babu yenu mamvi mkajipange upya, kwa Sasa sisi ni kazi tu, huwezi kaa pembeni!!!
Nakuunga mkono mwana jamii kwa ujumbe wako mzuri. Kwa UFISADI wa nchi hii kwa sasa jamani tumuache MAGU aisafishe Tanzania kwa maslahi ya wengi.
 
Kama mtu anaidanganya mamlaka yake ya uteuzi tena hadharani mchana kweupe na jua kali mbele ya kamera za waandishi wa habari kitu ambacho hakiwezi kukubalika kwa kila mmoja mwenye akili timamu halafu unataka Mh.Rais wa JMT na amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama amsamehe huyo mteule wake?Hakika kwa kubainika kuwapo watumishi hewa kwenye himaya ya mtoa taarifa,na raisi angeamua kumsamehe basi tungemuambia ana ndimimbili.Mh Raisi peleka mahakamani hao walinda MABUSHA yao nayawenzao.Chunguza,baini,hoji na fukuza chini ya ulinzi mkali na peleka mahakamani bila kuwapa dhamana wakurugenzi wote walio husika kwa kuweka hewa zao au kwa kuzembea tena kwa muda mrefu kwani hao ni wahujumu uchumi, hawatimizi majukumu yao bali wanataka mambo ya kisiasatu.Tupa jela hata wasipo kuombea wanadamu katika hili basi aliyeacha uwepo hapo atakulinda daima
 
Kwaio yeye kwavile ni boss anapereka ripoti kwa raisi bila kufanya uchunguzi jamani kweli?usitetee kitu cha namna hii
Kwamaelezo yako ni dhahiri hujaanza kazi popote iwe serikalini au sekta binafsi.Hivi mtu mgeni ofisini atakwepa vipi kudanganywa kama wenyeji wamekusudia kumdanganya?
 
Huu mwendo anaoenda nao ndio unafanya sekta binafsi ifanye vizuri.

Hii spidi anayoenda nayo itaifanya serikali iheshimiwe na watu wenye vyeo waone cheo ni kazi ya kutumikia wananchi na si mabwana wakubwa wasiofanya chochote cha maana zaidi ya kuitwa mheshimiwa.

Magufuli ongeza kasi tuko na wewe
Mishahara Sekta binafsi kwa aliyebahatika kuajiriwa kwa level ya degree uko juu. Sekta ya Umma mishahara ina changamoto, labda kujivunia Job Security(if at all utatoka salama bila kuwa jipu)
 
ct-theres-a-new-sheriff-in-town-20150501



There's a New Sheriff in town with new rules on how things are to be done: lengo ni maendeleo unless anachofanya raisi hakiko sambamba na maendeleo watu wakosoe.

Lakini kuendekeza uzembe sio moja wapo ni bora muwashauri hao wafanyakazi watambue namna za Shariff mpya kuliko kutaka yeye abadili namna kuweza ku-accomodate lazy, unaccountable, incompetent and corrupted officials.

Shoot
 

Attachments

  • upload_2016-4-12_18-58-32.jpeg
    upload_2016-4-12_18-58-32.jpeg
    11.5 KB · Views: 53
Back
Top Bottom