Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.
Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.
Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.
Asanteni.