Hakika ninamsubiri Dr. Slaa akifika Mbeya nahama CCM

Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.

Unajiunga na CHADEMA mara ngapi? Kuna siku uliwahi kuwa CCM?

Au ndio style mpya ya kuipigia chapuo CHADEMA?
 
aah na wewe umekuja? Mkuu mm nimewahama bana staki tena ccm yenu ina dhurumu haki zetu na za ndugu zangu
 
MBONA sijakuelewa kwenye mabo mawili.
1.a)umejitambua yaani umejitambuaje?
b)utambuzi wako unahusiana na nini?
C)na hapo mwanzo uliishije bila ya kujitambua?

2.toa ufafanuzi zaidi kuhusu CCM kukanyaga mstari MWEKUNDU.

Ccm kukanyaga mstari mwekundu.... Ni kuvuka mpaka na kuwa chama cha umwagaji damu na chama jeshi. Tazama sasa nchi inendeshwa kijeshi kila kona.

Kujitambua maana yake.... Ccm ni wagawa rushwa, wezi, mafisadi, wachakachuzi.
..hadi jamii yangu kuwa maskini daima.

Pia kujitambua huko ni pamoja na mambo ovu ya ccm ya kutoa kucha watu na kuwapoteza uhai na kuwaficha milele.
 
Mwanzo nliishi kwa kula rushwa na kugawa rushwa nlizopewa na ofisi ya ccm.... Kwa hili nimetenda dhambi... Watanzania mnisamehe naomba msamaha kwenu Leo
 
Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.
Mkuu usisahau na kuelimisha wengine kuhusu kutambua haki zao, pia kuendelea kukumbatia CCM kwa kizazi cha leo ni kupteza muda. CCM imeshajifia zamani
 
Mwanzo nliishi kwa kula rushwa na kugawa rushwa nlizopewa na ofisi ya ccm.... Kwa hili nimetenda dhambi... Watanzania mnisamehe naomba msamaha kwenu Leo
Hujachelewa mkuu.
Hamasisha na wengine.
 
Mkuu,

Karibu, umefanya la msingi sana kujiunga na jeshi WAKATI; nina maana kwa WAKATI unaofaa umejitambua...there we are ready to go!
 
Nitaleta majina yangu kamili soon.. Stay tuned

Wewe huna haka ya kumsubiri slaa yupo mwambigija mkabidhi kadi yako yaishe kwani ukihama wewe cm haijafa kuna wengi wenye busara wanajiunga
 
kwann unatokwa povu? Si ukalale tu
 
Karibu sana frere.g kwenye vita ya ukombozi wa Taifa letu dhidi ya Wakoloni MaCCM.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa hali ilivyo uraiani... Sasa binafsi namsubiri Dr slaa afike Mbeya mjini ili nimkabidhi kadi yangu ya ccm.

Nafanya haya baada ya kujitambua na kuona uonevu umevuka mipaka kwa wananchi.

Ccm sasa wamefikia kukanyaga mstari mwekundu..... Nasema Dr slaa akifika tu namkabidhi vifaa vyote vya kazi toka ccm na kujiunga rasmi Chadema.

Asanteni.

karibu sana na ongera kwa kujitambua tuwasiliane kuna viongozi wengine wanaweza kukupa card ya uwanachama usije chelewa freedom is coming now
 
Maaamuzi yenye Afya. Ila si lazima umsubiri Dr. Unaweza elekeza kadi yako ofisini na kuanza harakati za ukombozi.
 
Dr anakuuma nn? Ktk dunia kila jambo lina modal wake... Huyu kwangu ni zaidi ya mwalimu.......
Khaa!! Mie najaribu kukupa namna nzuri ya kufikiri juu ya future yako. Wewe hauko kwenye list ya kina Josephine, juniour etc. Amsha akili hizo
 
nimekusikia kalale mkuu sasa.....
 
Back
Top Bottom